Aibu kubwa makampuni ya Simu za mikononi Tanzania ( Safaricom inasimamiwa na malaika?)!

Let's get our politics right first guys otherwise tutaendelea kupiga kelele kila siku bila mafanikio watawala wetu hawana adabu kwetu kwa vile wanajua hatuwezi kuwafanya kitu ndo maana kila Jambazi/Mwizi iwe ni Kampuni/mtu binafsi so long as ana hela za kuwahonga viongozi wetu then atafanya atakalo kwenye hii nchi,Hii nchi haina viongozi
 
Baadhi ya wananchi na wabunge walishuku uteuzi wa pprfessor nkoa kama DG wa TCRA, nduguye mwandosya akamkingia kifua! Na haya ndo madhara ya kupeana kazi kwa kujuana! Shame on Mkuu wa kaya!!
 
Back
Top Bottom