Aibu kwetu Watanzania sisi ni wanafiki

Aibu kwetu Watanzania sisi ni wanafiki

Nchi ya amani hii...Amani amanai!! Nimeiona hiyo Video...nikasika leo Magufuli kaenda kuembea kwa miguu Hazina, nikachoka!
 
Kuwaua wezi au vibaka si tu mioyo ya watu inadhamiria kuwafanyia hivyo nonono ,ni kutokana na dhuluma na haki kutotendeka kila mahali hasa polisi,mahakamani kote.mimi niliwakamata wezi waioniibia ndani kwangu kwa silaha na ganda la risasi likapelekwa polisi,kwakutumia simu walizoiba tukamkamata mwizi kwa juhudi binafsi ,tukawapelekea polisi na vidhibiti vyoote vinavyoweza tusaidia kupata mali hata baadhi walivyoiba.polisi walilamba laki 3,wakawaachia watuhumiwa simu tulizokamata polisi wakaanza kutumia .
Hebu niambiaeni nikikamata mwizi si kumpiga mawe afe au uchome moto tu au utampeleka polisi???
Pole sana ila ndivyo tulivyo mwenyezi mungu katupa vidole vya kudonoa katika computer. Kujichulia sheria mikononi kunatokana na wananvchi kuchoka na rushwa za vyombo vya sheria. Ukisimuliwa jinsi watu wanavyobambikiwa kesi kule polisi baada ya kushitaki wanashitakiwa nadhani hutaona jambo hili la kujichukulia sheria mkononi kama dhambi kihivyo-Kumbuka sikubaliani na hili ila hata wanaaoibiwa hawana roho ya chuma
 
Mada nzur c lazma uue mpgen kdogo labda alkua na shda hii n tz hal ya maisha tunaijua ila wanaoua huwa hawafkr kwa ukubwa
 
Mimi ckuweza kuimalizia hyo vidio mpaka mwisho hata uwe na roho gan kuimalizia yataka moyo
 
Back
Top Bottom