swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Mkuu ni nini kilikupata ni mda mrefu sijakuona uku?
swissme
Mkuu ni nini kilikupata ni mda mrefu sijakuona uku?
Ni basi tu wako wengi sisi tuko wachache watashilikiana kutugandamiza lakini tutauona ufalme wa mbingu.Pole mkuu,inanyesha hiyo ban ilikua ni zaidi ya week 2
Ni basi tu wako wengi sisi tuko wachache watashilikiana kutugandamiza lakini tutauona ufalme wa mbingu.
swissme
basi muwape vyeo wawe na nyotaNenda kalete maombi yako kimaandishi...unamwambia afande...sipati picha...
Ila sidhani kama mtu anaweza omba ela kumalizia kibanda...ataomba kwa sababu za kiofisi issue inakuja ni nje ya budget...hapo ndo shughuli....unahoji au unasema sawa afande?
Tutafika tu.wote unaona wenye ID mpya wote wanasubiria kutoka magereza na wote ni wanamapinduzi ukawa sijawai kuona mi ccm nimepigwa ban.Ndio mkuu,sijawai kuona mtandao wenye upendeleo kama huu.
Tutafika tu.wote unaona wenye ID mpya wote wanasubiria kutoka magereza na wote ni wanamapinduzi ukawa sijawai kuona mi ccm nimepigwa ban.
swissme
Kwa kuwa ukiwa na nyota hupigi salute? !basi muwape vyeo wawe na nyota
Wewe ni askari? Wewe ni mwanajeshi? Siishi kama wewe kwa kuconect dots tu, nna uhakika na nnchokisema, endelea kuconect dotsNimekubaliana na wewe kwa kipi? Watu wanakupa field experience wewe unajikita kwenye notisi zinasemaje!!!
U have wasted it enough,You're wasting my time coz' maswali unayouliza yote tushayatolea majibu! Ushaambiwa ikiwa hata Raia wanashindwa kuhoji toka kwa raia wenzao, itakuja kuwa Askari? Hiki kitu nimekielezea kabla ya saa mbili unusu asubuhi lakin bado unakirudisha saa 8... six hours later! Nisome hapa uone kama nimesema mara zote mhasibu raia huwa anahoji:Badala ya kurudia maswali yale yale unatakiwa kwanza kufahamu ikiwa maswali hayo yameshajibiwa au hapana vinginevyo itakuwa ni kupotezeana muda!!
hii kampuni inatakiwa kutumbuliwa.Wale hawawezi kupigwa ban japokua wanaongoza kutukana na kuleta habari za UONGO uku jamvini.
Kila anayeingia anaingia na mambo yake aliyojiwekea mfukoni halafu utarajie kutakuwa na jipya?Mmmh!! Hii nchi inamambo mengi sana! Marais watano wa chama kimoja ila sera na malengo ni tofauti kabisa as if niwapinzani. Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiri!
Pia napata wasiwasi kuwa hata Baraza la Mawaziri halishirikishwi kwenye haya matamko na maamuzi.
Hahahaaaa naogopa ku-likePentagon, Kuna Wafanyakazi Raia iwe Tz? Nyerere na Kisomo chote cha Ukweli, Mkapa na Uwezo wake Mkumbwa Kiutawala Tangu Nyerere Hakuliona! Mwishoni Utasikia Naaatangaza Kuiondoa Tanzania UN! Uingizaji wa Magari Nchini Mpaka Nitoe Kibari iri Mpande daradara Kupunguza Foreni za barabara! Hiri ra kupunguza Uingizaji Magari arinishauri Mwanangu Makondi, Baada ya Kiasi cha dora kupungua hazina, na Ra Kujitoa UN, Kanishauri kaka yangu Kagame, Nitakataaje Na Wake zetu Majina yao yanafanana, Hiri Nimeona nirichomeke. msg sent and derivadi, msemakweri ni mpezi wa ....
Hujui unachoongea kwahiyo endelea kuishi kwenye fantasy world...Wewe ni askari? Wewe ni mwanajeshi? Siishi kama wewe kwa kuconect dots tu, nna uhakika na nnchokisema, endelea kuconect dots
Afadhali umelijua hilo!U have wasted it enough,