Ah hawa watu wapgwe tuu

Ah hawa watu wapgwe tuu

Kuna watu kila siku hapa kutusema wachaga, mara hajui hili mara hatujui lile, mpaka wakamwudhi Nivea, nawaambia waache, wakikaidi wapigwe tuu!

Wengine kumsumbua Baba V na vi-couple vyao vya ajabu, hao nao wapigwe tuu!

Wengine ni tambo na uviwembe kama bepari Bishanga na ericB52 nasema wapigwe tuu!

Wengine kazi zao kuvunja ndoa za watu, tumechoka! Nasema wapigwe!

Wapo wanaokuja CC kuzingua, piga tuu

Nasema wapigwee! Ndio nnavyoingia cc ivyo, kwa hisani ya Liwalo na Liwe! Dom!

nani kapigwa tayari?
 
Last edited by a moderator:

Iron naona ujio wako sio wa verse moja... wapigwe tu...
 
Last edited by a moderator:
Yaminigusa jamani......... Vimacho vya kike vina kaaibu flani hivi

Iron yaani mkwara wote kumbe shida yako utongoze? Ushawahi kurushiwa bomu wewe?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuuliza umeshakaguliwa
Huna haja ya kuogopa
najua ungepitia huko wala usingekuja na malalamiko hapa
sana sana ungeshukuru tu.
Ndo mnataka kunifanyeje? Au mnashughulikiaje watu hapa?
 
Iron yaani mkwara wote kumbe shida yako utongoze? Ushawahi kurushiwa bomu wewe?

Hata Chagonja mwenyewe hawezi kuwaza! Unirushie bomu waanzia wapi. . . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom