kidabibiaga
JF-Expert Member
- Apr 4, 2016
- 619
- 161
We unajichanganya, hiyo mada ya kutokufuata ethics labda ya kwako mimi nimecomment kutokana na uzi alouleta mleta mada, naona wewe ndo umebadilisha mada na kuleta za kwakoTatizo unachanganya na ku-generalize mambo! Hapa wanazungumziwa watu ambao tayari hawafuati hizo ethics na wapo vinginevyo hii mada isingekuwepo na hata hao ambao waliona umuhimu wa kuajiri raia wasingefanya hivyo! Na ndio maana tangu zamani nikakuambia hoja zako zimejikita katika ni namna gani mambo yalipaswa kuwa lakini sio jinsi yalivyo kwenye field!! Hizo bodi unazotaka usidhani zipo kwenye taaluma ya uhasibu peke yake... taaluma nyingi zina bodi zake na miiko yake ikielezea ni namna gani kazi zinatakiwa kufanywa lakini ukienda field unakuta mambo ni tofauti! Ugumu upo wapi hapa kuelewa?! Hata yule mchungaji na sheikh moja ya miiko yao ni kutozini... hivyo ndivyo ilipaswa kuwa lakini ukiingia kwenye real world, kinachofanyika ni kinyume chake! Hakuna aliyesema hawafuati maadili lakini hakuna, NARUDIA KWA HERUFI KUBWA, HAKUNA ANAYEACHA KUIBA ETI KWA KUOGOPA SIJUI BODI NA MAMBO KAMA HAYO; HAKUNA!