kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,896
swala ni watu wa Pwani wachafu sana
swissme
mamma yako msafi??yaani pale ulipotoka wewe pasafi?.. kapachunguze vizuri kunguni wewe
swala ni watu wa Pwani wachafu sana
swissme
Sasa hivi kwa vile ni bure ngoja wakishaanza kulipia hayo yote yatapotea pia tunapenda kululamika sana mara hakuna vyoo mbona mwanzo tulikua tunasimama hakuna kivuli jua letu mvua yetu TUNATAKIWA TUSHUKURU KWA KIDOGO wakati safari inaendeleaWakati mwingine uwa nashindwa kuwaelewa watanzania wengine wanajisadia Garden daah!!
mbona inafahamika watu wa kanda ya pwani ndo wasafi kupitiliza kuanzia mavazi na makazi yao kutokana na hulka yao ya umwinyi..na hawa wanawake unaowasema wa chupi mbona ndo wanaweke bora kwa usafi mana inasemekana sio watu wa kazi wao huwa nyumbani na kujiremba remba kwa ajili ya kuwapendezesha waume zao...mimi naona kuna makabila yenye asili ya hii tabia kutoka bara huwa wanajisaidia vichakani mfano watu toka shinyanga huwa wanakimbiza baiskeli nakuizungusha ili kutibua vumbi waweze kujisaidia alkadhalika dodoma wanajisaidia vichakani. Na hata ukiangalia wale waliokuwa wakihojiwa majina na muonekano ni wakutoka mikoa ya bara. Kwa hili la usafi binafsi kusema eti watu wa pwani ni wachafu kiukweli sikubaliani na wewe. watu wapwani hata nguvu za kugombania mabus ya bure hawana...nilichoona kuna makabila yana nguvu na ubahili ndo yaliokuwa yakipambania haya mabus. Embu jaribu kufikiria point yako je watu wa pwani haswaaa ni wachafu nadhani jibu utalipatahiyo ni kawaida ya watu wa deresalama wachafu sana tena ukitaka kujua wachawi chupi zao zinatoa harufu kali sana
swissme
Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.
povu jingi lakini kumbuka usafi wa ndani.mbona inafahamika watu wa kanda ya pwani ndo wasafi kupitiliza kuanzia mavazi na makazi yao kutokana na hulka yao ya umwinyi..na hawa wanawake unaowasema wa chupi mbona ndo wanaweke bora kwa usafi mana inasemekana sio watu wa kazi wao huwa nyumbani na kujiremba remba kwa ajili ya kuwapendezesha waume zao...mimi naona kuna makabila yenye asili ya hii tabia kutoka bara huwa wanajisaidia vichakani mfano watu toka shinyanga huwa wanakimbiza baiskeli nakuizungusha ili kutibua vumbi waweze kujisaidia alkadhalika dodoma wanajisaidia vichakani. Na hata ukiangalia wale waliokuwa wakihojiwa majina na muonekano ni wakutoka mikoa ya bara. Kwa hili la usafi binafsi kusema eti watu wa pwani ni wachafu kiukweli sikubaliani na wewe. watu wapwani hata nguvu za kugombania mabus ya bure hawana...nilichoona kuna makabila yana nguvu na ubahili ndo yaliokuwa yakipambania haya mabus. Embu jaribu kufikiria point yako je watu wa pwani haswaaa ni wachafu nadhani jibu utalipata
natumaini wewe ulitoka kwenye KIBUYU.mamma yako msafi??yaani pale ulipotoka wewe pasafi?.. kapachunguze vizuri kunguni wewe
mkuu muhifadhi..mstiri..elimu na histori ya makabila haijui..na hajui watu wa kanda zipi ni wasafi..wa wepi ndo wanatabia hizo za kuhara popote kama yeye..na bila kujua DSM sio ya watu wa pwani tu..hata mzungu yupo na anatembea uchi,na malapa hawasemi. mmasai na mashuka hawasemi..nkmamma yako msafi??yaani pale ulipotoka wewe pasafi?.. kapachunguze vizuri kunguni wewe
nshagundua wewe kuna kitu wamekufanyia watu wa pwani.povu jingi lakini kumbuka usafi wa ndani.
swissme
hahahaha ukweli unauma.nshagundua wewe kuna kitu wamekufanyia watu wa pwani.
Jamani tuwe wakweli,hivi kipindi cha daladala au wakati ule wa UDA/icarus kumbakumba watu walikuwa wanajisaidia vituoni? Au ukipanda mabasi ya morogoro ni masaa 3 njiani je,mtu utashindwa kujizuia ndani ya dk. 50 kufika unakofika ndani ya Dar? Mimi nawashangaa ITV kupiga picha kurusha hewani kwa njia ya kuripoti eti ni changamoto. Mbezi mwisho kuna vyoo posta kuna vyoo hebu acheni cheap politics.Ikiwa ni siku tano kupita baada ya mabasi ya mwendo kasi kuanza kusafirisha abiria katika Jiji la Dar es Salaam, hali ya vituo vyake inatisha
Baadhi ya vituo hivyo vinatoa harufu kali, vimeenea mikojo, kinyesi na takataka ngumu ambapo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na manispaa husika vimedai kutohusika na usafi wake.
Miongoni mwa vituo alivyotembelea mwandishi wa habari hii ni pamoja na Moroco (Kinondoni), Kinondoni B, Manyanya na Kimara Baruti ambapo vituo hivyo vimekuwa na hali inayotia shaka usalama wa abiria wanaotumia vituo hivyo kusubiri usafiri.
Gatson Makwembe, msemaji wa Jiji alipoulizwa kuhusu ufuatiliaji wa usafi kwenye vituo hivyo baada ya hali kuwa mbaya, amedai jiji halihusiki.
“Mimi siwezi kuzungumzia suala hilo kwani sisi halituhusu labda uwatafute DART au Msemaji wa Manispaa ya Kinondoni,” amesema Makwembe.
Sebastian Mhowera, Ofisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni alipoulizwa, alidai kazi ya Manispaa ya Kinondoni ni kusimamia usafi wa barabarani pekee.
“Sisi kazi yetu ni kusimamia usafi barabarani ndani ya manspaa hii na sio uchafu uliopo ndani ya vituo vya mabasi ya UDA. Siwezi kuzungumzia uchafu uliopo kwenye nyumba ya jirani,” amesema.
Alipotafutwa William Gatambi, Msemaji wa Kampuni ya DART inayosimamia UDA hakupatikana kujibu aliye na dhamana ya kufanya usafi kwenye vituo hivyo.
Hali ya wasiwasi inaendelea kutawala kwa wananchi kutokana na vituo hivyo kuwa na hali mbaya, kukosa ulinzi na hata kugeuka kuwa maeneo ya vibaka, mateja na watoto wa mitaani kupata hifadhi ya usingizi.
Kituo cha Kimara Baruti kimekuwa na mlundikano mkubwa wa watu, harufu mbaya inayotokana na kinyesi, mkojo huku mwingine ukiwa umefungwa kwenye chupa za maji na kutupwa hovyo. Uchafu wa kituo hicho unafanana na vituo vingine.
John Mgonja, mmoja wa abiria aliyekuwa akisubiri usafiri katika Kituo cha Moroco ameeleza kushangazwa na huduma mbovu za vituo hivyo.
“Kwanini vituo havina ulinzi, hakuna maji, sakafu chafu, taka ngumu kila mahali na harufu mbaya mpaka imekuwa kero.
“Sijui sisi tuna tatizo gani, hivi haya mambo yote hayakuwa kwenye mpango wao. Wao wanachojua ni kukusanya fedha kwa ajili ya nauli tu?” amehoji Mgonja.
Amesema, watu wanalazimika kufanya hivyo kwa kuwa, kama amebanwa na haja na vyoo vipo kwake anaona ni bora kikudhi haja yake kwanza mengine mbele kwa mbele.
“Sasa kama umefika hapa na umebanwa kwanini usijisaidie, lakini hata kama utaacha vyoo vichafu nani atakukamata? Hakuna mlinzi na hakuna usalama wowote,” amesema.
Wakati mwingine uwa nashindwa kuwaelewa watanzania wengine wanajisadia Garden daah!!
