Tetesi: Ahmed Arajiga amekataa kuchezesha Derby ya June 15

Ahmed Arajiga na set nzima ya waamuzi wametuma barua Kwa Bodi ya ligi kuwa hawako tayari kuchezesha Derby hiyo hadi Bodi ya ligi itakapoweka sawa mgogoro Yao na timu zinazoshiriki hiyo derby, maana ni wazi Yanga ameweka msimamo wao wazi kuwa hawachezi

Mwamuzi kama Arajiga amejitengezea CV kubwa kimataifa, hivo hayuko tayari kujichafua Kwa mpango wa kihuni uliopangwa na TFF, Bodi ya ligi pamoja na 5imba

Moto unawaka
Safi sana..
 
Arajiga kama refarii HAWEZI kuiandikia TFF au Bodi ya Ligi kuhusu kukataa kuchekesha mechi. Mtoa post ana akili ya Mawakili wa Yanga
 
Hoja ni kukataa kuchezesha mechi ambayo Ina kupa wasiwasi,
ata Amina Kyando alikataa kuchezesha mechi ya Singida vs Simba kule Manyara.
Unaweza kukataa kwa maandishi au maongezi kikubwa kukataa.
 
Ahmed Arajiga na set nzima ya waamuzi wametuma barua Kwa Bodi ya ligi kuwa hawako tayari kuchezesha Derby hiyo hadi Bodi ya ligi itakapoweka sawa mgogoro Yao na timu zinazoshiriki hiyo derby, maana ni wazi Yanga ameweka msimamo wao wazi kuwa hawachezi

Mwamuzi kama Arajiga amejitengezea CV kubwa kimataifa, hivo hayuko tayari kujichafua Kwa mpango wa kihuni uliopangwa na TFF, Bodi ya ligi pamoja na 5imba

Moto unawaka
Hata mimi ntachezesha😎
 
Arajiga ashaanza kujiona Pierluigi Collina... akae pembeni tumpe Tatu Malogo atafanya kazi vizuri..
Blah blah za utopolo tu hizi! Ye huu mgogoro umamhusu nini? Kama ni kweli, anaweza kuwekwa benchi moja kwa moja!
 
Hapo ulipomtaja tatu malogo umesema kweli kwa atafanya kama kefa kayombo kwa mashuja fc.
Kweli mkuu km ambavyo GSM anavyomadhamini timu nyingi za ligi kuu wakati huo yeye ni mwana yanga... Mo Dewji/ Mangungu adhamamini timu nyingine za ligi kuu iyo ngoma unaioneje mzee baba! Hapa mwendo wa figusu tu kummammae..
 
Back
Top Bottom