Aibu, fedhea ya DART, Jiji, Manispa Dar

Aibu, fedhea ya DART, Jiji, Manispa Dar

Tatizo la hii nchi ni sheria zilizopo hazilazimishi watu kuwa wasafi.angalia baadhi ya nchi za wenzetu huwezi ona mtu anachafua na asikamatwe.watanzania walazimishwe kuwa wasaf kwa kutunga sheria kali zitakazomfos mtu kuwa msafi kuanzia nyumbani kwake hadi sehemu nyingine za uma.
 
Inasemekana vyoo vipo lakini muda wote vimefungwa kwa sababu utaratibu wa kuvisimamia haujaandaliwa!!....lol makubwa haya

Ni sawa na mtu unaanzisha biashara ya nyumba ya kulala wageni, hotel au bar unakuwa huna choo!!
kwani vituo vya kawaida kuna vyoo?mbona hawakua wanajisaidia ?ni upuuzi tu wa fikra
 
Mbona imekuwa shida kwani kabla ya Dart mlikuwa mnajisaidia kwenye daladala ? Kwanza nafikiri hivyo vyoo wapewe watu kuviendesha na viwe bei ghali, kukojoa elfu 2 watu wazima mnatoka majumbani kwenu na mizigo kuja kuishusha Dart ? Shwaini zenu
 
Ccm imeharibu sana watanzania
Imezungumzwa akili ya muafrika. Mfano wa hali duni ya akili zetu upo hapo CDM. Mtu aliyeitwa fisadi kwa miaka nane, amesafishwa kwa miezi minne ya kampeni, tena waliofanya kazi hiyo ni wale wale waliomuita fisadi. Wewe huoni hapo kama kuna tatizo kubwa ndani ya ubongo wa muafrika!
 
Tatizo kubwa la Watanzania au niseme Waafrika ni akili. Walio wengi "majority" ni finyu kupita kiasi.

Mambo yetu yote ni hovyo kabisa.

Kwa mara ya kwanza nimekupa like yangu Bi shostiiii....kweli mambo yetu yote ni hovyo kabisa...hata serikali zetu ni hovyo kabisa yaani..
 
hao china security wanafanya kazi gani huu mradi kabla ya kuanza ulipaswa kuangalia vitu vyote ila na sisi wananchi inabidi tujiangalie maana haiwezekani kujisaidia kwenya vituo vya mabasi
 
Shenzi zenu kabla ya dart mlikuwa munajisaidia wapi? Daladala gani lina choo ndani? Waweke vyoo kukojoa elfu mbili kushusha mzigo elfu tano.
 
Tuweke watu wakae na dust bin kutupa uchafu unalipia elfu tano, ukitupa chini ukikamatwa unalipa elfu ishirini. Huwezi weka mfukoni utaenda tupa kwenu, hili ndio tatizo la watu kupanda bure washenzi wanajazana kwenye magari.
 
Africa tunasafari ndefu bado ...Ustaarabu wa uhakika kabisa unaanzia kwenye familia nyumbani, unaendelezwa shule za chekea na za msingi na kuendelea...Alafu inakuwa ndo taratibu ya jamii nzima.... Ila sisi waafrika ni taabu kabisa....Tuna ishi ishi tu bila utaratibu.... Mbona mabasi kama haya yapo huko Thailand, Singapore na kwingine na hakuna ulinzi na hakuna punguani anaegeuza vituo vya hayo mabasi kama sehemu ya kujisaidia......
 
Africa tunasafari ndefu bado ...Ustaarabu wa uhakika kabisa unaanzia kwenye familia nyumbani, unaendelezwa shule za chekea na za msingi na kuendelea...Alafu inakuwa ndo taratibu ya jamii nzima.... Ila sisi waafrika ni taabu kabisa....Tuna ishi ishi tu bila utaratibu.... Mbona mabasi kama haya yapo huko Thailand, Singapore na kwingine na hakuna ulinzi na hakuna punguani anaegeuza vituo vya hayo mabasi kama sehemu ya kujisaidia......

S
 
Tatizo ni hao abiria
Haiwezekani mtu na akili zake akajisaidia sehemu ambayo hakuna choo na anajua kabisa hakuna choo
Hakuna Choo kwa sababu ya poor planning. Waliogenga vituo hivyo hawakuzingatia mahitaji mengine ya wanadamu. Hivyo ni vema wakagenga Vyoo haraka iwezekanavyo. Kuna sehemu nyingi sana zinazotoa huduma bila kuwa na choo. Mfano bank nyingi hazina vyoo kitu ambacho kinawapa wateja tabu wakati wanasubiri huduma. Serikali ni lazima ipitishe sheria ya kulazimisha ujenzi wa vyoo kila mahali huduma zinapotolewa kwa watu wengi.
 
Tatizo ni hao abiria
Haiwezekani mtu na akili zake akajisaidia sehemu ambayo hakuna choo na anajua kabisa hakuna choo
Wafunge kamera tuanze kuwapost kwa youtube aibu iwashike. Usafi wa vituo ni jukumu la DART. Mabasi yawekewe muda rush hour kwenda na kurudi toka mjini.
 
Tatizo sio la abiria tatizo ni la DART. Vyoo vyote wamefunga hali wanajua kabisa kwamba watu wanatumia vituo. Pia Dart kwa nini hawajajiandaa kuweka watu wa usafi pamoja na maji
 
But kwa hali ya uchafu na kutokuwa smart kwa public issues mie sishangai kwa hakika, maana hatuna ushawishi wa kutunza hali inayotuzunguka labda ya chumbani kwako tu!!.
 
mmetengezewa vituo vizuri na usafiri sasa mnataka vyoo bongo shida sana.
 
Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.
Si bora hata huyu kafika angalau form four.mbona hushangai darasa la saba akina kibajaji, maji marefu, lakairo etc.
 
Huyo kajitia mjuaji kumbe wadau wanamchora ! Tayari keshaanikwa mchana kweupe.
Si bora hata huyu kafika angalau form four.mbona hushangai darasa la saba akina kibajaji, maji marefu, lakairo etc.
 
Back
Top Bottom