Aggrey Mwanri (Aggrey Joshua Mwanri) ni mmoja wa wanasiasa na viongozi wa umma mashuhuri na wanaopendwa zaidi nchini Tanzania, anayefahamika kwa mtindo wake wa kipekee, wa kiigizaji (theatrical), na wenye nishati mwingi sana (high energy) katika uongozi.
Amehudumu katika nafasi mbalimbali kubwa za kiserikali, lakini alijizolea umaarufu mkubwa kitaifa na kuwa "viral" kwenye mitandao ya kijamii alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora (chini ya serikali ya Awamu ya Tano).
Habari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM.
Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi.
Amewasilisha hotuba...
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), imemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na mbunge wa zamani wa Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, Aggrey Mwanri kuwa Naibu Katibu Mkuu- Bara akichukua nafasi ya John Mongella.
Aidha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), imemteua Mkuu wa...
Baada ya kurejesha rasmi fomu ya kuwania nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), mmoja wa watia nia ameeleza kuwa hatua iliyobaki sasa ni kumuomba Mungu ili aweze kupata kibali cha kuteuliwa na chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kukamilisha zoezi la kurejesha fomu, mtia nia huyo...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Meijo Loloinyo Laizer, leo Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Siha kupitia chama hicho.
Meijo, ambaye pia ni mmoja wa waliowahi kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)...
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro.
Mwanry amechukua Fomu hiyo mapema leo Asubuhi akiwa ameambatana na mkewe.
"Wanadai mimi ni mzee, Bungeni hawaendi...
Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena
Ukienda Tabora imekuwa Toronto na...
Wawekezaji kutoka China wakiendelea na shughuli za uwekezaji wa biashara zao Jijini Dar.
Pia soma Samia: Msiruhusu Wageni Kufanya Biashara za Wenyeji
====
UNAPOTEMBEA katika Mitaa ya Agrey, Nyamwezi, Livingstone, Swahili na Congo jijini Dar es Salaam, ni kawaida kuona raia wa kigeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.