Watu wengi wanapenda kwenda sehemu za starehe, Ila wanaofanya starehe ni wachache. Wengine wanaenda kushangaa na kuzunguka zunguka tuu

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
5,280
7,375
Habari wakuu, Ikawe heri sikukuu hii ya kuzaliwa kwa Yesu christo

Kumekuwa na hii kasumba ya watu kupenda kujazana sehemu za starehe ambazo zinabamba.. kwa mfano kwenye bar zinavovuma na kujaza watu hata club.

Ila Cha ajabu wengi wanakuja kushangaa tuu na wengine hushindwa hata kulipa viingilio na kubaki nje.

Mabounsa wanakua kwenye wakati mgumu wa kuwafukuza watu kila mara lakini bado wanaendelea kukaa nje bila sababu ya msingi.

Wanaokuja purposely kuenjoy na ku have fun ni wachache mnoo... sijui ni vyuma vimekaza mnoo au vipi

Nasema Uongo Ndugu zangu?

Mitano tena 👊
 
Umri wa wapenda starehe ndo umri wa wasio na pesa ..
Kuanzia 18 Hadi 25 wengi wanaishi kwa wazazi.. hawana kipato
Ndio hao wengi utawakuta kwenye night clubs nje wanakimbizwa na ma bouncer
Au ndani lakini hawana hela hata ya bia moja..

By the time unafikia 35 starehe kubwa ni kukaa na familia na kulala ukiwa huendi kazini..
 
Starehe maana yake nini?

Kuna Mtu ana Mke mzuri kweli kweli lakin starehe yake ni kujichua? Jee nae utasema hastarehi?

Starehe ya mtu anaijua mwenyewe kwa namna anavyoona anafurahia?

Tatizo letu wengi ni kutojiamini kwa kile unachopenda

Unakuta mtu anapenda Janamke tipwa tipwa ndio furaha yake lakini anaona aibu anajikuta ana kidemu kimbaumbau kama mpini wa jembe aonekane tu wa kisasa
 
Umri wa wapenda starehe ndo umri wa wasio na pesa ..
Kuanzia 18 Hadi 25 wengi wanaishi Kwa wazazi..hawana kipato
Ndo hao wengi utawakuta kwenye night clubs nje wanakimbizwa na ma bouncer
Au ndani lakini hawana hela hata ya bia moja..

By the time unafikia 35 starehe kubwa ni kukaa na familia na kulala ukiwa huendi kazini..
uko sahihi
 
Starehe maana yake nini?

Kuna Mtu ana Mke mzuri kweli kweli lakin starehe yake ni kujichua? Jee nae utasema hastarehi?

Starehe ya mtu anaijua mwenyewe kwa namna anavyoona ana furahia?

Tatizo letu wengi ni kutojiamini kwa kile unachopenda

Unakuta mtu anapenda Janamke tipwa tipwa ndio furaha yake lakin anaona aibu anajikuta ana kidem kimbaumbau kama mpini wa jembe aonekane tu wa kisasa
Kwa kiasi flan unaweza ukawa sahihi, but kitendo Cha kwenda kumbi za starehe na kubaki nje. . hiyo ni ishara ya kutokujielewa
 
Mtu unakuta kakomaa na chupa Ya maji ya Jambo Masaa sita bila kupepesa macho ..
Raha ya kwenda sehem za starehe Ni ulewe ,ukate mauno ya kangi Lugola ..ubambie uombe namba u save afu asubuhi ukiamka uanze kujiuliza Huyu "Rose wa balimi ndo Nani ??
noma
 
Nazungumuzia kwenye KUCHEZA mziki au kuogelea mbele za watu.
Shemu wako aliniambia sikukuu hii tutoke tukatembee nikamwambia ushindwe.
Mimi siwezi kuongozana na mwanamke wangu njia MOJA .
Mizigo unailaje au na wewe unategesha usku Kama wa stendi anaemla Dem wake usku kwa sababu ya mkono wa sweta
 
Starehe ni jambo pana sana, mleta mada unalichukulia juu juu, ngoja nikupe mfano, kuna jamaa yangu hapa huwa analipia watu viingilio night club na bill yote ni juu yake ila yeye hachezi mziki ni kunywa pombe tu na kutizama watu wanacheza hiyo ndio starehe yake.

Na usidhani kila mtu anayekaa na chupa ya maji masaa mengi hana pesa ya kuongeza mengine, unakuta huyo mtu kashindilia msosi toka asubuhi na ma soda sasa muda huo anywe maji kwa fujo ya nini? Mimi pia huwa naenda club ila sichezi, nakunywa bia zangu tu pembeni naangalia watu wanacheza, starehe yangu ni kucheza miziki ya kicongo sio hii ya vijana japo mimi ni kijana.
 
starehe ni jambo pana sana, mleta mada unalichukulia juu juu, ngoja nikupe mfano, kuna jamaa yangu hapa huwa analipia watu viingilio night club na bill yote ni juu yake ila yeye hachezi mziki ni kunywa pombe tu na kutizama watu wanacheza hiyo ndio starehe yake
na usidhani kila mtu anayekaa na chupa ya maji masaa mengi hana pesa ya kuongeza mengine, unakuta huyo mtu kashindilia msosi toka asubuhi na ma soda sasa muda huo anywe maji kwa fujo ya nini ?
mimi pia huwa naenda club ila sichezi nakunywa bia zangu tu pembeni naangalia watu wanacheza, starehe yangu ni kucheza miziki ya kicongo sio hii ya vijana japo mimi ni kijana
Associe
 
Unazungumziaje Hawa wanaokaa nje ya kumbi za starehe na kukimbizwa kila Mara either na mabaunsa ..au na polisi wanaofanya doria usiku??
 
Unazungumziaje Hawa wanaokaa nje ya kumbi za starehe na kukimbizwa kila Mara either na mabaunsa ..au na polisi wanaofanya doria usiku??

Inategemea na jinsi hilo eneo lilivyo, kwa mfano kuna siku nimeenda club fulani ilipofika saa saba tukatangaziwa tuingie ndani, pale nje wanazima mziki kwa sababu kuna sheria inakataza kupiga muziki nje muda huo. Sisi tuligoma kuingia ndani ilibidi Dj aendelee tu kupiga ngoma.

Ila kwa hayo mambo ya kukimbizwa na ma bouncer huo ni utoto
 
inategemea na jinsi hilo eneo lilivo, kwa mfano kuna siku nimeenda club fulani ilipofika saa saba tukatangaziwa tuingie ndani ,pale nje wanazima mziki kwa sababu kuna sheria inakataza kupiga muziki nje muda huo ,sisi tuligoma kuingia ndani ilibidi Dj aendelee tu kupiga ngoma
ila kwa hayo mambo ya kukimbizwa na ma bouncer huo ni utoto
mkuu kumbe tunakuwaga wote MICASA ubungo hapa...
 
Back
Top Bottom