Ahsante media kwa kumuunga mkono Makonda

Ahsante media kwa kumuunga mkono Makonda

Kuvamia Clouds na mabunduki inaonekana ulifurahi

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Unao ushahidi? Ndiyo - mpelekeni mahakamani: Hapana - funga mdomo na achana na umbeya, si tabia ya mtu mstaarabu.
 
Tujiulize tu swali rahisi kuna faida gani ambayo wananchi wamepata tangu wamezuia kumtaja Makonda?

Tuwe wakweli tukiitwa malofa tusikasirike

sweeper
 
Kweli mkuu, nimeiona hyo..So nilistaajabu sana ila kama sasa wapo pamoja naye haina noumaH.. vizuri
 
TBC walishaachana na huo mgomo kitambo sana..

Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake...
Maendeleo kwanza siasa baadae...

Well-done Channel 10 na TBC
Kodi ya 4.2bilion inaload taratiiiiiiiibu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Nashauri sana kwa nia njema kabisa viongozi wa umoja wa wana Habari wakutane na kuondoa zuio lao kwa makonda, inatosha. Dalili zishaonekana kuwa mmeshaanza kugawanyika, hivyo kwa faida ya umoja wenu bora tu yaishe.
Hajaomba radhi bado
 
Hongera channel 10

Sent from my SHV-E275S using JamiiForums mobile app
 
TBC walishaachana na huo mgomo kitambo sana..

Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake...
Maendeleo kwanza siasa baadae...

Well-done Channel 10 na TBC
TBC hawajawahi kuhusika na hii ishu. Ile ni radio/TV ya Chama kama Magazeti ya Uhuru na Mzalendo.

Acha mabashite washabikie mabashite wenzao.

Kumbe kuna watu bado wanaiangalia Channel ten??
 
TBC hawajawahi kuhusika na hii ishu. Ile ni radio/TV ya Chama kama Magazeti ya Uhuru na Mzalendo.

Acha mabashite washabikie mabashite wenzao.

Kumbe kuna watu bado wanaiangalia Channel ten??
Kwani ukitoa TBC na channel 10, Tanzania una Tv ngapi nyingine?

Acha wenye akili waendeleze nchi yao.

sweeper
 
tapatalk_1500087823707.jpeg

sweeper
 
Nashauri sana kwa nia njema kabisa viongozi wa umoja wa wana Habari wakutane na kuondoa zuio lao kwa makonda, inatosha. Dalili zishaonekana kuwa mmeshaanza kugawanyika, hivyo kwa faida ya umoja wenu bora tu yaishe.
Kwani kuomba msamaha kuna cost nini? Si aombe tu
 
Nimeiona taarifa ya habari ya channel 10 saa 1 jioni leo, nimefarijika kuona chombo hiki kinaunga mkono juhudi zote za maendeleo.

Huu ndio utaifa, eti kuna mgomo usioisha....

Ha ha haaaaa kwa maslahi ya nani?
Pongezi kwa channel 10, wengine fuateni achaneni na kuunga migomo yenye sura ya kisiasa na kuwanufaisha kundi fulani na sio wananchi.

Hongereni, mtakumbukwa kwa hili

sweeper
Watakua wanaelekea kuzimu kama wale waliofungiwa...ukiona kituo hakifuati ueledi katika tasnia kwa kushirikiana na "mcheza" sinema na maisha ya watu ujue kuna tatizo kubwaa la kifo

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Mbona ni online tv zilizoenda kumsikiliza aiseee
 
Ngoja nao watakavyovamiwa ndio watajua nini maana ya Bashaa ashite!

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Hakuna aliyevamiwa wale walipishana kimaslahi tu.

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Back
Top Bottom