Uchambuzi wangu Yanga sc 4 - 0 CR Belouizdad

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,837
We Yanga Africa weeeeeeeeeeee!, utaniua mimi Yanga Africa!!

Usiku wa jana Yanga Africa alikuwa katika kiwango chake bora, ogopa sana Yanga hii dume ikiwa ina operate katika standard kama ile ya jana, kwa usiku wa jana pale studio de Benjamin mkapa hata angeshushwa Liverpool lazima angecheua Damu kudadadekiiii.

Kwanza timu nzima ilikuwa imeimarika kisaikolojia na walikuwa na uhakika kuwa usiku wa jana ulikuwa wao. Angalia jinsi alivyokuwa anafanya anachotaka Pacome zouzou, mwendawazimu huyu wa soka mwenye mapafu ya mbwa alikuwa anapumua katika flanks zote mbili za waarabu bila kusahau utawala wake uliotukuka eneo la katikati mwa uwanja, aliwafanya waarabu kama watoto wachekekechea hali iliyopelekea kocha wa waarabu atake kuzichapa kavu kavu na mchezaji wake, kumbuka hawa CR Belouizdad walimpelekea moto Al ahly pale Cairo na mechi kuisha kwa sare ya 0-0 huku Al ahly akiwa na no shoot on target, kama ilivyo kuwa mechi ya mkondo wa pili pale Algeria.

Lakini si pacome tu alievuja jasho jingi kwa ajiri ya Yanga Africa, mtu kama khalid aucho "the tank" alihakikisha anawafinya vilivyo viungo makanjanja wa waarabu hali iliyo mpatia wepesi mudathiri yahya kusogea eneo la juu zaidi. Bila kumsahau the invisible tireless machine "maxi mpia nzengeli" ambaye yeye alikuwa akimpa machaguo mchawi pacome, pacome akitaka kutawala kushoto maxi anaenda kulia, akitaka kutawala kulia maxi anaenda kushoto na muda mwingine alikuwa anaishika namba 10 yeye mwenyewe huku master ki akingurumisha upande wa kulia, aloooo!, we Yanga afrika weee!!.

Safu ya ulinzi ya Yanga ilikuwa haitaki utani chini ya uongozi wa kipa la dunia, djig diarra, walinzi wakati job na bacca hawakuwa wanacheka na kibaka yeyote wa kiarabu, walifyekelea mbali kila jaribio la waarabu. Bila kusahau upande wa kulia ambapo jini yao kouassi lilikuwa likipanda na kushuka kwa kasi ile ile, huku kushoto napo Mutambala Lomalisa alikuwa akimimina mtungi juu ya mitungi kwenye eneo la waarabu mpaka wakatema bungo, kwa kifupi waarabu waliyatimba!

Kwa kiwango hiki cha sasa cha Yanga sc, niwazi hii ndio timu bora zaidi katika ukanda wa CECAFA, na nawaona makolo wakila 3+ katika mchezo wa mkondo wa pili wa ligi kuu bara, narudia tena kwa uchezaji wa makolo wa wachezaji kukimbia kiminyato kama wamejinyea niwazi chuma kuanzia 3 na kuendelea zitawahusu second leg.

Yanga Afrika, aweeeeeeeeee!!!!!
 
oyeeeeeee!!!
 
Safi sana. Yanga oyee.
 
Yanga walipiga mpira mwingi sana jana wale waarabu hawakuamini kilichotokea yule Pacome ana balaa sana anauchezea mpira anavyotaka yeye yale mavyenga wampigwa kipa na beki mpaka kumpasia Musonda sio ya kitoto kama sio mchezaji huwezi kutoa assist ya goli pale...
 
Tuwekee link hapa mkuu

View: https://www.instagram.com/reel/C3sBqwqLH9F/?igsh=aTZ6bm5pYjFkNDRn

Screenshot_20240225_131034_Instagram.jpg
 
Yanga walipiga mpira mwingi sana jana wale waarabu hawakuamini kilichotokea yule Pacome ana balaa sana anauchezea mpira anavyotaka yeye yale mavyenga wampigwa kipa na beki mpaka kumpasia Musonda sio ya kitoto kama sio mchezaji huwezi kutoa assist ya goli pale...
Jamaa alikusanya kijiji,daah
 
Yanga walipiga mpira mwingi sana jana wale waarabu hawakuamini kilichotokea yule Pacome ana balaa sana anauchezea mpira anavyotaka yeye yale mavyenga wampigwa kipa na beki mpaka kumpasia Musonda sio ya kitoto kama sio mchezaji huwezi kutoa assist ya goli pale...
Saidoo ntibazonkiza akijaribu kufanya vile atakutwa mwananyamala hospital katundikwa drip kama zotee
 
Back
Top Bottom