AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

Tatizo la watu wengi wanadhani AI ni kitu kipya, kumbe ni kitu kimeanza miaka ya 1950s huko na wenzetu wamekua wakikiboresha taratibu. AI ipo karibu katika kila kifaa cha kielektroniki.
SIJUI KAMA KUNA WATOTO HAPA JF WANAMFHAMU BONZIBUDDY MIAKA 1999-2004
sddefault.jpg
 
Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ??

Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini utaileteaje AI kutatua changamoto za uzalishaji ilhali wakunamitambo au resources za uhakika na zenye uwezo wa kuzalisha pakubwa.

Wananchi masikini watoa kodi wanatoa wapi hizo pesa za kulipia subscription za AI??

maendeleo au ukuaji wa uchumi wa nchi unapimwa katika mfumo wa GDP na sio watu wa VIP tu.

Nimechoka kutype ngoja tu nilale bn.
Wewe hujui chochote khs unachozungumzia, twende tukajadili kula tunda kimasihara.
 
Wadanganye wasiojua [emoji1][emoji1]. Nahisi hujui maana ya AI we mbuzi jike Artificial intelligence ndo maana yake mzee ili itumike keenye simu inatakiwa udownload app sasa unaponambia simu inatumia AI ni udwanzii uliopitiliza level [emoji1787][emoji1787]
I prefer the term "Alternative Intelligence"
 
Hebu muda mwengine jifunze vitu hata kwa ufupi ili ukija kuandika hadharani usiojianike ujinga wako mbele ya kadamnasi. Siku hizi kila kitu kinatumia AI hata simu yako hiyo kama sio Tecno.

Wewe nani alikeqmbia AI ni lazima iwe Application? Au unadhani AI ni mpaka ikuandikie barua ya kuombea kazi?

Kama unashindwa kutofautisha kati ya Interactive Artificial Intelligence na Processing Based Artificial Intelligence then wewe haufai kusema chochote juu ya hii topic.

It's pathetic how siku JF imejaa wajuaji wasiojua chochote.
I prefer the term "Alternative intelligence"
 
Nimesoma hapa wengi wanataka kujua hiyo AI ni nini,lkn kuna watu wanataka kujifanya wao wanaijua zaidi wakati hawawaeleweshi wengine AI ni kitu gani...
Ai ni kwa utaalamu ni mfumo ambao upunguza majukumu ya kuchakata kazi na taarifa au kupunguza majukumu ya kazi ambazo mfano kama ziliweza kutumia mda,utendaji,utaalamu,ufanisi na uchambuzi basi utengenezwa mfumo kwa jina robot liloundwa kwa lugha ili kukusaidia kuyafanya bila wewe kusumbuka.
mfano software ya kuchora nyumba turudi miaka 90 kushuka ilitumia mda mwingi ilibidi kuwa na vipimo na kikokoto lakini leo software hiyo unaweza kuchora na kukupa hesabu na kiwango mfano mizani na vipo na hii yote kunambadala mfano wa binanadamu (robot).
maboresho haya yapo kwenye search engine mfano google,kupima hali ya hewa,hesabu na vipimaji,kukusanya taarifa na kufanya kazi.mfano kupiga simu mpagilio,kujua matumuzi yako ya unachokifanya,unapendelea nini,kukusaidia kukuweka karibu na mamilioni ya data kwa urahisi kabisa.
 
AI ni nzuri lakini Tanzania kukumbatia AI ni sawa na mtoto wa miezi 3 kupewa miwa atafune.
Ni vyema tufanye mambo ya wakati wetu.
Wazungu na sisi tuko wakati tofauti
Yaani sisi kutegemea technologia ya watu itatutesa sana maana kabla hata hatuja master wao wanaleta nyingine na sisi tuna cheza ngoma yao bila hata kujua mazingira ya matatizo yao yako tofauti na sisi
 
Yaani sisi kutegemea technologia ya watu itatutesa sana maana kabla hata hatuja master wao wanaleta nyingine na sisi tuna cheza ngoma yao bila hata kujua mazingira ya matatizo yao yako tofauti na sisi
mpaka leo tanzania tupo ORACLE VERSION 9
 
Majibu ya akili Mnemba

Akili bandia, au AI, ulianza kutumika katika miaka ya 1950. Mwanahisabati na mtafiti Alan Turing alikuwa mmoja wa waanzilishi wa AI na alikua na dhana maarufu inayojulikana kama "mtihani wa Turing" ambayo ilihusu uwezo wa mashine kuiga tabia ya binadamu. Tangu wakati huo, maendeleo mengi yamefanyika na AI imekuwa sehemu muhimu ya teknolojia katika maeneo mengi kama vile kompyuta, lugha ya asili, roboti, magari ya kujiendesha, na zaidi.
 
Huwezi kuelewa impact ya ai kwenye uchumi kama unaitumia kutengeneza vikaragosi na kuvupost online kijana. Nakupa mofano michache.

Kuna mamia ya vijana waliokuwa wanahudumu katika call centers za makampuni makubwa wamepoteza Ajira. Na effect itakuwa kubwa zaidi endapo makampuni mengi yata adopt AI kwenye operations zake.

Hii soon itawafikia hata professionals ...madaktari, wanasheria, wahasibu hata developers wa mifumo
 
It's pathetic how siku JF imejaa wajuaji wasiojua chochote.
hii imeanza baada ya JamiiForums kutoa link za kujiunga na jf kwenye mitandao ya vilaza huko fb , ticktock na insta......

Nasoma huu uzi, watu wana tema pumba tupu tena kwa kujiamini kama maprofesa mbele ya wanafunzi vilaza....
 
Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ??

Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini utaileteaje AI kutatua changamoto za uzalishaji ilhali wakunamitambo au resources za uhakika na zenye uwezo wa kuzalisha pakubwa.

Wananchi masikini watoa kodi wanatoa wapi hizo pesa za kulipia subscription za AI??

maendeleo au ukuaji wa uchumi wa nchi unapimwa katika mfumo wa GDP na sio watu wa VIP tu.

Nimechoka kutype ngoja tu nilale bn.
Wewe ni kilaza sana! Mara useme kusomesha Watoto private ni matumuzi mabaya ya pesa na sasa tena hutaki AI🤣🤣!
Huwezi kuisimamisha Dunia wewe! Matumizi ya AI ni ama u- adapt or die!
Kinachokusumbua ni elimu hafifu uliyopata toka shule za kata.
 
Nimesoma hapa wengi wanataka kujua hiyo AI ni nini,lkn kuna watu wanataka kujifanya wao wanaijua zaidi wakati hawawaeleweshi wengine AI ni kitu gani...
Safi sana 90% ya watanzani na waliopo kwenye huu uzi bado hawajaielewa vizuri AI zaidi ya kujitapa tu kuidefine lakini ufahamu wa kina wa namna inavyofanya kazi wengi humu bado hawajajua wanajibu tu kwa mihemko.
 
AI unanisaidia sana kwenye kuandaa maswali ya Physics Kwa wanafunzi wangu....
Sijaingia Google namaliza miezi 4
 
Naombeni maelezo ya kina kuhusu hii AI, naisikia sana lakini hadi sasa sijaelewa vizuri utendaji kazi wake. Naelewa kama ni akili bandia, lakini kama ikiletwa Tanzania namna itakavyoanza kutenda kazi ndiyo sijaelewa vizuri, na itatumikaje. Mwenye uelewa zaidi kuhusu hii atueleweshe.
ikiletwa lini kwani haipo mkuu
 
Ety mostly wengi ni wajinga,, unajifariji kipumbavu sana.
Hapana, wewe ndio unauejifariji kipumbavu kwamba mimi naweza waza kujifananisha na mzungu ili nijione mwenye akili kama wewe. Wewe sio mpumbavu tu kwamba unajiona huna akili mbele ya mzungu, bali ni mjinga usiyejitambua. Sikutukani bali nakwambia ukweli sababu mimi sio mjinga kama wewe.

Wewe umewahi ona wapi Africa kuna mwanamke analilia kutambulika kama mwanaume au mwanaume analilia kutambulika kuwa kama mwanamke? Even worse kufanya upasuaji na kubadili jinsia kwenye pussy anaweka mashine na kwenye mashine anaweka pussy?

Fuvk naona tabu hata kuandika huu uhalisia ulio wazi. Ila acha tuendelee nione kama bichwa lako limejaa maji au tope.

Sasa kama haujawahi kuona hivyo vitu hapa, basi tambua huko nje kwa hao wazungu unaosema wana akili, kwao ni sifa na wanaitana majasiri.

Sasa jiulize nani mwenye akili kati ya wewe Mwafrika unaetambua wewe ni nani na unatakiwa ufanye nini, na dume moja la kizungu linalovaa gauni na kujivisha make up.

Kama ukinijibu "ndio" basi mimi nitaishia hapa sababu utakuwa tayari umeshapotea na sitapoteza muda wangu na watu wa upinde. Goddammit, idiots everywhere.
 
Wadanganye wasiojua [emoji1][emoji1]. Nahisi hujui maana ya AI we mbuzi jike Artificial intelligence ndo maana yake mzee ili itumike keenye simu inatakiwa udownload app sasa unaponambia simu inatumia AI ni udwanzii uliopitiliza level [emoji1787][emoji1787]
Yaani bora ungekaa kimya unajidhalilisha... Au unatumia simu ya nokia ndo maana bado unadhani AI ni App? Kwa hiyo ku un-lock simu kwa facial recognition sio AI? Text prediction sio AI? voice recognition sio AI? Camera je?
Haya nimekusaidia kuiuliza chatGPT uelewe we kiazi. Soma hapa chini we kiazi.

Do smart fones use AI?


ChatGPT
Yes, many smartphones use AI technology in various ways. AI is integrated into smartphone features such as virtual assistants (like Siri, Google Assistant, or Bixby), camera enhancements (such as scene recognition and portrait mode), predictive text input, voice recognition, facial recognition for unlocking the device, and even battery optimization algorithms. AI helps smartphones understand user behavior, improve performance, and provide personalized experiences.
 
Back
Top Bottom