Ahadi!

90% huwa hawatimizi ahadi, baadae uje umulize vipi ahadi yangu hapo story zitakuwa nyingi mwishoe unaishia kusinzia na kusahau kabisa. DONT MAKE PROMISES U CANT KEEP.
Hovyo kweli! Inabidi tujifunze kuahidi tunayodhamiria kutimiza tu na sio kufanya kama sifa tukijugma kabisa hayana ukweli ndani yake!
 
DONT MAKE PROMISES U CANT KEEP.

You would think common sense would dictate that but guess what, there is hardly any of it when it comes to romantic affairs.

Watu wataambiana kila aina ya maneno matamu. Ooh wewe ni wewe, wewe kwangu ni kila kitu, sijapata penda mwingine yeyote zaidi yako (wakati hapo ushawahi kuwa na mahusiano tayari)......sasa hapo mkija kuachana na kupata wengine hadithi zile zile mlizokuwa mnaambiana mtaawaambia hao wapenzi wapya.

Mapenzi huongozwa na hisia zaidi ya akili na ndiyo maana watu husema kila aina ya maneno matamu na mara nyingi ndiyo maana huwa hawamaanishi wasemayo.
 
"kuna mtu tukiongea kwenye simu hua ananiambia nirecord maongezi kabisa ili ajifunge kwa anayosema" -Lizzy



...how come hujamshtukia kua huyo jamaa anakuongopea tu?
Hahaha nimejaribu kuunganisha ........ sipati kitu!Jamaa hana sababu ya kudanganya bana!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Naibiwa mke hata kabla mfalme wetu hajaibuka na kusambaratisha zambi zote . . .
Atanipa mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom