Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?
binafsi zaidi ya mara 3, mibomba inamwaga maji yanatuama hovyo tu.
Kwani kwako mabomba huwa hayazibi?
Kwani kwako mabomba huwa hayazibi?
Umeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?
Kwani kwako mabomba huwa hayazibi?
JAMANI WADAU MIMI KAMA MTANZANIA KUNA SUALA LILINISHANGAZA sANA BAADA YA KUFIKA AIRPORT YETU TUNAYOIITA INTERNATION AIRPORT WAKATI NASUBIRI MDA WA FLIGHT YANGU UFIKE,NILIBANWA NA HAJA NDOGO,, SIKUWAI KUINGIA TOILET ZA HAPO KABLA,,BASI NILIYOYAKUTA MMMMHH JAMANI NI SUALA LA TOILET ZA ABIRIA ...JAMAN HEBU MAMBO MENGINE TUWE NAYO MAKINI TOILET HAINA HATA TOILET PAPER,FLASH ZIMEKUFA JAMANI KAMA KUNA WADAU WAPO KARIBU NA HAO WATU PLZ WAPEWE TAARIFA KWANN HATUWI MAKINI LAKINI ISIWE KAMA YA UWANJA WA TAIFA VYOO VIMEZIBA UTAFIKIRI MASHABIKI WANAINGIA BURE NI HAYO TU
Haya si majibu ya mtu mwenye hekima. choo ni sehemu inayo takiwa kuwa safi sana, huko ndiyo chando cha magonjwa ya kuambukiza. kutoa kasoro ni sehemu ya kuboresha kituUmeenda airport kun.ya au kusubiri usafiri? After all, mara ngapi umeshatumia vyoo hivyo ukakuta toilet paper hakuna?
Kwani kwako mabomba huwa hayazibi?
Haya si majibu ya mtu mwenye hekima. choo ni sehemu inayo takiwa kuwa safi sana, huko ndiyo chando cha magonjwa ya kuambukiza. kutoa kasoro ni sehemu ya kuboresha kitu
thanks, and I always doUmesema kweli kabisa. Ila usipate stress sana ndugu yangu ........................... Hivi umeshatafakari jinsi nchi yetu inavyoendeshwa katika sekta mbali mbali??? Hii inaonyesha kuwa ACCOUNTABILITY katika idara nyingi au vitengo vingi hapa nchini ni almost 0 ................. CHANGE is needed in all aspects - PRAY FOR THIS NATION!!!