Aibu hii ntaificha wapi?

Aibu hii ntaificha wapi?

Niko very stressed, almost nina zaidi ya wiki sijalala kwa mawazo.
Usiku uliopita nimeamka Saa tano tu, niko macho hadi sasa.
Niko ugenini, wenyeji wamenikaribisha nipate ahueni kidogo ya msongonongo wa mawazo.
Nimeamka Saa Tano kucheni gemu ya Atletico na Real Sociadad, mpaka muda huu numeua bia zote kwenye jokofu, St. Anna chupa tatu, Windhoek chupa sita, na Martin Cinzano's moja. Jokofu jeupeeee.
Tayari msichana wa kazi kaamka na kukuta makasha tupu sebulebi.
Sijui ntapata wapi liquorshop iko wazi kabla sijatia aibu Muleba hii
Duuu Muleba ya mabibo?
 
Mbona rahisi
Kama unatoka Iringa tafuta kamba na mti wa karibu!
 
Pombe zote hizo??[emoji32]...sio aibu ni maajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom