Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Samahan ivi uyu kamata si ndio yule tuliyemchangia mchango wa haruc alaf akasepa au?
 
wewe ni mmoja wa watu walioanza kunielewa.itakuwa umetoka humu na kuulizia mahali.ishu sio uwezo,ni indugunaizesheni
 
Mtoto wa Mzee Mkandya wa Sengerema.Kwao ni opposite na Sengerema mission hospital.Baba yao alikuwa na Guest hapo hapo mission inaitwa Mkandya's Guest house.Source:Nimesoma O level na dada yake Rachel Mkandya (Dr?) Sekondari Y na A level nikapelekwa Sengerema secondary nikawa naenda kuwatembelea.Ni "wadada' wastaarabu, wasomi na wachapa kazi.Bibafsi nachukia watu wanaozungunzia ukabila.
 
Labda hayo maombi ya kazi yaperekwe ulaya then tuletewe majibu kuwa aliyeshinda huyu.
 
Karne hii na zama hizi ni za mwendo kasi na kanda maarumu! Wengine msubiri zamu yenu!!
 
acha kabisa ndg. sasa iv halmashauri nyingi wataanza kufanya vikao kwa kilugha. kuna wilaya nyingine wamekutana DC na DED wote wa kulekule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani watu mna majungu
 
wewe ni mmoja wa watu walioanza kunielewa.itakuwa umetoka humu na kuulizia mahali.ishu sio uwezo,ni indugunaizesheni
....we sio mzima kichwani!....unaomba uoneshwe majungu yako,hii post uliandikiwa?
...na kumbe uwezo wa mtu siku hizi imekuwa sio ishu?
..wahi matibabu haraka!
 
....we sio mzima kichwani!....unaomba uoneshwe majungu yako,hii post uliandikiwa?
...na kumbe uwezo wa mtu siku hizi imekuwa sio ishu?
..wahi matibabu haraka!
ni kweli mimi sio mzima kichwani.hapa unaongea na bangi.tuonyeshe huo uwezo wa wake hapa basi wote tufurahi. ninahakika unajibalaguza tu. ni wapi niliposema uwezo wa mtu sio ishu.kuna kigezo kingine kwenye cheo zaidi ya uwezo? Hapa kinacholalamikiwa ni watu kadhaa kupewa vyeo sio kwa sababu ya uwezo wao, ni kwa sababu ya kifamilia zaidi.Tupe CV ya niliyemletea majungu kama huna piga kimya, ukipenda nenda post no.85 ukajiliwaze

Huyu kwao sengerema, na nishemejie magufuli. Ni mdogo wake na make wa kwanza wa magufuli akiwa bado mwalimu. Kwao ni nyamazugo road mjin sengerema.
 
wanaume mke busy kumjadili mwanamke hata aibu hamna?
 
Mkome mbona walipokuwa wachaga mlikuwa hamsemi. Magufuli bhatolage bhenabha bhale Na kishimbe,

Na ng'hana. Halafu bhale na tuja sana. Makanza gabho gashilaga ehaha!
 
Qualification kubwa awamu hii ni usukuma na uhaya

TRA na Wizara ya Fedha ilipojaa wachaga tuliambiwa walikuwa na sifa. Hata hawa unaowaita wasukuma na wahaya wana sifa pia.
 
Hivi majukumu ya DED ni yapi na mshahara wake ni sh ngapi? Tofauti yake na RAS na DC ni ipi? Maana unaweza kuta wamejazwa watu wengi kwa kazi ya ntu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…