prida
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 1,285
- 2,573
- Thread starter
- #41
NImebahatika kupata nafasi ya kupeleka demo sehemu 2 ila isopungua hizo episodes nilizotaja lkn wanajua ni Ai generated kwa asilimia kubwa.Ushauri..
AI generated videos hazina human touch na ni rahisi kupuuziwa..
Hiyo 6m ni kubwa mno, kama ungeweza Unge fanya real production,, trust me ukienda kusaka director ambaye yuko hungry ukawa unampa laki kwa siku.. Then ukagharamia location hauta tumia hela nyingi na itauza sana.
Sijui kwanini but I find AI generated stuff hectic..
Sijajua maudhui ya hiyo documentary ila kama ni ya kibiashara tumia AI kwa uchache sana. Itakusaidia kwenye sales.
Anyways, hongera kwa kujifungua, Mwambie uncle Nakuja kumwona soon(jokes).
Best wishes
Nikisema niandae na normal production company ukweli nitahitaji budget isopungua 150M na labda nitahitaji kufanya kazi na wakenya au wa south Afrika.Wabongo sidhani wataweza ku deliver kinachotakiwa.Wabongo hawako seriius na kwenye suala la muda ni vichomi.
ASANTE🙏
Ukija zawadi ziwe double