kwani vituo vya kawaida kuna vyoo?mbona hawakua wanajisaidia ?ni upuuzi tu wa fikraInasemekana vyoo vipo lakini muda wote vimefungwa kwa sababu utaratibu wa kuvisimamia haujaandaliwa!!....lol makubwa haya
Ni sawa na mtu unaanzisha biashara ya nyumba ya kulala wageni, hotel au bar unakuwa huna choo!!
Ndio maana namkubari kinomaAliyeongea Trump ni ukweli mtupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona imekuwa shida kwani kabla ya Dart mlikuwa mnajisaidia kwenye daladala ? Kwanza nafikiri hivyo vyoo wapewe watu kuviendesha na viwe bei ghali, kukojoa elfu 2 watu wazima mnatoka majumbani kwenu na mizigo kuja kuishusha Dart ? Shwaini zenu
Imezungumzwa akili ya muafrika. Mfano wa hali duni ya akili zetu upo hapo CDM. Mtu aliyeitwa fisadi kwa miaka nane, amesafishwa kwa miezi minne ya kampeni, tena waliofanya kazi hiyo ni wale wale waliomuita fisadi. Wewe huoni hapo kama kuna tatizo kubwa ndani ya ubongo wa muafrika!Ccm imeharibu sana watanzania
Tatizo kubwa la Watanzania au niseme Waafrika ni akili. Walio wengi "majority" ni finyu kupita kiasi.
Mambo yetu yote ni hovyo kabisa.
Pima uzito wa unachoandika, unaweza kuonekana kiazi kwa aina yako ya uandishi.hiyo ni kawaida ya watu wa deresalama wachafu sana tena ukitaka kujua wachawi chupi zao zinatoa harufu kali sana
swissme
Africa tunasafari ndefu bado ...Ustaarabu wa uhakika kabisa unaanzia kwenye familia nyumbani, unaendelezwa shule za chekea na za msingi na kuendelea...Alafu inakuwa ndo taratibu ya jamii nzima.... Ila sisi waafrika ni taabu kabisa....Tuna ishi ishi tu bila utaratibu.... Mbona mabasi kama haya yapo huko Thailand, Singapore na kwingine na hakuna ulinzi na hakuna punguani anaegeuza vituo vya hayo mabasi kama sehemu ya kujisaidia......
Hakuna Choo kwa sababu ya poor planning. Waliogenga vituo hivyo hawakuzingatia mahitaji mengine ya wanadamu. Hivyo ni vema wakagenga Vyoo haraka iwezekanavyo. Kuna sehemu nyingi sana zinazotoa huduma bila kuwa na choo. Mfano bank nyingi hazina vyoo kitu ambacho kinawapa wateja tabu wakati wanasubiri huduma. Serikali ni lazima ipitishe sheria ya kulazimisha ujenzi wa vyoo kila mahali huduma zinapotolewa kwa watu wengi.Tatizo ni hao abiria
Haiwezekani mtu na akili zake akajisaidia sehemu ambayo hakuna choo na anajua kabisa hakuna choo
Wafunge kamera tuanze kuwapost kwa youtube aibu iwashike. Usafi wa vituo ni jukumu la DART. Mabasi yawekewe muda rush hour kwenda na kurudi toka mjini.Tatizo ni hao abiria
Haiwezekani mtu na akili zake akajisaidia sehemu ambayo hakuna choo na anajua kabisa hakuna choo
Si bora hata huyu kafika angalau form four.mbona hushangai darasa la saba akina kibajaji, maji marefu, lakairo etc.Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.
Si bora hata huyu kafika angalau form four.mbona hushangai darasa la saba akina kibajaji, maji marefu, lakairo etc.
Kwa mara ya kwanza nimekupa like yangu Bi shostiiii....kweli mambo yetu yote ni hovyo kabisa...hata serikali zetu ni hovyo kabisa yaani..