Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

Bondia wa Tanzania aitwa Seleman Said ,amepewa kipigo cha paka mwizi raundi ya kwanza kwa knock out kutoka kwa bondia wa marekani.Shindalo ili ni shindano la utangulizi kabla la shindano kati ya la Joshua na Ruiz ambalo linafanyika leo hii. Bondia wa Tanzania alipigwa ngumi nzito ambayo ilimfanya apoteze fahamu na kuletewa mitungi ya hewa ya oxjen.Baada ya kupata nguvu na kusimama refa aliamua kumaliza mchezo huo na kumpa ushindi bondia kutoka marekani.mchezo unaofatia ni wa Joshua na Ruiz .Pia katika mshindano haya ya leo kuna bondia wa Tanzania mwingine kwa jina anaitwa Mohamed Swedi nae alipigwa kwa knock out bila msaada wa refa tungesikia mengine.
UNAHISI KWA UTANGULIZI HUU NN KINAFWATA KWA JOSHUA
 
Hatari sana :D :D :D :D :D :D
 
Mambo mengne kwa watu wengine unakubali tuu point za mezanii. Mimi ukinipapasa tu nikasikia upepo namkimbilia refa atangaze ushindi.
Ya nn kufaaa?

Umenikumbusha kale ka clip ka Charlie Chaplin ka ulingoni.

Hahaaa nachekaga sanaaaa, ngumi moja tu wenge nusu saa.
 
Bondia wa Tanzania aitwa Seleman Said ,amepewa kipigo cha paka mwizi raundi ya kwanza kwa knock out kutoka kwa bondia wa marekani.Shindalo ili ni shindano la utangulizi kabla la shindano kati ya la Joshua na Ruiz ambalo linafanyika leo hii. Bondia wa Tanzania alipigwa ngumi nzito ambayo ilimfanya apoteze fahamu na kuletewa mitungi ya hewa ya oxjen.Baada ya kupata nguvu na kusimama refa aliamua kumaliza mchezo huo na kumpa ushindi bondia kutoka marekani.mchezo unaofatia ni wa Joshua na Ruiz .Pia katika mshindano haya ya leo kuna bondia wa Tanzania mwingine kwa jina anaitwa Mohamed Swedi nae alipigwa kwa knock out bila msaada wa refa tungesikia mengine.

Subiri kesho majukwaani utasikia mabeberu
 
Mbona Anthony Joshua alipigwa na jamaa lenye kitambi, tumbo kubwa huku yeye akiwa na six pack yake, mrefu, mwili umegawanyika. Alitudhalilisha sana watu warefu. Leo naona wameamua kumzawadia ushindi.

Huyo mtanzania nasikia kapigwa ngumi moja ametapika dagaa ulingoni. Tumpe pole. Atakua anatokea pwani.
 
Back
Top Bottom