Aibu nyingine kwa CHADEMA

Aibu nyingine kwa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
ALiyekuwa naye alikuwa MKEWE?

hoja si kuwa mkewe hapa tunaangalia kama ni sawa kufanywa haya mbele za watoto kwa sisi waafrica!
Hivi kwanini huwa tunawakataza watoto wetu kuangalia tamthilia na huku tukipiga kelele zina waaribu? watoto wana jifunza nini kwenye hilo tukio?
 
Hivi wewe huna kazi za kufanya had I ukae na adobe Photoshop uunge unge picha,kwa hiyo pitch umelipwa sh.ngapi me siyo mfuwasi wa chadema lakini kwa hyo picha nakukataa

Mkuu hiyo sio photoshop bali ni kitu chenyewe mama analiwa mate. Nenda mtaa wa pili kuna watoto wa ufipa wamezi-post hizo picha huku wakimfagilia kamanda kwa kujua malavidavi.
 
hoja si kuwa mkewe hapa tunaangalia kama ni sawa kufanywa haya mbele za watoto kwa sisi waafrica!
Hivi kwanini huwa tunawakataza watoto wetu kuangalia tamthilia na huku tukipiga kelele zina waaribu? watoto wana jifunza nini kwenye hilo tukio?

Acha ujinga na usijitoe akili hivi mtu kumbusu mkewe ina shida gani hata kama ni mbele ya watoto.
 
Wewe Mtela Mwampamba yani sijajuaga kama una akili baridi kiasi hiki........pole Sana tena Sana tu! Yaelekea huko ulipo unatetereka sanaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo sio photoshop bali ni kitu chenyewe mama analiwa mate. Nenda mtaa wa pili kuna watoto wa ufipa wamezi-post hizo picha huku wakimfagilia kamanda kwa kujua malavidavi.

Okay kuna shida gani kamanda apo kula mate ya mkewe mbona ninyi mnafanya hayo hakuna MTU anahoji tena picha inaonekana kapiga ndani kwake mbele ya watoto wake APA tatizo lipo wapi!?
 
Acha ujinga na usijitoe akili hivi mtu kumbusu mkewe ina shida gani hata kama ni mbele ya watoto.

Nani kasema kumbusu mke kuna shida? Naomba ujibu maswali niliyo uliza!
 
Jamani kukosa hoja unakuja na huo upuuzi Mh Mbowe yuko na mkewe Dr Lilian anampongeza kwa siku yake ya kuzaliwa na mtoto wao kumaliza masomo na hiyo ilikuwa jumapili baada ya Ibada ya shukrani ya pekee kanisani hakuna uhusiano na hiyo cheap thinking yako hongera Dr na familia .
 
Have got no credit Mtera. Hebu lete kitu kingine hii haitoshi.
 
Mtela, we vita yako na adui yako ni Mbowe tu,inafikia hadi ku edit picha ya hivi?bila shaka unachuki kubwa sana na Mbowe,anyway labda nikwambie tu hivi,vitu vilivyokwamisha juhudi za chadema kushika dola,mmoja wapo ni wewe na ndugu zako,ambao kwasababu ya tamaa na ujinga mkakubali kutumika na wanyonyaji ,sasa ulipata nini?na ndoto zako katika siasa ndiyo zimeshayeyuka,ungekuwa na msimamo,ungekuwa mbali sana kisiasa,ila pole sana.
Hiyo picha uliyoiweka,inadhihirisha jinsi unavyoumia/ulivyoumia kuona jembe limeshika tena nafasi,maana lengo lako ukitaka as hike mwingine,mkiue chama kirahisi,pole sana.Na hayo mambo hata huko uliko wakubwa zako wana fanya sana,hatuwaweki humu kwakuwa sisi hakuna ajili movie Kama zako.
 
Katika watu hovyo nimleta mada hivi ujawai zunguka duniani? Nenda kangalie viongozi wengine huyo nimke wake na familia wacha kuleta majungu pole sana Mleta mada sitakushanga maana ulishindwa chadema ukakimbilia ugambani
 
hayo ni maisha binafsi ya mtu, mi nashangaa kwenye thread unaizungumzia chadema halafu picha unaweka ya Mbowe

ukiizungumzi cdm ndo umemzungumzia mbowe,maana huwez kumtofautisha mbowe na cdm
 
Katika watu hovyo nimleta mada hivi ujawai zunguka duniani? Nenda kangalie viongozi wengine huyo nimke wake na familia wacha kuleta majungu pole sana Mleta mada sitakushanga maana ulishindwa chadema ukakimbilia ugambani

Dunuani kungine WAUME wanaletewa posa,sasa na wewe unataka tuige??
 
Sasa sijui jufanya mambo haya mbele ya watoto ni nini?alfu hiyo NYUMBA ya DUBAI anawaingiza mara vimada mara mke wandoa!!kubwa zaidi ni pesa ya RUZUKU.

Bavicha wanasema kufanya haya mbele za watoto hakuna shida lakini nimewaulizi kwanini kila Leo tunapiga marufuku watoto kuangalia tamthilia?
 
Maadili yanasemaji hasa ya kijamii?
Kwanini huwa tunapiga marufuku watoto wetu kuangalia tamthilia hasa tunazojua kila muda watu hu kiss? Huwa tuna hofia nini? Kuwa mkewe si hoja? Hii ndio njia pekee ya kuwaonesha watoto unampenda Mama yao?

Kweli waafrica hili jambo ni la kawaida?

Mbowe hana maadili kabisa.. Huwezi fanya huo ujinga hadharani mbele ya watoto.. MBOWE AFUKUZWE KWENYE CHAMA
 
Mods kwa heshima ya jukwa futa uzi huu Invisible.
Wanachotakiwa kufanya mods ni ku-balance tu ili hata zikija za upande wa pili wasiangalie huyu ni nani katika nchi.Mimi sina tatizo ila huwa sipendi doublestandard
 
Last edited by a moderator:
Nasikia familia ya Nyerere imesusia maadhimisho yenu ya kikanjanja....
Mbowe ana wife mzuri sana, hongera kamanda kwa kuoa kifala , mkeo hatuwezi kumlinganisha na huyu mama wa wana au yule wife wa upara na yule pesamoja labda mzee ruksa kidogooo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom