Aibu kwa CCM...

kwa nafasi yake huyu jamaa (nape) ingekua ni fursa kwake ajaribu kurudisha imani ya watz dhidi ya ccm hasa vijana kwa kuwa mhalisia kwa kuendana na mabadiliko ya kisiasa napata shida juu ya uwezo wake na nafasi aliyopewa na hii ni kutokana na kile anachokihubiri kwenye majukwaa kila siku, either si mwanasiasa makini au hasomi alama za nyakati,ccm ya leo si ya kutawala milele ni yeye aliyetaka kuikimbia japo anakataa na leo anasema yuko radhi abaki peke yake ndani ya chama si kujidanganya huku na atakuwa na mchango mkubwa sana kukiua chama

Kila kiongozi, mwanachama, mpenzi wa cdm wanamlalamikia Nape, huyu jamaa kweli yaonekana mmeshindwa kumdhibiti

 
Ccm kwisha kabisa! Wanabeba watu kila kona na kuwahonga ili waende kwenye mkutano wa leo jangwani. Hii ni aibu kubwa sana, hata mikutano ya kawaida tu wananunua watu! Hapa mwenge stand kuna coaster tatu, wahuni wa stend wamepewa bia na viroba ili wapelekwe jangwani kushangilia na kupiga makofi! Kwa kweli nape na nyinyiem yake hawana jipya zaidi ya kutumia pesa zetu ndivyo sivyo! Watanzania tuamke hali hii inatisha!
 
1.jpg
 
Hivi sheria za usalama barabarani huwa haziwahusu hawa wenye nguo za kijani na njano?.

Hili swala la selective justice ndo limeharibu nchi.
Ajabu sana kukuta askari ndo wapo bize kuyaongoza haya mafuso.
Ikitokea ajali tutasema kazi ya Mungu.

Tatizo ni lilelile, nalo ni uchakachuaji wa asasi za serikali na kuzigeuza vijiwe vya makada wa CCM. Ama kweli CCM kweli sasa ni maji ya shingo, wanategemea nguvu ya fedha za kifisadi ku survive. Hebu ona mwenyewe hapa; hao wote ni buku mbili mbili, chupa moja moja ya maji na pilau mbele ya safari! Ama kweli wahenga walisema hakuna refu lisilo na kilele! Wananchi wanawakimbia mwisho atabaki Nape na familia yake. Maana amesema wajapohama wote CCM yeye atabaki pekee na CCM itabaki imara kabisa (Jeshi la mtu mmoja?)
 
Ndio mkubali kwamba MAGAMBA yako juu ya sheria. Wamevunja Sheria ya Usalama barabarani kwa kubeba watu kwenye malori na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa! Maskini Mama yangu Tanzania!
 
Back
Top Bottom