Ahsanteni Sana Wagosi wa Kaya kwa kusikiliza Kero ya JMushi


Ngoja watanzania waamke sasa..mimi nasubiria tu na bado najipa moyo kuwa kuna siku wataamka tu..hamna kusikiliza radio za kinafiki zinapiga manyimbo ya kuiga tu ya wenzetu wenye raha wakati tunakufa na njaa..barabara mbovu...watu wanazidi kufa ma hosipitalini..wajawazito wanafia kwenye vitanda wa ki share wakati wakujifungua..dawa hamna...huduma za serikali mbovu..alafu bado tunashabiikia nyimbo za Anita Anita Wangu''' zikiletwa zinazozungumzia ukweli ili watu waamke zinapigwa chini zinafifia na kupotea kabisa matokeo yake wanaotunga wanakatishwa tamaa nataratiibu kuanza kunyonywa na ufisadi...iko siku watanzania wataamka....na nyimbo za aina hii zinazozungumzia ukweli halisi ndizo zitakazo kuwa kwenye chati..let us cross our fingers..JF au ya chama chochote cha upinzani kwa kuanzia inabidi ifanye move iyo ya kuanzisha radio stations tuokoe wananchi wetu jamani...radio za sasa zisha taitiwa na mafisadi
 
safi jmushi, waambie hao.

Ni muhimu pia na huko bongo muwabane.
Coz wanahitaji kupiga nyimbo based on requests na si rushwa.
Ndio maana talents zinapotea bure!
Taifa limeoza na kina Kusaga wako responsible sambamba na mafisadi wanaowaandalia press conference!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…