Huna nia nia njema. Tusidanganyane.Nashauri sana kwa nia njema kabisa viongozi wa umoja wa wana Habari wakutane na kuondoa zuio lao kwa makonda, inatosha. Dalili zishaonekana kuwa mmeshaanza kugawanyika, hivyo kwa faida ya umoja wenu bora tu yaishe.
Sent using Jamii Forums mobile app