Wakunyuti
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 380
- 13
Niko kwenye usafiri asubuhi nasikiliza Power Breakfast cha Clouds FM, mara nasikia kuna nyimbo mpya ya wagosi wa kaya wanataka waipige....i am very curious to know wanaongelea nini hawa jamaa this tym.......my god here they are again..na sasa ni '''UFISADI''''''' oooh...ni nyimbo tamu mno ambayo kila mstari unaujumbe mzito mno..ameimba yule msambaa MKOLONI peke yake .. may i take this time kuwapongeza jamaa hasa MKoloni..hasa kwa kukisikia kilio cha Jmushi ambaye alishaandika thread ya kuhusu wasanii wa bongo flavor na ufisadi... It's my hope that others will follow na wakiwa wengi basi na hakika tutakua tumepiga hatua kubwa sasa kwenye vita hivi...tuwahamasishe wapunguze kuimba mapenzi na starehe sasa wakati nchi inaangamia,,, itapendez a sana kila redio stesheni ukisikiliza nyimbo ni kukemea ufisadi..
kwangu mimi naona mwananchi wa kawaida kabisa ambao ndio wako wengi hapa nchini ni rahisi sana kumfikishia ujumbe na elimu kwa kutumia muziki kuliko njia nyingine yeyote ya mawasiliano. na muziki ambao kwa sasa ivi umezidi kukubalika kwa rika zote na kwa uwingi mkubwa wa watu ni bongo flavor na cha kutia moyo zaidi hata kule ambako sisi hatufiki kusambaza elimu ya uraia( vijijini) bongo flavor inafika...so ni jukumu letu kuwa elimisha na kuwachochea hawa wasinii wetu wa kizazi kipya waige mfano wa Wagosi wa Kaya ili kuliokoa taifa letu kwenye janga hili...
Chukulia mfano..wasanii kama Pro J, Mwana FA,Chid Benz, Ngwea,Jmo, Jay Dee, Ray C na wengine wengi ma star waimbe nyimbo zinazo kemea ufisadi live kila mmoja kwa staili yake na zote kwa bahati nzuri zi heat...hao mafisadi watatokea mlango gani?????
Keep it up Wagosi wa KAya,...... very Nice song....... Inabidi wana JF mpate mda msikilize uo wimbo..mpaka mzee wa vijisenti ndani..lowasa ndani ..i bet it's gonna be bomb of the town