Aibu hii ntaificha wapi?

Aibu hii ntaificha wapi?

Kama hukuvinunua na umemaliza vinywaji vya wenyeji wako na hausikii aibu, basi fahamu pombe haitakuokoa.

Last Sat ulikuwa mjini Dar, now upo wapi huko? Pole
 
kwenye jokofu hakukuwa na Kvant mkuu?
 
Waambie ukweli kuwa wewe ni cha pombe.
Kwa aliyoyafanya kuna haja ya kuambiwa au atie saini tu?
Hapo sioni shida ita housegirl mpe pesa aka replace tena double then "unawaalika "wenyrji wako kwa round nyingine huki ukitoa order ya mvuzi mzima na mama mkwe akuchomeeni!
 
Ulidanganya una vyeti wakati huna?hapo hakuna suluhisho mkuu, piga pombe mkuu hamna namna mawazo ya kukosa vyeti yanatoka kichwani labda ujisahaulishe kwa bia tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom