Ahadi!

Maneno mengi tunaambiana ila huwa kuyatekeleza inakuwa shida.hasa hawa wenzetu wakiwa wanataka uhusiano watasema mpaka wanaweza hamisha milima

na nyny je mkilewa navyokuwa mnasubua mpaka mnamaliza maneno kwenye kidole gumba
 
Excitement inawapelekesha ehh??Kuna haja ya kumuuliza mtu aliyoahidi mara tatu tatu!

umeonaee kwel hlo nalo neno hebu 2anze na wewe ulie ahid mara kumi kumi mh! Inakuwaje kwan mpaka inakuwa hvyo
 
umeonaee kwel hlo nalo neno hebu 2anze na wewe ulie ahid mara kumi kumi mh! Inakuwaje kwan mpaka inakuwa hvyo
Sijawahi kumwahidi mtu kitu nnachojua siwezi kutimiza...especially mambo ya mapenzi!
 
heheh ankal, Pasaka hautakiwi kutongoza straight, unatakiwa uzunguke zunguke kidogo ili kuonesha kwamba hauzarau imani.
Ankal kwani wewe uko wapi? Njoo Palestina tuko na YUDA ana hela mbaya keshamuuza YESU tunakula nyama choma+divai si PETRO, LUKA, YOHANA wala MARKO wote wako chicha ile mbaya PETRO hafai eti anacheza kiduku.
 
hehehe hii post akiiona maxshimba utakoma?, na jamaa laptop yake imeibiwa nini ? naona haonekani?. Dah turudi kwenye mada bana kabla waifu wangu Lizzy hajakasirika halaf akaninyima unyumba na holidei hii.
 
Weee si umesema hii holidei yote utakuwa unatubu
 
Ahadi ni deni, mie huwa nawakumbusha mara kwa mara. kama msg akinikosea tu namforwadia zote, kama ni email naiprint anaikuta kitandani anakuwa mdogoooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom