GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 387
- 492
Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ??
Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini utaileteaje AI kutatua changamoto za uzalishaji ilhali wakunamitambo au resources za uhakika na zenye uwezo wa kuzalisha pakubwa.
Wananchi masikini watoa kodi wanatoa wapi hizo pesa za kulipia subscription za AI??
maendeleo au ukuaji wa uchumi wa nchi unapimwa katika mfumo wa GDP na sio watu wa VIP tu.
Nimechoka kutype ngoja tu nilale bn.