Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

siamini katika sababu moja hiyo ya mapungufu. Ndio maana Mara nyingi hata humu jukwaani watu huwa wanajadili ni nini kimemfanya mtu mwenyewe kuchepuka wengi huwa hawana sbb ya msingi zaidi ya tamaa so mme wa mtu akija kwangu hajaja eti mkewe ana mapungufu ila anataka kuonja asepe zake lkn mkewe akijua lzima ugomvi utokee
Mtu akitambua thamani ya mwili wake hawazi kujigeuza onja-onja au kuruhusu kufunuliwa na mtu ambae si mume wake.

Cha msingi tujifunze kutambua thamani ya miili yetu na tushindane na uzinzi pia.
 
Angekuwa anaamini alichokiandika basi asingefungua huu uzi. Yuko in denial, Kafungua ili angalau apate mawazo ya kujustify anachojaribu kujiaminisha. Ukweli ni kwamba hili jambo bado linamtafuna ndio maana yuko busy kuchungulia status za mumewe na za mchepuko.

Angalia hata kauli zake juu ya huyo mchepuko, simtetei mchepuko ila namshangaa anavyojaribu kuonyesha mumewe ni mwema sana na mchepuko ndio una makosa.
Wema wake ni pale alipoonesha kujali. Na imesaidia ndoa kuendelea. Ametumia hekima kuepusha visasi au ndoa kuvunjika.
 
Mtu akitambua thamani ya mwili wake hawazi kujigeuza onja-onja au kuruhusu kufunuliwa na mtu ambae si mume wake.

Cha msingi tujifunze kutambua thamani ya miili yetu na tushindane na uzinzi pia.
Mkuu watu wameusoma uzi juu juu ama with bias
 
Siku mkeo akijua utamjibu JEURI KWA KUWA UNA SHETANI AU UTATAFUTA SULUHU?
nitaomba msamaha lazima, na kufanya lolote litakalo mpa furaha, hata mchepuko anajua kuanzia ijumaa ni mda wa familia, nikitoka ni kuangalia mpira tuu
 
Wema wake ni pale alipoonesha kujali. Na imesaidia ndoa kuendelea. Ametumia hekima kuepusha visasi au ndoa kuvunjika.
Basi concetrate ktk kujenga nyumba yako na sio kuufuatilia huo mchepuko. Wa kumfuatilia ni mumeo. Kama umeamini kaacha kuchepuka basi amini hivyo kwa ustawi wa ndoa yako. Kuyaleta huku ni kutaka kuchanganyikiwa tu.
 
siwezi kuchanganyikiwa coz sijaomba ushauri. Zaidi sana nazidi kuwajuwa binadamu.
 
Mtu akitambua thamani ya mwili wake hawazi kujigeuza onja-onja au kuruhusu kufunuliwa na mtu ambae si mume wake.

Cha msingi tujifunze kutambua thamani ya miili yetu na tushindane na uzinzi pia.

Ila anayeonja-onja anatambua thamani ya mwili wake na huyo anayefunua anakuwa amevaa nguo, au mmoja ana u.chi mwingine ana chui. Sentensi ya pili sijui inawahusu wote muonja na muonjwa? Kama inawahusu wote ile ya kwanza ina upendeleo.
 
Hivi inawezekana heshima ina tafsiri nyingi eeh!! Yaani unamsaliti mkeo yet unadai unamheshimu!!! Tafsiri mpya ya heshima hii.
mkuu kusaliti kupo ila mke atabaki kuwa mke ndo maana hata michezo ya kijinga mkeo humfanyii sababu ya heshima yake mfano 0713 kwa mke hiyo hapana... watafanyiwa michepuko tu..
 
mkuu kusaliti kupo ila mke atabaki kuwa mke ndo maana hata michezo ya kijinga mkeo humfanyii sababu ya heshima yake mfano 0713 kwa mke hiyo hapana... watafanyiwa michepuko tu..
Mnawafanyia wake zenu sana tu.

Hauwezi kusema unamhrshimu mtu ambae unamsaliti, hakuna kitu kama hicho. Hiyo ni kauli za kuwabeza wake zenu tu. Kama unamuheshimu basi utamtunzia heshima kwa kutosaliti ndoa.
 
Nabii Tito unatoka lini centro Dodoma?[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mnawafanyia wake zenu sana tu.

Hauwezi kusema unamhrshimu mtu ambae unamsaliti, hakuna kitu kama hicho. Hiyo ni kauli za kuwabeza wake zenu tu. Kama unamuheshimu basi utamtunzia heshima kwa kutosaliti ndoa.
mke anaheshimiwa sana mkuu... yaan ukikosana na mke kazi zote hazifanyiki na kila kitu utakiona kibaya... ila gombana na mchepuko yaan ndo kwanza unaona kakupunguzia mzigo..... mke atabaki kuwa mke espy
 
heshima na upendo pia hilo ndo wachangiaji wengi humu hasa wanawake wenzangu (hasahasa single mothers). Sio kweli kuwa mke akijua mme ana mchepuko atakaa kimya na kudai kuwa ana hali ya kawaida, sio kweli. Ni lazima atauliza (iwe kwa ugomvi au kwa ustaarabu) sasa basi RESPONSE YA MUME ndo kiini cha hoja yangu. Yupo mwanaume hajali hisia zako hata kwa kukudanganya. Kwa uzoefu uaminifu ktk ndoa ni asilimia 2 tu si wanawake wala si wanaume TATIZO hapa ni nani kawahi kumkamata mwenzake. Hatujaoa/kuolewa na malaika. Mlitaka nije na uzi wa MME WANGU NMEMFUMANIA KANAMBIA NICHAGUE MOJA KUBAKI AMA NIONDOKE NISHAURINI JAMANI... tuwe wakweli. Sijasema hatatongoza tena ila for the time being ameonesha KUJALI
Upo Sawa linguistics usibishane nawatu wasokua na Ndoa hapo .. Hamna mwenye ndoa hapo hayupo hata mmoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!.

Utaumia bure , hamna kituuu hapo
 
Back
Top Bottom