Ahsante media kwa kumuunga mkono Makonda

Ahsante media kwa kumuunga mkono Makonda

Unao ushahidi? Ndiyo - mpelekeni mahakamani: Hapana - funga mdomo na achana na umbeya, si tabia ya mtu mstaarabu.
Vipi mkuu amua kumsaidia bashite kuvipeleka vyombo vya habari mahakamani ili vimfungulie kama unaona ni haki yake. Wakuu wa mikoa wengine mbona hawaitafuti hiyo publicity kiasi hicho. Au bashite anaandaliwa kuwa mrithi wa ....

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Me Nmoja Nliekua Napenda Uwanahabar Wkt Nakua Lkn Baba Alinikataza Nikiwa Bado. Lkn Toka Nlipo ifuatilia Issue Ya Makonda Na Claudz, Vyombo Vya Habar Nmevdharau Sn. Kujifanya Wamemuekea Vkwazo Makonda Wkt Dhahir Inaonyesha Wanaiadhib Serikali Ni Unafk. Km Serikali Haikutaka Kulizungumzia Hlo Swala, Je Makonda Angeweza? Wanahabar Wengi Ni Wzr Mdomoni Lkn Kichwan Wabovu. Lile Swala Litabak Kimya Hvo Hvo, Na Kila Mtu Aendelee Kuamini Upande Anao Amini.
Kwa jinsi ya maelezo yako nakushauri uendelee kutii katazo la baba yako.

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Tujiulize tu swali rahisi kuna faida gani ambayo wananchi wamepata tangu wamezuia kumtaja Makonda?

Tuwe wakweli tukiitwa malofa tusikasirike

sweeper
Tumefaidika kwa
1. Kuwepo utulivu hapa mkoani ili tuendelee na shughuri za maendeleo.
2. Tumepunguza propaganda kandamizi nchini
3. Tumerudisha heshima ya watanzania kuona kuwa mtu yeyote hapaswi kutumia madaraka yake vibaya
4. Faida ziko nyingi aisee, tumeondoa matumizi mabaya ya askari, etc

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
TBC walishaachana na huo mgomo kitambo sana..

Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake...
Maendeleo kwanza siasa baadae...

Well-done Channel 10 na TBC
Kwani TBC walikuwa wanahusika na mgomo huo? Waanzie wapi?
 
mbona wakuu wengine wanafanya kazi bila kuonekana kwenye TV na maendeleo yanaonekana. Hilo libashite lifanye kazi liache kutaka misifa
 
Vyombo vya habari vitaendelea kuburuzwa hivohivo wamekosa misimamo who is makonda, yy alipaswa kuomba tu radhi mambo yaishe ......

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Siasa kwenye jambo la masilahi ya taifa niujinga kama walivamiwa walishitaki wapi mbona bado mnalishwa pumba

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unajua Watu Ambao Ni Wageni Mjini Hapa Ndo Wanashadadia Issue Ya Clauds, Claudz Ni Wajanja Wa Mjini Na Watu Wanaotumia Publicity Yao Kujipendekeza Kwa Wakubwa Na Kuwakandamiza Wanyonge. Huu Co Utawala Wa JK Na J.Makamba Waliokua Wanafanyiwa B.day Party Na Clauds Wkt Nyuma Ya Pazia Wanafanya Ushenz. Nape Nae Akakatiwa Viganjani Mwa Hao Jamaa, Wakashndwa Kuelewa Magu Yupo Makini Na Acyependa Kuzoeana Ktk Kaz. Nasubr Birthday Ya Magu Tu Pale Clauds Dadeki. Na Ile Ambush Wangefumwa, Cdhan Km Tungekua Tunaongea Haya Leo.
 
bora wenye akili wameeanza kuonekana kuliko vituo vingine vinavyoendeshwa na siasa uchwara
 
IMG_20170719_194107_479.JPG


sweeper
 
Vyovyote vile na iwe ila jamaa hana faida kwa watu wa jiji hili na nchi kwa ujumla ni fisadi,mfujaji wa mali za umma,chuki na maendeleo ya watu wengine bora media ziendelee kumkataa ili tusiendelee kuona blah blah blah na comedi zake zisikuwa na msingi
 
Back
Top Bottom