Aibu kubwa

Ha ha ha. binti wewe mcharuko..hujatulia
 
Last edited by a moderator:

White Gold (platinum) is everything...............ask my brother Ngcongca or Bongani a.k.a. Bongi from Umtata. He will tell you of Marikana story....of platinum.
 
Naomba Mungu nisije kuchoka kimaisha na kimtazamo mpaka kufikia level ya kufanya mambo ya aibu na kuuza utu wangu kama hivi, Eeee Mola nisaidie!
 
Hivi wewe hata ukipata huyo kibibi utaleleka kweli wewe ...mbona nilisikia watu wakisema kunguru huwa hafugiki lol! Hujambo kijana wa migegedo?
 
Hivi wewe hata ukipata huyo kibibi utaleleka kweli wewe ...mbona nilisikia watu wakisema kunguru huwa hafugiki lol! Hujambo kijana wa migegedo?

wewe mie sio kunguru bwana...nipo mwake tuu.
 
mmhz, nina maswali lukuki ila kwa sasa no comment
 
Mi nadhani inaweza kuwa ni mtoto wake wa kumzaa pia. mambo ya kidhungu bana...
 
ahahaaaaaa kumbe wengi tumemshangaa huyu kijana....ni bounser pale Pin Point....Yaani ni full kioja...hizi njaa zitawaathiri vijana wanaopenda kubweteka mkuu

Na Arusha jinsi ilivyo na pini!!! Kweli ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni.
 
aaaa wapi mi mdogo wangu au mwanangu nitafurahi sana tena nitampa maushaurina maujanja ya kukamatia.
We kama huna hela kaa pembeni waache wenzako wajilie vitamu
 
Ha ha ha. binti wewe mcharuko..hujatulia

umeona shost mi mwenyewe hapa natafuta kikongwe cha kizungu chenye miaka 120 nile pension.
Mi nashangaa watu wanaoshangaa mjini hapa utakufa na njaa...
Vipi umepata kiwalo cha tukio???...
Ukipata kishaibu cha miaka hiyo nishtue sawa dia???
 
White Gold (platinum) is everything...............ask my brother Ngcongca or Bongani a.k.a. Bongi from Umtata. He will tell you of Marikana story....of platinum.

umeona Thanda eee???
Yaani hapo limcheni na lilakti sijui dola 1000 na ngapi zilimtoka kama si $20000 na yule kijana alikuwa mjanja nauhakika baada ya siku alienda kuiuza sehemu apate hela.
Ha ndo vijana wanaotakiwa nguvu kazi sio wanakuwa na mahusiano na watasha hawana faida.
Hawaliingizii pato taifa
 
Last edited by a moderator:
Naomba Mungu nisije kuchoka kimaisha na kimtazamo mpaka kufikia level ya kufanya mambo ya aibu na kuuza utu wangu kama hivi, Eeee Mola nisaidie!

kama vijana hawataki kufanya kazi na wanapenda maisha mazuri unategemea nini?lazima mtu atauza utu wake tu
 
umeona shost mi mwenyewe hapa natafuta kikongwe cha kizungu chenye miaka 120 nile pension.
Mi nashangaa watu wanaoshangaa mjini hapa utakufa na njaa...
Vipi umepata kiwalo cha tukio???...
Ukipata kishaibu cha miaka hiyo nishtue sawa dia???
Hehehehe.hata wabongo wenye nazo wapo ila tu ndo waume za watu..je utawaweza?
Kuna huyu Bishanga mzee Mtambuzi na Asprin ila ana wake 4 tayari...
Kiwalo bana bado..Nimezunguka sana karume lakn sijafanikiwa sasa sijui itakuwaje.Napanga kuahirisha kuja nikikosa kiwalo.
 
Last edited by a moderator:

acha umbea jali mambo yako
 
mi nataka mtasha bwana tena kikongwe hao wote uliowataja babuvijana Bishanga amefiliska leo nimembamba anapiga mzinga sehemu.... Asprin wakeze tu kuwatunza wamemshinda mi kigoli ataniweza kweli???
Mtambuzi bahili bwanaaaaa hafai.

He he shostito mie mwenyewe bado kama vipi tukanunue sanda tushone vidress...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…