Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,167
- 162,603
Tangu ile picha ya mh.Mbowe akiwa katika moody ya mahaba na mtu wake itoke kwenye mitandao,kumekuwa na maoni na shutuma nyingi kwa Mbowe mwenyewe na wengine kukihusisha chama na mambo binafsi ya mtu.
Swali langu ni je,kama Mbowe amekosa maadili na hafai kuwa kiongozi,je na yule alietangaza hadharani kuwa aliiba wali alipokuwa kwenye mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa anatufaa kweli?Kama kosa la Mbowe ni kupiga picha ile hadharani huku yeye akiwa kiongozi,je na huyu kutangaza hadharani kua aliiba wali akiwa JKT alikuwa sahihi ukilinganisha na wadhifa aliona katika nchi hii?
CC: dotto rangimto
Mods,nawaomba msitoe wala msiunganishe huu uzi.

Last edited by a moderator: