Ahsante JamiiForums kwa kuitendea Haki Siku ya Kumbukizi la hayati Magufuli 17/03/2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,979
141,996
Niwashukuru sana Watendaji wa Jamii Forums kwa kuitendea Haki Siku ya Kumbukizi la Shujaa Magufuli.

Siku ya jana nyuzi za Shujaa Magufuli zilikuwa nyingi kupitiliza lakini mlizivumilia hamkufuta wala kuziunganisha.

Mungu wa Mbinguni awabariki sana kwa mioyo yenu mikunjufu.

Mimi na ndugu yangu Mzee Mgaya hatuna cha kuwalipa zaidi ya Kuwabariki na kusema Ahsante sana.

Tumemlilia Shujaa kwa Miaka 3 na sasa tunamtakia Pumziko la Milele, amen!

Sasa tutakuwa tunamkumbuka kwa kuangalia Nuru itokayo Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere.

Tunawatakia Kwaresma Njema.

Ramadan Kareem. 😄😄
 
Walionyesha ukomavu na uzalendo wa hali ya juu ukweriii usemwee kweli tulifarijika wazalendo!
 
Niwashukuru sana Watendaji wa Jamii Forums kwa kuitendea Haki Siku ya Kumbukizi la Shujaa Magufuli.

Siku ya jana nyuzi za Shujaa Magufuli zilikuwa nyingi kupitiliza lakini mlizivumilia hamkufuta wala kuziunganisha.

Mungu wa Mbinguni awabariki sana kwa mioyo yenu mikunjufu.

Mimi na ndugu yangu Mzee Mgaya hatuna cha kuwalipa zaidi ya Kuwabariki na kusema Ahsante sana.

Tumemlilia Shujaa kwa Miaka 3 na sasa tunamtakia Pumziko la Milele, amen!

Sasa tutakuwa tunamkumbuka kwa kuangalia Nuru itokayo Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere.

Tunawatakia Kwaresma Njema.

Ramadan Kareem. 😄😄
Wapewe maua yao.

Wale wapinga 'juhudi' nao walikuwa kwenye 'juhudi' kali sana kuhakikisha wanaziba na kufifisha taarifa za none other than .J.P.M

Wanakunywa uji leo.
 
Yaap zilikuwepo zote za kusifia na za ukatili wake wa kupiga risasi wana na wengine kuwapoteza
Tunampongeza sana kwa hilo amefanya kazi safi kutuulia mamia ya wahuni, wahuni dawa yao ni kifo tu hakuna namna.

Hata mungu hakusubiri mwisho wa dunia aihukumu sodoma, ushenzi wao ulipozidi aliwamaliza.

Tumempoteza magu mmoja ila tumepoteza mamia ya wahuni.
 
Back
Top Bottom