Aibu, fedhea ya DART, Jiji, Manispa Dar

Aibu, fedhea ya DART, Jiji, Manispa Dar

Magufuli ameonyesha kwamba maigizo yana mwisho haya wamelazima mradi kuanza bila kujiandaa huku wakijuwa watu wao wakoje haya sasa utasikia Fulani katumbuliwa jipu badala ya kumtumbua makonda anayetaja bei huku akiachia kipindupindu kikianzishwa
 
Wakulaumiwa ni watu wanaokijoa na kunya hovyo kabla ya watu wengine. Watu wanalalamikia vituo havina vyoo, zamani kuna kituo gani cha daladala kilikuwa na choo? Unatokaje nyumbani kwenda kituoni na mkojo au haja kubwa kama si tabia mbaya tu? Watanzania wenyewe bado sana kwa kweli. Wanahitaji nguvu kubwa sana kuwabadilisha mawazo yao. Unye na kukojoa wewe ulalamikie wengine? Sio fair

Usishangae ndio tabia za watu wa dar
 
Poleni sana Nasikia Songas wamegoma kuuza umeme kwa Tanesco, Tuvumilie tu

Back to the Topic,

Sasa kwa nyomi ile pale vituoni na vyoo vimefungwa unajisaidiaje nje? Inahitaji ujasiri wa aina yake.

Watu wa dar hawana aibu ndio zao hizo
 
Ina maana kuna watu wanaacha vyoo nyumbani alafu wanaenda kujisaidia katika stendi za mabasi ya mwendo kasi?mh.....
Ndo maana kipaumbele cha kwanza, cha pili na cha tatu cha Lowassa kilikuwa Elima Elimu Elimu.
 
kukurupuka so far miezi karibu saba tangu waingie madarakani kila kitu valu valu tu hakuna uongozi maigizo matupu
 
Ina maana kuna watu wanaacha vyoo nyumbani alafu wanaenda kujisaidia katika stendi za mabasi ya kasi?mh.....
Ndo maana kipaumbele cha kwanza, cha pili na cha tatu cha lowassa kilikuwa Elima Elimu Elimu.

Watu wa dar hata ukiwapa elimu hawaelimiki mkuu
 
Ni aibu ya wanaovichafua pia...hadi mtu unaenda kujisaidia huku unategemea nini
 
Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.
"Politicians can change a woman into a man, and a man into a woman without going through any medical processes"- Atta Kwabenah (Journalist)
 
Dasalama imejaa watu wa ajabu ajabu sana...usiwaamini hata ukiona wamevaa smart.
 
Wana dar es salaam wengi wamepata vyoo na gesti za bure.
 
Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.
Huyo mbunge kwani kaenda kusoma taaluma humo !? Sugu yeye ana ya point ngapi !? .....Mwenyekiti alizungusha form six na anaendesha saccos ya kaskazini !
 
Tunajaribu kujifariji ila ukweli Tanzania imejaa vilaza. Hata tukisema tunakomaa kuanzisha sijui nini, hii nchi bila watu wenye akili itabaki palepale, utaleta viwanda vitakufa au viajiri wageni sio wabongo, wabongo wengi wavivu, wezi kazini, wachafu, inshort hawana sifa za kusema wanaweza kufanya kitu kikubwa.

Alafu huu mradi pia walilipwa billions kujenga hivi vituo, wanajengaje vituo bila kuweka vyoo?Tanzania vyoo vya public ni vya kulipia kitu cha ajabu sana, tuchukue mfano wa South Korea, kuna vyoo vya bure kila mtaa, vikubwa, visafi, huwezi kuta mtu kajisaidia njiani, watu hawajisaidii juu ya vyoo ovyo na vinasafishwa kila masaa machache na wazee.
 
Tatizo ni hao abiria
Haiwezekani mtu na akili zake akajisaidia sehemu ambayo hakuna choo na anajua kabisa hakuna choo
hahaha mkuu hapo unautani na mgombea flani hv alijisaidia hadharani.
 
Waafrika tuna uselamavi mwingi

Ustaarabu mdogo, uwanja wa Taifa ukienda vyooni unaweza kulia.

Level ya Hipocricy inazidi level ya decency

Elimu na ufahamu wetu wa issues ni mdogo

Ubinafsi ni mwingi sana, mfano watu wanasukumana milangoni kuwahi seats

USTAARABU NDICHO CHA MSINGI ZAIDI
 
jamani si nilisikia jiji la dar liko chini ya UKAWA, meya wetu tufanyie makeke bana, jiji linakuwa chafu tena????
 
Back
Top Bottom