Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Huyu ni mdogo wa mtu wa pili kwa umaarufu kwenye kaya kuu, mwenye kuelewa na aelewe. Napita tu....
Wa pili kwa umaarufu kwenye ndondi, soka, kimuziki au nini? Wenye kuelewa hatujaelewa.
 
Ni Shemeji,mdogo wa damu wa marehemu!ni shemeji wa nani sijui kusema kweli
 
Huyu kwao sengerema, na nishemejie magufuli. Ni mdogo wake na make wa kwanza wa magufuli akiwa bado mwalimu. Kwao ni nyamazugo road mjin sengerema.
 
Huyu kwao sengerema, na nishemejie magufuli. Ni mdogo wake na make wa kwanza wa magufuli akiwa bado mwalimu. Kwao ni nyamazugo road mjin sengerema.
ana vipi kuhusu uwezo wake mkuu?ni kweli anatosha kuwa DED?
 
Subiri niombe kuhamishiwa Gairo nikafanye mambo yangu pale kwa babu yangu mzee Mkaguru.
 
Ila kwa staili ya uvaaji wake ni kama mwalimu wa shule za msingi za vijijini kama Mpandangindo Songea kavaa spesho gauni la kuendea semina ya kusimamia uchaguzi mkuu.
 
Mkurugenzi wa Gairo nasikia alikuwa anafanya kazi kiwanda cha Sukari cha Kilombero.
 
Nilikutana na huyu dada wa Kisukuma mwaka juzi chuo flani akimalizia shule.Sikuwa karibu naye kivile lakini nikanotisi kuwa ni muhasibu wa Halmashauri huko Tabora.Japo kiumri alikuwa ameshatoka kwenye usichana lakini hakuonekana kama ni mtu mzito kimajukumu ya ofisi.

Hamad nakutana na jina Agnesi Mkandya kwenye list ya Wakurugenzi wapya wa Magufuli.

Sikujua kama ni yeye mpaka leo nilipoiona picha akiwa na Wazira Ummy Mwaalimu akitambulika kama DED Gairo. Mwenye data zake atupe tupate kumjua
Ninge shangaa wanyama kama hawa kufikiri tofauti na maumbile yao na jina lao
uploadfromtaptalk1469470141326.jpg
 
Nina uhakika mwaka huu kwenye uteuzi wa ma DED adverse selection ilifanyika kwa kiwango kikubwa...wale watakaoshindwa kufanya moral hazard lazima watatumbuliwa tu. Ifikapo 2020 kama hawa maded wengi watakuwa hawajatumbuliwa basi baada ya uchaguzi wengi hawatarudi kwenye hizo nafasi. Natamani niweke baadhi ya ushahidi why kuna watu hawakufaa lakini naona niache magufuli mwenyewe atawaona.
 
Back
Top Bottom