Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

Ataangukia pua mwambie asiharibu pesa Zane mm ndogo alizonazo

Miaka yake 70s ni ya kulea wajukuu
 
Mimi nazungumzia Tabora aliyokua anaizungumzia kabla na baada ya yeye kuwa pale ila kama unatafuta ligi mimi sio mtu wa hizo ligi mazee..
kuna kitu gani pale Tabora? niambie, Mzunguko wa pesa uko chini sana, Huduma za afya ni wala huhitaji kuuliza, kuna poverty sana hizo wilaya za Tabora, swala la ajira ni tatizo. Haya ndio mambo ya msingi, achana na swaga za kukoromea watumishi wa umma, Hata magu alikoromea sana watu, je kuna nini sasa?

Wabongo hatutaki mifumo ya uwajibikaji mntaka watu wa kufoka foka
 
[emoji38][emoji38][emoji38],nimeshachukua form Jimbo Moja Kanda ya magharibi,namjua huyu mwamba,pengine wewe unamatatizo Yako tu na Leo weekend huenda ulikoshinda umetoka bilabila
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nazungumzia Tabora aliyokua anaizungumzia kabla na baada ya yeye kuwa pale ila kama unatafuta ligi mimi sio mtu wa hizo ligi mazee..
Achana na hawa mapwaguzi wa CDM,wamesema hawashirikinuchaguzi sisi tunazungumzia upande wetu wa CCM tunaoenda kushiriki zoezi la kikatiba na la kidemokrasia hapo October,nyie angalieni mnajengaje chama baada ya G-55 kuondoka na kesi zenu mnatokaje
 
Hii ndio wajinga wa republic wanapenda, yaani hawataki kusikia Sera za kitaifa wala mifumo bora ya kuendesha nchi, wanataka watu kama 2pack, hata makonda nazani ni kwa sababu ya kuwa kama 2pac.

Nchi imejaa pimbi sana, tuna safari ndefu sana
Haswaaa!!
 
kuna kitu gani pale Tabora? niambie, Mzunguko wa pesa uko chini sana, Huduma za afya ni wala huhitaji kuuliza, kuna poverty sana hizo wilaya za Tabora, swala la ajira ni tatizo. Haya ndio mambo ya msingi, achana na swaga za kukoromea watumishi wa umma, Hata magu alikoromea sana watu, je kuna nini sasa?

Wabongo hatutaki mifumo ya uwajibikaji mntaka watu wa kufoka foka
Mzunguko upo vizuri,population ya 3.6 m huwezi linganisha na mikoa yenye watu 1.2 m
 
Achana na hawa mapwaguzi wa CDM,wamesema hawashirikinuchaguzi sisi tunazungumzia upande wetu wa CCM tunaoenda kushiriki zoezi la kikatiba na la kidemokrasia hapo October,nyie angalieni mnajengaje chama baada ya G-55 kuondoka na kesi zenu mnatokaje
Shirikini ndio muwatengenezee watu ajira, huu ni msimu wa watu kupata ajira na mkida ganywa,
 
kuna kitu gani pale Tabora? niambie, Mzunguko wa pesa uko chini sana, Huduma za afya ni wala huhitaji kuuliza, kuna poverty sana hizo wilaya za Tabora, swala la ajira ni tatizo. Haya ndio mambo ya msingi, achana na swaga za kukoromea watumishi wa umma, Hata magu alikoromea sana watu, je kuna nini sasa?

Wabongo hatutaki mifumo ya uwajibikaji mntaka watu wa kufoka foka
Mkuu wewe upo kubisha tu Tabora kabla ya yule mzee na baada imebadilika sana mimi sipo Chama tawala na nipo zangu Arusha ila napoona mtu anafanya vizuri nasema swala la mzunguko mikoa mingi tu hakuna mzunguko kwa sababu ya mfumo uliopo ila wanaoofanya kidogo inatakiwa wapewe sifa yao yule mzee alikua yupo vizuri sana hayo maisha unayotaka Tanzania hayapo kwa miaka ya karibuni tutayaona huko nje tunakoishi sio Bongo..
 
A good dancer knows when to leave the stage, this Mzee should retire in active politics in peace to Avoid possible political Humiliation and rejection,and give space for senior youth to show leadership skills.
New constitution should give age limit to vie for Parliamentarian seat not more than 65 years,
 
Sasa huyu mfokaji ana jipya lipi? Hebu tutolee upuuzi.
Amekutuma umpigie kampeni JF? hatumtaki na hafai.
Haa haaaa haaaaa, utakuta mwandishi wa huu Uzi ni yeye mwenyewe anajinadi. Agrey Mwanri, tangu atolewe ukuu wa mkoa Jina lake imesahaulika.
 
Naunga mkono hoja! Wanasiha walifikiri hilo kuliko kumrudisha yule dk. lakini ni chawa kama nini.
 
Sasa huyu mfokaji ana jipya lipi? Hebu tutolee upuuzi.
Amekutuma umpigie kampeni JF? hatumtaki na hafai.
Mwanri Ni Mtu Makini Sana Katika Uongozi,

Fatilia CV yake, Anacho Kosea Waga Anakosea Muda Wa Kuondoka Katika Nafasi Husika,

Yan Anapo Anza Kukubalika Na Kuaminika Tu, Anaachia Nafasi,

Hiyo Ndio Inamtoa Kwenye Mfumo Sana.
 
A good dancer knows when to leave the stage, this Mzee should retire in active politics in peace to Avoid possible political Humiliation and rejection,and give space for senior youth to show leadership skills.
New constitution should give age limit to vie for Parliamentarian seat not more than 65 years,
Hii ni encyclopedia ndugu,kwa sasa tunamfananisha na chat gpt au artificial intelligence
 
Back
Top Bottom