Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,580
- 23,915
Wangapi wanajua kilichotokea kumbi za DDC Dar es Salaam zilipofunguliwa kwa mara ya kwanza na Waswahili wakakuta vyoo vya kisasa vya haja kubwa na haja ndogo? Hivi mnajua hali ilikuwaje Rais Mwinyi alipoinga Ikulu kwa mara ya kwanza mwaka 1985 na kukuta vyoo vya kisasa vya kukalia? Wangapi wanakumbuka barabara za lami zilipojengwa kwa mara ya kwanza Uswahilini kwenye miaka ya sitini, hali ilikuwaje? Kuna wakati Watanzania wachache walitamani mji mkuu wa nchi hii heri ungehamishwa, je mnajua sababu hasa?