Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

Akili za Manara hizi..Kutwa kuandika Upoyoyo tu.

Kwahivyo Dr Msolla, Nugaz, Ghalib na Kaimu CEO Senzo ambaye aliletwa na Simba SC, hapo Bonde la Jangwa wamepachika?

Tunawaambiaga kwamba nyie wengine ni mna ugonjwa wa akili yaani.
Nilishaacha kujibizana na wewe muarabu mwenye utindio wa ubongo
hapa hapa tena unadai senzo mmemleta!

kakae na matahira wenzio mbwa wewe
 
Tuweke ushabiki pembeni, pengo la Manara pale Simba bado halijaweza kuzibika. Pamoja na mapungufu yote aliyokuwanayo Manara lakini jamaa alikuwa na vibe kubwa kiasi ya kuifanya Simba kusikika na kusifika.

Kuhusu Hamed Ally, huyu ni mtangazaji na mchambuzi mzuri wa soka kwenye Luninga na Redio lakini anaweza asiwe bora sana linapokuja suala la kuvisemea vilabu vya simba na Yanga ambao mhusika anatakiwa kuropoka hata upumbavu ili mradi tu mashabiki wahamasike.

Yani mishipa ya shingo inakuuma kwa hasira.Huyo Manara kaeni nae huko huko Utopoloni si mlimchukua awasaidie kwenye mashindano ya CAF na hilo vibe lake.Simba inahitaji watu wenye Vyeti na siyo wenye mdomo wa kuropoka hovyo hovyo
 
Tuweke ushabiki pembeni, pengo la Manara pale Simba bado halijaweza kuzibika. Pamoja na mapungufu yote aliyokuwanayo Manara lakini jamaa alikuwa na vibe kubwa kiasi ya kuifanya Simba kusikika na kusifika.

Kuhusu Hamed Ally, huyu ni mtangazaji na mchambuzi mzuri wa soka kwenye Luninga na Redio lakini anaweza asiwe bora sana linapokuja suala la kuvisemea vilabu vya simba na Yanga ambao mhusika anatakiwa kuropoka hata upumbavu ili mradi tu mashabiki wahamasike.
WEwE utakuwa
1. Kabwili FC
2. Under 20 ambaye ndo umeanza kuufahamu mpira miaka 4 ago.

Vibe la Simba lipo miaka na miaka. Simba haimuhitaji Manara. Simba ya sasa ni ya Kisasa. Ushindi ndiyo Siri ya Mafanikio. Hayo mengine mnadanganyana sana. Mpira wa sasa unataka pesa na akili. So Yanga mkichukua Kombe amewaletea Manara?😁😁😁 Ni aibu mtu ambaye alikuwa ana wageuza geuza kwa kila maneno machafu leo mnambeba mgongoni na kumlamba..... Mtumieni Manara ni jambo jema ila ni kujilisha upepo kuwa ameacha pengo simba.
 
Michezo sio uhuni, tunaweza kubishana kwa hoja sio matusi. Sidhani kama Manara amewahi kumtukana mtu hadharani akiwa Simba na hata akiwa Yanga. Labda maneno ya kuudhi. Hayo maneno ya kuudhi hata huyu msemaji wenu mpya, Ahmed ameiponda Sana Simba na katika kumbukumbu zake Hana kumbukumbu za kuwa shabiki wa Simba ila Yanga. Kwa hiyo nadhani tujue Wasemaji wanafanya kama kazi zingine. Wafanyakazi wa MO sio wote ni Simba na huenda Kuna wanaoenda na jezi za Yanga kiwandani, hali kadhalika wafanyakazi wa GSM wapo wengi tu ni Simba. Lakini hawahujumu kwa kwa sababu wapo kikazi. Kwa hiyo Tuheshimu kazi ya watu na sio kukashfu.
 
Manara hakuwa na professionalism binafsi nlikuwa nikimchukia kwa jinsi alivyokuwa anawaita Yanga mara gongowazi,mara takataka, mara manyani na maneno mengi ya kifedhuli. Alishasema ukiwa mshabiki wa Yanga lazima uwe hamnazo ukiwatoa Kikwete na Boss wa GSM. WENGINE WOTE ALISEMA NI MATAHIRA. hayo ni maneno ya kimichezo kWenu? Basi mmekulia mazingira magumu na malezi ya ajabu sana
 
Kama atafika miezi sita kwenye kiti hicho nitasema kweli anajua mazingira ya soka ya Tanzania na hasa kwa klabu za Simba na Yanga...
tuweka ushabiki pembeni,kwani nini zaidi ya professionalism na kuzingatia mkataba wa ajira? Angalia kazi aliyokuwa anafanya Ezekiel Kamwaga,kuna mtu alikuwa na shida naye?
 
Utopolo bhana kweli nyie yule kocha wenu hajakosea kuwaita nyie🐒,, sasa huyu bwana ni mwana habari na hapo yupo ktk majukumu yake,, tatizo ni nini?? Au hayo maua ya kijani kwenye hilo kombe 😂🤣
Wewe kwani umeona nini? 😂
 
Back
Top Bottom