The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Yaani sisi bado sana kwa kweli,utajisaidiaje kwenye kituo cha basi jamani,kabla ya vituo hivyo walikuwa wanajisaidia wapi?ila pia inatakiwa kuwe na wafanya usafi,ila jamani waweke ulinzi ili watu wasijisadie kabisa,yaani sisi watu weusi bila viboko ni sio wastaarabu hata kidogo
Inasemekana vyoo vipo lakini muda wote vimefungwa kwa sababu utaratibu wa kuvisimamia haujaandaliwa!!....lol makubwa haya
Ni sawa na mtu unaanzisha biashara ya nyumba ya kulala wageni, hotel au bar unakuwa huna choo!!