AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

AI sio kitu kipya, tangu 2011 nilikuwa nina simu yangu samsung ilikuwa na features nyingi za AI, hata ile app ya Shazam ni AI, hata google chrome inatumia AI.

AI ni kitu general sana, inabidi kuichambua hiyo AI unayozungumzia ipo katika mfumo upi au kusaidia kazi ipi.
Mleta mada ndo wale wajuaji wa vijiweni full kudanganya watu kwa vitu wasivyovijua
 
Hapana, wewe ndio unauejifariji kipumbavu kwamba mimi naweza waza kujifananisha na mzungu ili nijione mwenye akili kama wewe. Wewe sio mpumbavu tu kwamba unajiona huna akili mbele ya mzungu, bali ni mjinga usiyejitambua. Sikutukani bali nakwambia ukweli sababu mimi sio mjinga kama wewe.

Wewe umewahi ona wapi Africa kuna mwanamke analilia kutambulika kama mwanaume au mwanaume analilia kutambulika kuwa kama mwanamke? Even worse kufanya upasuaji na kubadili jinsia kwenye pussy anaweka mashine na kwenye mashine anaweka pussy?

Fuvk naona tabu hata kuandika huu uhalisia ulio wazi. Ila acha tuendelee nione kama bichwa lako limejaa maji au tope.

Sasa kama haujawahi kuona hivyo vitu hapa, basi tambua huko nje kwa hao wazungu unaosema wana akili, kwao ni sifa na wanaitana majasiri.

Sasa jiulize nani mwenye akili kati ya wewe Mwafrika unaetambua wewe ni nani na unatakiwa ufanye nini, na dume moja la kizungu linalovaa gauni na kujivisha make up.

Kama ukinijibu "ndio" basi mimi nitaishia hapa sababu utakuwa tayari umeshapotea na sitapoteza muda wangu na watu wa upinde. Goddammit, idiots everywhere.
Hakuna cha maana ulichokiandika zaidi ya kuanika hadharani tu ujinga ulio nao,, siwezi hata kubishana na wewe...
 
AI sio kitu kipya, tangu 2011 nilikuwa nina simu yangu samsung ilikuwa na features nyingi za AI, hata ile app ya Shazam ni AI, hata google chrome inatumia AI.

AI ni kitu general sana, inabidi kuichambua hiyo AI unayozungumzia ipo katika mfumo upi au kusaidia kazi ipi.
Kuna watu ni ngumu kuwafanya waelewe, ni bora kuwaacha tu.

AI ni mitambo kufanya kazi kama binadamu, kwa hiyo hakuna nchi duniani ambayo haitumii AI.

Simu ni AI, computer ni AI.

Ukienda kiwanda cha bia karibu kila inafanywa na AI.

Chupa inatembea kwny conveyor belt inapita kwny kitu kinaitwa EBI(Empty Bottle Inspection) inakaguliwa, inaenda kwenye mtambo unaitwa Filler, inajazwa liquid, inafunikwa kizibo na machine, inaenda kwenye Labler, inawekewa lable.

Inaenda kwny AI inaitwa FBI, yaani Full Bottle Inspection, inakaguliwa, kama haijajaa vizuri inawekwa pembeni.

Kiwanda kizima cha TBL wanaweza kuingia watu watano tu na production ikafanyika, kazi nyingi zinafanywa na mitambo yenye akili kama binadamu, lakini ni Akili bandia.

Ndio maana ya AI, Artificial Intelligence.

Kilichopo wanataka kuboresha zaidi, kazi nyingi zaidi zifanywe na mitambo.

Wabongo hatutaki, kwamba tutakosa kazi.
 
Ni Sawa Na Kusema Maendeleo Ya Science Na Technology Hayana Umuhimu Hapa Kwetu.

Hata Simu Kipindi Cha Nyuma Hapa Kwetu Iliaminika Ni Ushetani
 
ili taifa liendelee lazima tukubali twende na kasi ya teknolojia inavyotupeleka
kwa sasa huwezi sema hutumii AI ni mambo mawili ni aidha unatumia bila kujua au unampa akufanyie anatumia AI
binafsi natumia AI kwenye biashara zangu na

kwa sasa
1. natumia kutengeneza picha za models (yule model simlipi tena)
2. kutengeneza social media content (ile kampuni ya kusimamia media zangu siwataki tena)
3. designer hali tena ela yangu AI inanifanyia
4. sipeleki photoshoot bidhaa zangu AI inanifanyia
5. simlipi developer tena AI inanifanyia kwa $2 kwa mwezi
6. kuandaa mpango kazi AI inafanya
7. mshauri wa biashara AI inafanya
8. kuniandalia reports na mazaga zaga mengine
9. kunitengenezea videos za bidhaa
10. nikielemewa na kazi AI ananisaidia unakuta kazi keshamaliza ndani ya dakika kumi kazi yangu kuhamisha tu

Huduma zote nazipata kwa subscription ya $49/m


Team AI oyee
 
Wadanganye wasiojua [emoji1][emoji1]. Nahisi hujui maana ya AI we mbuzi jike Artificial intelligence ndo maana yake mzee ili itumike keenye simu inatakiwa udownload app sasa unaponambia simu inatumia AI ni udwanzii uliopitiliza level [emoji1787][emoji1787]
jamaa yupo sahihi
 
Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ??

Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini utaileteaje AI kutatua changamoto za uzalishaji ilhali wakunamitambo au resources za uhakika na zenye uwezo wa kuzalisha pakubwa.

Wananchi masikini watoa kodi wanatoa wapi hizo pesa za kulipia subscription za AI??

maendeleo au ukuaji wa uchumi wa nchi unapimwa katika mfumo wa GDP na sio watu wa VIP tu.

Nimechoka kutype ngoja tu nilale bn.
Aipeleke KANISANI kwake.
 
yes na wengine washaanza kuvuta mpunga kwenye makampuni makubwa
mfano abood now wanazile chatbots
Hii hii bongo nyoso kwa maIT gani ambao hata kutengeneza software zao binfsi ni kazi labda ungenmbia nigeria kidogo ningekuelewa
 
Hii hii bongo nyoso kwa maIT gani ambao hata kutengeneza software zao binfsi ni kazi labda ungenmbia nigeria kidogo ningekuelewa
bongo land ndugu yangu vijana wanafanya sema ndo hivyo mshakaririshwa
NB:Nigeria wameji brand vzr na wanapeana sapoti tofauti na hapa kwetu
 
AI itakua na matokeo mabaya sana kuliko faida ndani ta Tanzania,hasa upande wa elimu itapunguza sana uwezo wa wanafunzi kufikiri
Mfano. nilibahatika kupiga stori na lecture mmoja wa chuo fulani na aliyozungumza kuhusu AI ni mengi mno,
Assignment akitoa saa nne saa sita imekusanywa haijalishi ugumu wake,
Wapo wanaocopy na kupaste,wapo wanaoedit
Hali si nzuri
 
Hakuna cha maana ulichokiandika zaidi ya kuanika hadharani tu ujinga ulio nao,, siwezi hata kubishana na wewe...
The fact that nia yako ilikuwa kubishana ni sababu tosha ya mimi kukuita wewe fala usiyekuwa na akili.

Endelea kukatikia upinde kijana.
 
...Nimesoma comments zote... et IT Wa bongo hawawezi... Vijana wana vipaji... Toka vyuoni wanaonekana kabisa wana kitu, wakifika mtaan wanakutana na mazingira yasiyo rafiki... Serikali nayo haiwasapoti coz wanajua ni tatizo kwa wapiga nchi...
AI ofcoz simu zote na computer tunazotumia ni generation ya 5 kama skosei, na generation ya 5 zinatumia hio AI...

NB. Serikali ndio itaamua kama sekta ya techolojia ikue au idumae,

technology imechangia pakubwa sana katika upatikanaji wa haki, ndio maana wanabana...

//mawazo yangu...
 
AI itakua na matokeo mabaya sana kuliko faida ndani ta Tanzania,hasa upande wa elimu itapunguza sana uwezo wa wanafunzi kufikiri
Mfano. nilibahatika kupiga stori na lecture mmoja wa chuo fulani na aliyozungumza kuhusu AI ni mengi mno,
Assignment akitoa saa nne saa sita imekusanywa haijalishi ugumu wake,
Wapo wanaocopy na kupaste,wapo wanaoedit
Hali si nzuri
AI ni kama Covid ni kutafuta njia ya kuishi nayo kiufasaha ili itusaidie. Kuangalia kwa njia ya hasara pekee ni udhaifu.
View: https://youtu.be/VDPR9a6yHgs

Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom