Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,342
- 25,199
Hayo maslahi ni yapi?Hakuna aliyevamiwa wale walipishana kimaslahi tu.
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Hayo maslahi ni yapi?Hakuna aliyevamiwa wale walipishana kimaslahi tu.
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Ushahidi gani unataka zaidi ya cctv?Unao ushahidi? Ndiyo - mpelekeni mahakamani: Hapana - funga mdomo na achana na umbeya, si tabia ya mtu mstaarabu.
Hao TEF wanatumika vibaya, hiyo Hukumu gani haina muda wa hukumu kutekelezwa? Sasa watafanyaje tathmini km hawajaweka ukomo?Wameshapewa onyo hao Channel Ten na TEF kupitia kwa Neville Meena.
ungesema hongera BASHITTE ningekuelewaNimeiona taarifa ya habari ya channel 10 saa 1 jioni leo, nimefarijika kuona chombo hiki kinaunga mkono juhudi zote za maendeleo.
Huu ndio utaifa, eti kuna mgomo usioisha....
Ha ha haaaaa kwa maslahi ya nani?
Pongezi kwa channel 10, wengine fuateni achaneni na kuunga migomo yenye sura ya kisiasa na kuwanufaisha kundi fulani na sio wananchi.
Hongereni, mtakumbukwa kwa hili
sweeper
tofauti yako na BASHITTE ni kidogo tu. BASHITTE mwenzio anamaslahi ila ww ni mburula fata upepoWalishtaki wapi ili ku prove malalamiko yao
sweeper
Ulichokiandika hapo inaonyesha huelewi chochoteTBC walishaachana na huo mgomo kitambo sana..
Tbc na wao wamesusa siwaoni
Hii nimeipenda,[emoji106] [emoji106]Tujiulize tu swali rahisi kuna faida gani ambayo wananchi wamepata tangu wamezuia kumtaja Makonda?
Tuwe wakweli tukiitwa malofa tusikasirike
sweeper
Hakuvamia alikwenda na ulinzi.Kuvamia Clouds na mabunduki inaonekana ulifurahi
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hakuna uvamizi uliofanyika zaidi ya kwenda akiwa na walinzi wake.Kumuunga mkono bashite ni sawa na kuunga mkono uvamizi alioufanya clouds kwamba ni sawa...
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Watafunguaje kesi ya kitu ambacho hakijafanyika wala hakina ushahidi?Tulifikiri kuna kesi ya uvamiz itafunguliwa, tumegundua zilikuwa propaganda za kundi fulani
sweeper
Kweli mkuu, wanadai vyombo vya habari viache siasa na kuangalia mambo ya maendeleo. Kwani bashite anatafuta kick ya wanahabari kwa ajili ya kufanya kazi zake za kila siku au ni siasa tu.kwani bila media hafanyi kazi? kimbe mnapenda kuonekana eeeeeh
Watavamiwa na nani?Ngoja nao watakavyovamiwa ndio watajua nini maana ya Bashaa ashite!
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Kama bashite ameishapata adhabu yake unataka kushtaki ili iweje. Walimshtaki kwa wanahabari wenzao. Kesi ya nyani iamuliwe na ngedele juu ya mahindi yanayoliwa. Mwenye akili timamu akisha ona yaliyompata waziri Nape haitaji tena kufuata matarajio ya adui yake.Walishtaki wapi ili ku prove malalamiko yao
sweeper