Nimeiona hiyo video nikasikitika sana.
Nikaamini kweli Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Mkuu, ndio maana mie NIMETOROKA kusikiliza/kuangalia Radio Free Africa (nadhani wanatudanganya tu hapa) na Star TV tokea kampeni zilipofika nusu yake kwani walikuwa hawatoi haki kwa vyama vingine pia si kwenye mikutano bali hata kwenye taarifa zao za habari!Leo nimetumiwa video ya binti mtanzania aliyeiba akiwa anapigwa mawe. Niliishia pale wamemuwekea kuni. Sikuweza endelea angalia. Nilipofika kazini kuna swali moja likawa linakuja kichwani. Why we Africans, especially Tanzanians don't hold each other to the highest standards? Ingetokea Ulaya that would have been an outrage. Lakini pia juzi tumewakasirikia South Africa kwa kuchoma Waafrica wenzao. Sisi ni wanafiki. Na vyombo vya habari Tanzania ni vinafiki, vinaogopa kuwaambia Watanzania ukweli kwamba tuna psycho kwenye jamii yetu. Vinaogopa kuiambia serikali mihimili ya sheria nchini vimefeli kwenye wajibu wao. Vinaogopa kuwaambia wananchi wa Tanzania, haswa wale wanaoshangilia hawana tofauti na walioua Rwanda au waliokaa kimya ndani ya nazi Germany. They are all guilty. Ningeomba vyombo vya habari vilishikie njugu hili balaa ya hukumu za mitaani kama ambavyo vilitangaza taarifa za ESCROW. Wachomaji na wauwaji wa vibaka au wezi wadogo waone aibu na kujificha kama ambavyo wauwaji wa albino wanajificha sasa. Nakumbuka dunia ilipoanza kuonyesha mauaji ya albino tulisema hizo ni imani za vijijini. Ikachukua nguvu ya under the same sun project na kina Vic Mtetema kulazimisha serikali ikubali kuna tatizo nchini. Leo tena tumekamatwa na mifupa. Sisi ni fisi na tunaringa kuwa ni kondoo. Tusijione kutopigana baada ya uchaguzi kunamaanisha kuna amani nchini. Amani ya kweli ni ile inayomfikia hadi mnyonge.Shame on us.. again..Tata.
Ila wezi nao wanaudhi sana.
Kuwaua siyo sawa ila kuwakata viganja inatosha sana.
Nimeiona hiyo video nikasikitika sana.
Nikaamini kweli Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kwenda.
leo nimetumiwa video ya binti mtanzania aliyeiba akiwa anapigwa mawe. Niliishia pale wamemuwekea kuni. Sikuweza endelea angalia.
Nilipofika kazini kuna swali moja likawa linakuja kichwani. Why we africans, especially tanzanians don't hold each other to the highest standards? Ingetokea ulaya that would have been an outrage.
Lakini pia juzi tumewakasirikia south africa kwa kuchoma waafrica wenzao.
Sisi ni wanafiki. Na vyombo vya habari tanzania ni vinafiki, vinaogopa kuwaambia watanzania ukweli kwamba tuna psycho kwenye jamii yetu. Vinaogopa kuiambia serikali mihimili ya sheria nchini vimefeli kwenye wajibu wao. Vinaogopa kuwaambia wananchi wa tanzania, haswa wale wanaoshangilia hawana tofauti na walioua rwanda au waliokaa kimya ndani ya nazi germany. They are all guilty.
Ningeomba vyombo vya habari vilishikie njugu hili balaa ya hukumu za mitaani kama ambavyo vilitangaza taarifa za escrow. Wachomaji na wauwaji wa vibaka au wezi wadogo waone aibu na kujificha kama ambavyo wauwaji wa albino wanajificha sasa.
Nakumbuka dunia ilipoanza kuonyesha mauaji ya albino tulisema hizo ni imani za vijijini. Ikachukua nguvu ya under the same sun project na kina vic mtetema kulazimisha serikali ikubali kuna tatizo nchini.
Leo tena tumekamatwa na mifupa. Sisi ni fisi na tunaringa kuwa ni kondoo. Tusijione kutopigana baada ya uchaguzi kunamaanisha kuna amani nchini. Amani ya kweli ni ile inayomfikia hadi mnyonge.
Shame on us.. Again..
Tata.
ila wezi wanatia hasira sana ,mimi walinirudisha hatua 98 nyuma mpaka leo nimeichukia nyumba yangu walibeba kila kitu ni mwaka sasa hata tv sijaweza nunua tena,yaani siwezi sema nisahihi kuwaua au lah ila wanatia hasira sananimeiona hiyo video nikasikitika sana.
Nikaamini kweli tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kwenda.
ila wezi wanatia hasira sana ,mimi walinirudisha hatua 98 nyuma mpaka leo nimeichukia nyumba yangu walibeba kila kitu ni mwaka sasa hata tv sijaweza nunua tena,yaani siwezi sema nisahihi kuwaua au lah ila wanatia hasira sana
Mama leo umeandika hadi nimekupenda.
Nisome vizuri, siku zote huwa nnaandika vizuri.
Kupendwa ni jadi yangu.
Dhambi zote ni sawa mmmhhh!!!!,hebu leta nukuu mkuu.Dhambi ya wizi ni sawa na dhambi ya uongo mbele za Mungu. Maana kwa Mungu hakuna dhambi kubwa au ndogo, na ndio maana hukumu ya Mungu ni ya haki siku zote.
Kama Mungu akituhukumu leo hii, ni nani atabaki?.