life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?

Haya si majibu ya mtu mwenye hekima. choo ni sehemu inayo takiwa kuwa safi sana, huko ndiyo chando cha magonjwa ya kuambukiza. kutoa kasoro ni sehemu ya kuboresha kitu
Ameshakwambia kwenda vyooni ndio mara yake ya kwanza,! Mbona mmekuwa wagumu kuelewa! Na pia huduma kama hizo ni lazima ziwepo katika sehem kama hizo ukizingatia kwamba unaenda kusafiri tu
Hata sisi pia tunasafiri na tunavijua vyoo vya airport. Dosari ya siku moja au muda mchache isifanye kuponda kiasi hicho. Kumbuka pia kuwa toilet paper ni consumables, inatumika na kuisha hivyo inabidi kuwa replaced
JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?
Kwani kwako mabomba huwa hayazibi?
umeua mkuu. wajifunze sio kila kitu kuponda tu
usilete habari ambazo hazina tija kwenye dunia ya biashara .....cha muhimu TAA warekebishe mambo ambayo hayajakaa vizuri kama hizo Toilet na ziwe zina mvuto na harufu nzuri, AIC zinavuja na hazitoi ubaridiKwani kwako mabomba huwa hayazibi?
Majibu ya kijingaUmeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?
Ameshakwambia kwenda vyooni ndio mara yake ya kwanza,! Mbona mmekuwa wagumu kuelewa! Na pia huduma kama hizo ni lazima ziwepo katika sehem kama hizo ukizingatia kwamba unaenda kusafiri tu
NO bhana! that is business bhana! life is business! sio wafanye masikhara hata pa kujisaidia haja ndogo! au ndo tunasubiri mwekezaji aje awekeze toilet paper na flashing system ya chooni! shame upon us!
Wewe ndiyo juha. Mtu mmoja anaibuka na kuleta umbeya wake halafu unakaa unashabikiaMajibu ya kijinga
usilete habari ambazo hazina tija kwenye dunia ya biashara .....cha muhimu TAA warekebishe mambo ambayo hayajakaa vizuri kama hizo Toilet na ziwe zina mvuto na harufu nzuri, AIC zinavuja na hazitoi ubaridi
mimi binafsi bananibore kiukweli
NO bhana! that is business bhana! life is business! sio wafanye masikhara hata pa kujisaidia haja ndogo! au ndo tunasubiri mwekezaji aje awekeze toilet paper na flashing system ya chooni! shame upon us!
BUHABU .....Huna jipya na nina wasiwasi na utendaji wako wa kazi kwenye ofisi yako
Hakuna umbeya, vyoo vya airport ni vichafu, vinanuka na ile sabuni wanayotumia inanuka na ni locally made chini ya viwango, mambo ya rushwa kwenye mikataba ya usafiWewe ndiyo juha. Mtu mmoja anaibuka na kuleta umbeya wake halafu unakaa unashabikia