AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

AI itakua na matokeo mabaya sana kuliko faida ndani ta Tanzania,hasa upande wa elimu itapunguza sana uwezo wa wanafunzi kufikiri
Mfano. nilibahatika kupiga stori na lecture mmoja wa chuo fulani na aliyozungumza kuhusu AI ni mengi mno,
Assignment akitoa saa nne saa sita imekusanywa haijalishi ugumu wake,
Wapo wanaocopy na kupaste,wapo wanaoedit
Hali si nzuri
AI ni kama Covid ni kutafuta njia ya kuishi nayo kiufasaha ili itusaidie. Kuangalia kwa njia ya hasara pekee ni udhaifu.

Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
 
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Hii wizara naona kama inadili sana na elimu hasa upande wa maksi za daradani na mitihani ya taifa lakini iko nyuma sana kwenye mambo yahusuyo teknolojia.
 
Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ??

Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini utaileteaje AI kutatua changamoto za uzalishaji ilhali wakunamitambo au resources za uhakika na zenye uwezo wa kuzalisha pakubwa.

Wananchi masikini watoa kodi wanatoa wapi hizo pesa za kulipia subscription za AI??

maendeleo au ukuaji wa uchumi wa nchi unapimwa katika mfumo wa GDP na sio watu wa VIP tu.

Nimechoka kutype ngoja tu nilale bn.

Fanya utafiti kuhusu hili dude AI.

Utanishukuru baadae
 
Sasa unaitumia IA bila kujuwa hasa kwenye mitandao. Mfano Google, Facebook, n.k.
 
With this type of thinking nauluhurumia . You know nothing about AI
Yeye anadhani AI ni mpaka aone mashine inajibizana na mtu. kwa sauti wakati AI amkeuwa akiitumia muda mrefu hata kabla hajaanza kutumia smartphone

Kwani tuseme kwa mfano, mtu anapoomba kujua salio la akaunti yake kwenye simu yake halafu baada ya hapo anapokea ujumbe, kinacholeta majibu ya ujumbe huo ni mtu au ni Kompyuta?
 
Ajui tu kuwa hata kitendo Cha sauti yake kubebwa hadi kwao huko koromije...na sauti ya Babu yake mzaa baba ikabebwa hadi alipo kwa speed kubwa zaidi ya mwanga wa Tochi. Kisha wakawa Wana jibizana as if wapo pamoja nayo ni AI🤣​
 
Tatizo la watu wengi wanadhani AI ni kitu kipya, kumbe ni kitu kimeanza miaka ya 1950s huko na wenzetu wamekua wakikiboresha taratibu. AI ipo karibu katika kila kifaa cha kielektroniki.
Hata hii piki piki tunazo kimbia nazo ni hayo hayo na AI...🤣🤣🤣

Magari siku hizi hadi Yana jiendesha🤣🤣🤣

Ndege...

Tunapo waza kuhusu hii AI tusiwaze marobot tu...!!!!
 
Ajui tu kuwa hata kitendo Cha sauti yake kubebwa hadi kwao huko koromije...na sauti ya Babu yake mzaa baba ikabebwa hadi alipo kwa speed kubwa zaidi ya mwanga wa Tochi. Kisha wakawa Wana jibizana as if wapo pamoja nayo ni AI🤣​
Hii nii communication teknoloji tu na si AI
AI inaingia tu pale ambapo mawasiliano yaliyotakiwa kufanyika kati ya binadamu na binadamu, yanafanyika kati ya binadamu na computer
Mawasiliano kati yake na Babu yake ni kati ya mtu na mtu na hivyo hakuna AI iliyotumika hapa. AI inatumika tu pale ambapo mmojawapo wa binadamu kwenye mawasiliano husika, anakuwa replaced na machine
 
Ajui tu kuwa hata kitendo Cha sauti yake kubebwa hadi kwao huko koromije...na sauti ya Babu yake mzaa baba ikabebwa hadi alipo kwa speed kubwa zaidi ya mwanga wa Tochi. Kisha wakawa Wana jibizana as if wapo pamoja nayo ni AI🤣​
Kwa mfano, AI inatumika mahali kama mtu anapokuwa antoa pesa kwenye ATM ; kwa sababu badala ya mtu kukupatia pesa, unapatiwa na ATM
 
Ukikua utaacha huo utoto.
Sababu ya wewe kuniita mtoto ni sababu ya mimi kukuita kijana in the first place. Hivyo unalipiza kisasi kwa kuniita mtoto. Means nipo sahihi kwamba wewe ni kijana mkatikia upinde na hauna akili, na unajua nipo sahihi ila huwezi kunipinga factually zaidi ya ad hominem.
Nimeleta hoja umekuja na ad hominem.
Kati ya mimi na wewe nani mtoto?

Fuking bitch-ass, endelea kukatikia upinde kijana. Au jibu kati ya wewe na dume la kizungu linalovaa gauni nani mwenye akili. Ndio au hapana?
 
Uchumi wa mwisho unatumia AI ya nini?? Wachina wamevumbua vitu vingi walitumia AI?? AI mnaletewa africa ili iwasaidie kufikiria vizuri maana hamna akili [emoji1787][emoji1787]

Aisee kijana uko nyuma sana. Wachina leo hii wana camera kwenye miji yao mikuu inayoweza ku peak muhalifu, au mtu yoyote anaevunja sheria bila hata kuijificha. Mfumo mzima uko automated na AI. Nimekutajia tu mmoja
Na wana project zaidi wanafanya now zinazokuja na AI

Ai ni revolutianary kwenye digital world. Today ( kwa wale wataalam wa IT) wana ethernet switches zenye embed AI zina uwezo wa kutambua ports zipi zipeleke traffick zaid na kuacha zisizotumika, ipi ina fault, ipi ifanye self correction na N.k
Leo hii kuna automated data centers

Imewapunguzia majukumu It tech. Na mifano ni mingi mno.
Wazungu ndio wanafanya heavy deployments kwenye mifumo yao kupunguza majukum repetitive.

Oh AI alitengenezewa mwafrika? Gari ? Simu? Who digital world ilitokea wapi? Havija msaidia mwafrika?

Acha kuwa na primitive mind. The world is moving forward not back
 
Binafsi sipendezwi na mtoa mada asiyejua anachozungumzia, mbaya zaidi hataki kujifunza.
Huruma sana.
 
Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ??

Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini utaileteaje AI kutatua changamoto za uzalishaji ilhali wakunamitambo au resources za uhakika na zenye uwezo wa kuzalisha pakubwa.

Wananchi masikini watoa kodi wanatoa wapi hizo pesa za kulipia subscription za AI??

maendeleo au ukuaji wa uchumi wa nchi unapimwa katika mfumo wa GDP na sio watu wa VIP tu.

Nimechoka kutype ngoja tu nilale bn.
Hii hoja haina tofauti na kipindi kompyuta zinakuja Tanzania kuwa hazina maana kwa sababu watu hawajui kuzitumia. Ni suala la muda tu kila mtu atakuwa anatumia AI kurahisisha kazi na majukumu yake.
 
With this type of thinking nauluhurumia . You know nothing about AI
Kuna mtu anajua AI ni chat GPT tu, Apumzike kwa amani Mzee wetu Lowassa, alijua fika matatizo ya nchi hii msingi wake ni elimu duni inayofanya watu kukosa maarifa
 
Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ??

Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini utaileteaje AI kutatua changamoto za uzalishaji ilhali wakunamitambo au resources za uhakika na zenye uwezo wa kuzalisha pakubwa.

Wananchi masikini watoa kodi wanatoa wapi hizo pesa za kulipia subscription za AI??

maendeleo au ukuaji wa uchumi wa nchi unapimwa katika mfumo wa GDP na sio watu wa VIP tu.

Nimechoka kutype ngoja tu nilale bn.
Asante mkuu kwa uzi wako. Naomba kutetea uwepo wa AI, maana wazo la artificial intelligence ni kubwa na pana kuliko mtazamo wako kwenye uzi. Ni hivi:

  1. Tunachotumia kwa sasa, yaani subcription-based models kama Chat GPT v4 na Gemini Advanced, ni sehemu ndogo tu ya dhana zima la utumiaji wa GPTs. Hao jamaa (Open AI na Google na Anthropotic) wametengeneza mifumo ya kwao kutumia large language models (LLMs). Wamezipa features fulani, na kisha wakahost. Ndo maana wanakucharge kwa walichokifanya.

    Ni kama mitandao ya kijamii. Ukiingia X au FB, utagundua kuwa lazima ngoma ucheze kulingana na policies walizoweka, vinginevyo unaweza kuwa banned. Lakini pia wakiwa na premium features, una budi kujiunga nayo kwa njia ya subscription, kwa maana ndo biashara yao ilivyo.

  2. GPTs na AI itafanya utendakazi kuwa wa haraka katika sekta nyingi (kama sio zote) duniani. Gwajima alichomaanisha ni kwamba, kwa kasi ya ulimwengu, watu ambao hawatakumbatia AI watabaki nyuma.

    Kumbuka pia hata ukitumia chatGPT ambayo ni free bado unapata asilimia 80% ya faida. Ukitaka GPT 4, tumia copilot, ambayo inagenerate mpaka picha. Kwa hiyo hata sisi wa huku tunaweza kuvuna asilimia zote tu bila kusumbuka.

    3. Kuna kitu kinaitwa private GPT. Yaani, uwezo wa kutengeneza GPT ya kwako. Ndo kazi nnayofanya. Yaani chatGPT ya kwako usiyohitajika kulipia. Inayofanya kazi kama chatGPT, na yenye manufaa zaidi.

    kwa ufupi, AI inatumika na wananchi wa kawaida, sio VIP (actually, watu wa kawaida ndo wanawezesha utendaji wa VIP).

    Naachia hapo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom