swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,904
Hii ni cheap politics. Kwa mtu asiyejua utawala atakubaliana Na hoja hizi mufilisi. JPM yupo right ni shida sana kuongoza mtu asiyewajibika kwako. Pili hata Account Officer katika taasisi yeyote anaweza kuagiza hayo malipo yakalipwa ila kuna auditor. Auditor akija ndiye Kiboko ya accounting officer hata awe IGP. Refer lugumi caseAgizo la Magufuli laibua utata
Jamhuri September 15, 2016 Agizo la Magufuli laibua utata2016-09-15T09:59:21+00:00 Habari za Kitaifa
Agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi ya ulinzi na usalama, limeanza kutekelezwa, huku Wizara ya Utumishi wa Umma ikiendelea kupitia muundo.
Taarifa ambazo JAMHURI limezipata, zinasema kuwa tayari kazi hiyo imekamilika katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), huku Jeshi la Polisi likiwa tayari limeshafikisha orodha ya watumishi hao kwa mamlaka husika.
Akizungumza na JAMHURI, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi, Angela Kairuki, anasema tayari kazi hiyo imeshakamilishwa na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, huku akikiri ofisi yake kupokea orodha ya wafanyakazi wengine kutoka kwa Inspekta Generali wa Polisi nchini, (IGP), Ernest Mangu.
“Tayari ofisi yangu imeshapokea majina kutoka ofisi ya IGP Mangu…lakini zoezi kama hilo limeshakamilika ndani ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Sasa tunaendelea kupitia muundo na kuangalia maeneo yenye mahitaji,” anasema Waziri Kairuki.
Waziri huyo anasema baada ya kupokea orodha hiyo, wameanza kufanya uchambuzi wa sifa za watumishi hao kabla ya kuanza kuwasambaza kwenye maeneo yeye mahitaji ndani ya idara na taasisi za Serikali, anasema orodha ya majina hayo ni zaidi ya watumishi 100.
“Tuliagizwa na Rais na sisi kazi yetu ni kutekeleza maagizo hayo…sasa tunachambua sifa za watumishi hao pamoja na kupitia muundo wa utumishi kabla ya kuwapangia maeneo mengine,” anasema Kairuki.
Akizungumza na JAMHURI, IGP Mangu anasema, hawezi kutoa taarifa zaidi za watumishi wasiokuwa askari ndani ya Jeshi la Polisi, badala yake akalitaka gazeti hili kuwasiliana na Wizara ya Utumishi.
“Kuhusu hao wafanyakazi raia ndani ya Jeshi la Polisi, naomba ziulizwe mamlaka za watumishi hao raia…tafadhali naomba muwatafuate watu wa Wizara ya Utumishi,” anasema IGP Mangu.
Julai, mwaka huu Rais Magufuli alipokuwa anawakamisheni Makamishna na Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, alitoa agizo la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi.
Rais Magufuli alihoji sababu za kuwapo watumishi raia katika majeshi, ikiwa ni pamoja na Polisi na kuagiza watumishi watakaoajiriwa wawe ni askari, akilenga kupeleka nidhamu ya jeshi kwenye idara ya uhasibu.
“Hao watumishi ambao ni raia, muwapeleke Utumishi, kwani hakuna polisi ambao wamesomea uhasibu, uhandisi pamoja na masuala ya utawala? Matatizo ya wizi wizi pamoja na yale ya watumishi hewa, kama yanaletwa na raia, IGP kaorodheshe majina yao wote watoke,” alinukuliwa Rais Magufuli.
Baada ya kutoa agizo hilo, Jeshi la Polisi lilianza kuangalia njia za kutekeleza agizo hilo. Kada ya wahasibu ilionekana kulengwa zaidi kwani wao ni waajiriwa wa Hazina.
Habari kutoka ndani ya Jeshi hilo zinasema baada ya tafakuri, iliamuriwa wahasibu wote ambao ni raia wapelekewe kwenye mafunzo katika Chuo cha Polisi Moshi.
Wahusika wote walipewa taarifa wakitakiwa wajiandae kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi. Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea, viongozi waandamizi wa polisi walipitia miongozo mbalimbali na kubaini kuwa na wahasibu ambao ni askari kungeleta mtanziko mkubwa kwenye kazi za kihasibu.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu, kuajiriwa kwa wahasibu raia kulilenga kuwawezesha ‘kuwabishia’ viongozi wa polisi ambao wangeonekana kutumia zaidi amri badala ya kanuni na miongozo ya fedha.
“Mwongozo wa kwanza kabisa kwa askari ni utii, ukiwa na mhasibu askari, kama koplo, hawezi kukataa au kuhoji amri ya mkuu wake inayomtaka atoe fedha.
“Mhasibu askari anapokaidi maagizo au amri anaadhibiwa kijeshi, lakini kwa raia hiyo haiwezekani,” kimesema
Chanzo chetu.
Inaelezwa kuwa uamuzi wa kuwafanya wahasibu wawe waajiriwa Hazina ulifikiwa tangu uongozi wa awamu ya kwanza kwa lengo la kuleta nidhamu za kihasibu kwenye matumizi ya fedha.
“Wakubwa wetu (viongozi wa polisi) hili jambo linawasumbua sana, hawajui wamweleze nini mheshimiwa, lakini ukweli ndiyo huo kwamba wanaona uzito kuwa na wahasibu ambao ni askari.
“Wakati fulani uamuzi kama huu ulijaribiwa kwenye vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama na kwa kweli kulitokea matatizo makubwa sana kwenye matumizi ya fedha, ikaamuriwa utaratibu wa kuwatumia wahasibu ambao ni raia, uendelee,” kimesema chanzo chetu na kuongeza:
“Kwa uelewa wangu mdogo nadhani kuwekwa watumishi raia kwenye majeshi ilikuwa ni kuwadhibiti hawa wanaojiita afande hususani katika amri zao.
“Mfano RPC anamfuata mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni tekeleza kwanza ndiyo uhoji baadaye.
“Watumishi raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, askari huwa hawana.”
Kwanza were humu ulipoteasichangii niko na maumivu ya GEREZANI.
swissme
Amri yoyote ya ya mkuu ni AMRI HALALI kwa wakati huo! Ndiyo maana polisi wanapoambiwa wamiminie waandamanaji risasi huwa hawana ruhusa ya kuhoji,japo wanajua kuwa katiba inakuhusu maandamano ya Amani! Pia mkuu wa mkoa si askari kicheo,bali ni askari wa ngazi ya juu kabisa kisiasa!! Ndiyo maana ana uwezzo wa kumwamrisha Rpc kufanya chochote! Hata kumweka ndani mtu bila sababu yoyote!Mkuu BAK with due respect naona chanzo chako cha habari hakisemi ukweli wa jambo hili. Masuala yote ya kijeshi hata utoaji amri yanafuata utaratibu. Amri zitatolewa vipi, na nani na kwa namna gani vyote viko kwenye utaratibu huo na Amri zilizotajwa kwenye utaratibu ni zile zinaoitwa "AMRI HALALI" na siyo kila amri, hivyo ni upotoshaji kwamba eti afande anaweza akamwambia mhasibu ambaye ni mwanajeshi kwamba "Lipa malipo haya na akalipa" hiyo si kweli hata kidogo. Pia ni vizuri ukafahamu kuwa katika Jeshi kuna utaratibu mzuri tu uliyowekwa kwa mwanajeshi kuhoji amri ambayo anafikiri si halali.
Wewe mleta mada ni MWONGO. Ni mmoja ya waathilika wa maamuzi hiyo. Polisi/JWTZ wana wataalam wa kada zote. Wacha waendeshe mambo yao kadiri ya ethics zao. Hoja ya matumizi mabaya ya amri haina mashiko hata kidogo. Naamini kabisa kwa agizo la raisi la kuwaondoa raia kwenye vyombo vya usalama, fedha zitasimamiwa kwa nidhamu kubwa zaidi kuliko kuweka raia ambao hufanya ufisadi mkubwa, na hivyo kuchafua sifa ya majeshi yetu. Utaratibu wa kuweka raia kusimamia fedha kwenye vyombo vya usalama haufai, na hakuna hoja ya msingi kufanya hivyo. Raia wote watoke. Naunga mkono agizo la RAISI JPM. Wafanyakazi raia waliowengi ni mafisadi.Waende wakafanye ufisadi uraiani.Agizo la Magufuli laibua utata
Jamhuri September 15, 2016 Agizo la Magufuli laibua utata2016-09-15T09:59:21+00:00 Habari za Kitaifa
Agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi ya ulinzi na usalama, limeanza kutekelezwa, huku Wizara ya Utumishi wa Umma ikiendelea kupitia muundo.
Taarifa ambazo JAMHURI limezipata, zinasema kuwa tayari kazi hiyo imekamilika katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), huku Jeshi la Polisi likiwa tayari limeshafikisha orodha ya watumishi hao kwa mamlaka husika.
Akizungumza na JAMHURI, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi, Angela Kairuki, anasema tayari kazi hiyo imeshakamilishwa na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, huku akikiri ofisi yake kupokea orodha ya wafanyakazi wengine kutoka kwa Inspekta Generali wa Polisi nchini, (IGP), Ernest Mangu.
“Tayari ofisi yangu imeshapokea majina kutoka ofisi ya IGP Mangu…lakini zoezi kama hilo limeshakamilika ndani ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Sasa tunaendelea kupitia muundo na kuangalia maeneo yenye mahitaji,” anasema Waziri Kairuki.
Waziri huyo anasema baada ya kupokea orodha hiyo, wameanza kufanya uchambuzi wa sifa za watumishi hao kabla ya kuanza kuwasambaza kwenye maeneo yeye mahitaji ndani ya idara na taasisi za Serikali, anasema orodha ya majina hayo ni zaidi ya watumishi 100.
“Tuliagizwa na Rais na sisi kazi yetu ni kutekeleza maagizo hayo…sasa tunachambua sifa za watumishi hao pamoja na kupitia muundo wa utumishi kabla ya kuwapangia maeneo mengine,” anasema Kairuki.
Akizungumza na JAMHURI, IGP Mangu anasema, hawezi kutoa taarifa zaidi za watumishi wasiokuwa askari ndani ya Jeshi la Polisi, badala yake akalitaka gazeti hili kuwasiliana na Wizara ya Utumishi.
“Kuhusu hao wafanyakazi raia ndani ya Jeshi la Polisi, naomba ziulizwe mamlaka za watumishi hao raia…tafadhali naomba muwatafuate watu wa Wizara ya Utumishi,” anasema IGP Mangu.
Julai, mwaka huu Rais Magufuli alipokuwa anawakamisheni Makamishna na Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, alitoa agizo la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi.
Rais Magufuli alihoji sababu za kuwapo watumishi raia katika majeshi, ikiwa ni pamoja na Polisi na kuagiza watumishi watakaoajiriwa wawe ni askari, akilenga kupeleka nidhamu ya jeshi kwenye idara ya uhasibu.
“Hao watumishi ambao ni raia, muwapeleke Utumishi, kwani hakuna polisi ambao wamesomea uhasibu, uhandisi pamoja na masuala ya utawala? Matatizo ya wizi wizi pamoja na yale ya watumishi hewa, kama yanaletwa na raia, IGP kaorodheshe majina yao wote watoke,” alinukuliwa Rais Magufuli.
Baada ya kutoa agizo hilo, Jeshi la Polisi lilianza kuangalia njia za kutekeleza agizo hilo. Kada ya wahasibu ilionekana kulengwa zaidi kwani wao ni waajiriwa wa Hazina.
Habari kutoka ndani ya Jeshi hilo zinasema baada ya tafakuri, iliamuriwa wahasibu wote ambao ni raia wapelekewe kwenye mafunzo katika Chuo cha Polisi Moshi.
Wahusika wote walipewa taarifa wakitakiwa wajiandae kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi. Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea, viongozi waandamizi wa polisi walipitia miongozo mbalimbali na kubaini kuwa na wahasibu ambao ni askari kungeleta mtanziko mkubwa kwenye kazi za kihasibu.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu, kuajiriwa kwa wahasibu raia kulilenga kuwawezesha ‘kuwabishia’ viongozi wa polisi ambao wangeonekana kutumia zaidi amri badala ya kanuni na miongozo ya fedha.
“Mwongozo wa kwanza kabisa kwa askari ni utii, ukiwa na mhasibu askari, kama koplo, hawezi kukataa au kuhoji amri ya mkuu wake inayomtaka atoe fedha.
“Mhasibu askari anapokaidi maagizo au amri anaadhibiwa kijeshi, lakini kwa raia hiyo haiwezekani,” kimesema
Chanzo chetu.
Inaelezwa kuwa uamuzi wa kuwafanya wahasibu wawe waajiriwa Hazina ulifikiwa tangu uongozi wa awamu ya kwanza kwa lengo la kuleta nidhamu za kihasibu kwenye matumizi ya fedha.
“Wakubwa wetu (viongozi wa polisi) hili jambo linawasumbua sana, hawajui wamweleze nini mheshimiwa, lakini ukweli ndiyo huo kwamba wanaona uzito kuwa na wahasibu ambao ni askari.
“Wakati fulani uamuzi kama huu ulijaribiwa kwenye vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama na kwa kweli kulitokea matatizo makubwa sana kwenye matumizi ya fedha, ikaamuriwa utaratibu wa kuwatumia wahasibu ambao ni raia, uendelee,” kimesema chanzo chetu na kuongeza:
“Kwa uelewa wangu mdogo nadhani kuwekwa watumishi raia kwenye majeshi ilikuwa ni kuwadhibiti hawa wanaojiita afande hususani katika amri zao.
“Mfano RPC anamfuata mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni tekeleza kwanza ndiyo uhoji baadaye.
“Watumishi raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, askari huwa hawana.”
mkuu somo la amri pitia kesi ya zombe ndio utalielewa, ina maana wewe hujawahi kuisikia kabisa?Mkuu BAK with due respect naona chanzo chako cha habari hakisemi ukweli wa jambo hili. Masuala yote ya kijeshi hata utoaji amri yanafuata utaratibu. Amri zitatolewa vipi, na nani na kwa namna gani vyote viko kwenye utaratibu huo na Amri zilizotajwa kwenye utaratibu ni zile zinaoitwa "AMRI HALALI" na siyo kila amri, hivyo ni upotoshaji kwamba eti afande anaweza akamwambia mhasibu ambaye ni mwanajeshi kwamba "Lipa malipo haya na akalipa" hiyo si kweli hata kidogo. Pia ni vizuri ukafahamu kuwa katika Jeshi kuna utaratibu mzuri tu uliyowekwa kwa mwanajeshi kuhoji amri ambayo anafikiri si halali.
kuna jamaa huwa anipendi kweli siju ni nini yaa kila yeye akiwa zamu basi ni magereza moja kwa 1.mod 1 2 3 asante ....Kwanza were humu ulipotea
Pili umetoa comment hii
Wewe ni miongoni mwa wale jamaa walionyimwa dhamana na kutopelekwa mahakamani lisu akaingilia kati?
we jamaa issue ya lugumi sio ya kawaida, ile sio ya ki odita ilikuwa ya ku mtest mh.Hii ni cheap politics. Kwa mtu asiyejua utawala atakubaliana Na hoja hizi mufilisi. JPM yupo right ni shida sana kuongoza mtu asiyewajibika kwako. Pili hata Account Officer katika taasisi yeyote anaweza kuagiza hayo malipo yakalipwa ila kuna auditor. Auditor akija ndiye Kiboko ya accounting officer hata awe IGP. Refer lugumi case
Unayosema ni kweli kwamba ingawaje kiutaratibu jeshi linaendeshwa kiamri na aliye chini hawezi kuhoji amri kutoka juu lakini hapa tuwe wakweli pia! Hivyo ulivyosema NDIVYO INATAKIWA KUWA! Hata kama mimi ni Koplo, wewe Major hauna mamlaka ya kijeshi ya kuniamrisha NIKAKULETEE DEMU wako... ukifanya hivyo; maadili ya kijeshi yananipa nguvu ya kukukatalia! Hivyo ndivyo INAVYOTAKIWA! But when we go to the real world... I mean to the real military world, hali ni tofauti! Ni askari wachache sana tena sana wenye ubavu wa kuhoji amri zisizo halali... ni almost HAKUNA! Ni ngumu sana kwa junior officer kuhoji amri isiyo halali ya Brigerdia ingawaje anayo haki hiyo! Ikiwa hata huku uraian watu wanaingia matatizoni kv tu walitii tena shingo upande amri za mabosi raia wenzao, seuze majeshini?!Mkuu BAK with due respect naona chanzo chako cha habari hakisemi ukweli wa jambo hili. Masuala yote ya kijeshi hata utoaji amri yanafuata utaratibu. Amri zitatolewa vipi, na nani na kwa namna gani vyote viko kwenye utaratibu huo na Amri zilizotajwa kwenye utaratibu ni zile zinaoitwa "AMRI HALALI" na siyo kila amri, hivyo ni upotoshaji kwamba eti afande anaweza akamwambia mhasibu ambaye ni mwanajeshi kwamba "Lipa malipo haya na akalipa" hiyo si kweli hata kidogo. Pia ni vizuri ukafahamu kuwa katika Jeshi kuna utaratibu mzuri tu uliyowekwa kwa mwanajeshi kuhoji amri ambayo anafikiri si halali.
Oh! Kwahiyo kumbe haina haja ya kuweka kinga kwavile tiba ipo!!!!Hii ni cheap politics. Kwa mtu asiyejua utawala atakubaliana Na hoja hizi mufilisi. JPM yupo right ni shida sana kuongoza mtu asiyewajibika kwako. Pili hata Account Officer katika taasisi yeyote anaweza kuagiza hayo malipo yakalipwa ila kuna auditor. Auditor akija ndiye Kiboko ya accounting officer hata awe IGP. Refer lugumi case
Kwahiyo hao askari wao sio mafisadi sio kwa sababu tu ni maaskari?! Labda umemsahau yule Mheshimiwa wa Jeshi la Polisi aliyekutwa na nyumba takribani 40!!!Wewe mleta mada ni MWONGO. Ni mmoja ya waathilika wa maamuzi hiyo. Polisi/JWTZ wana wataalam wa kada zote. Wacha waendeshe mambo yao kadiri ya ethics zao. Hoja ya matumizi mabaya ya amri haina mashiko hata kidogo. Naamini kabisa kwa agizo la raisi la kuwaondoa raia kwenye vyombo vya usalama, fedha zitasimamiwa kwa nidhamu kubwa zaidi kuliko kuweka raia ambao hufanya ufisadi mkubwa, na hivyo kuchafua sifa ya majeshi yetu. Utaratibu wa kuweka raia kusimamia fedha kwenye vyombo vya usalama haufai, na hakuna hoja ya msingi kufanya hivyo. Raia wote watoke. Naunga mkono agizo la RAISI JPM. Wafanyakazi raia waliowengi ni mafisadi.Waende wakafanye ufisadi uraiani.
Note: Mimi ni raia wa kawaida,siyo mwanajeshi. Napenda mambo yote ya jeshi yaendeshwe na wanajeshi wenyewe, ili kulinda hadhi ya jeshi. Hawa raia tubaki nao mitaani.
Nilichotaka kueleza ni kuwa fedha yote ikiingia katika taasisi inayopewa ruzuku na serikali ni ya serikali. PST ndiye mwenye hiyo pesa. Hivyo PST mwisho wa mwaka anatuma maodita kwenda koditi kila kitu na wahasibu na kama kuna mapungufu mhasibu mkuu anasukuma hiyo kasheshe kwa Accounting Officer ambaye anawajibishwa kisawasawa. Hivyo ni hoja mufilisi kufikiria kuwa Mhasibu akiwa ni Polisi ndiye anatapokea amri na kutekeleza (kwa vile ni Polisi). La hasha hata uraiani mhasibu akiambiwa lipa na mwajiri wake analipa ila odita akija kibao kinamgeukia huyo mwajiri. Nadhani umenipatawe jamaa issue ya lugumi sio ya kawaida, ile sio ya ki odita ilikuwa ya ku mtest mh.
Una hoji Amri Jeshini???? MmmmhMkuu BAK with due respect naona chanzo chako cha habari hakisemi ukweli wa jambo hili. Masuala yote ya kijeshi hata utoaji amri yanafuata utaratibu. Amri zitatolewa vipi, na nani na kwa namna gani vyote viko kwenye utaratibu huo na Amri zilizotajwa kwenye utaratibu ni zile zinaoitwa "AMRI HALALI" na siyo kila amri, hivyo ni upotoshaji kwamba eti afande anaweza akamwambia mhasibu ambaye ni mwanajeshi kwamba "Lipa malipo haya na akalipa" hiyo si kweli hata kidogo. Pia ni vizuri ukafahamu kuwa katika Jeshi kuna utaratibu mzuri tu uliyowekwa kwa mwanajeshi kuhoji amri ambayo anafikiri si halali.
Wewe mleta mada ni MWONGO. Ni mmoja ya waathilika wa maamuzi hiyo. Polisi/JWTZ wana wataalam wa kada zote. Wacha waendeshe mambo yao kadiri ya ethics zao. Hoja ya matumizi mabaya ya amri haina mashiko hata kidogo. Naamini kabisa kwa agizo la raisi la kuwaondoa raia kwenye vyombo vya usalama, fedha zitasimamiwa kwa nidhamu kubwa zaidi kuliko kuweka raia ambao hufanya ufisadi mkubwa, na hivyo kuchafua sifa ya majeshi yetu. Utaratibu wa kuweka raia kusimamia fedha kwenye vyombo vya usalama haufai, na hakuna hoja ya msingi kufanya hivyo. Raia wote watoke. Naunga mkono agizo la RAISI JPM. Wafanyakazi raia waliowengi ni mafisadi.Waende wakafanye ufisadi uraiani.
Note: Mimi ni raia wa kawaida,siyo mwanajeshi. Napenda mambo yote ya jeshi yaendeshwe na wanajeshi wenyewe, ili kulinda hadhi ya jeshi. Hawa raia tubaki nao mitaani.
Asikudanganye mtu TIBA ipo ndugu yangu. kuna PAC etc ndo maana utaambiwa fulani katumbuliwa watu wanadhani ameonewa! Utakuta odita akija mhasibu anasema ukweli kwa kuonyesha maandishi kuwa nilimshauri akakataa. Tuache cheap politics za kumzonga JPM. Akikosea tumnange lakini akifanya kweli tumpongeze. Hivi unajua ugomvi wa JPM na ndugu zetu ni nini? Amewabana kimaslahi ndizo hizo chuki zote. Wakati wa JK walivuna kweli hasa akina .... (nakuomba niilishie hapo sitaki BAN mie)Oh! Kwahiyo kumbe haina haja ya kuweka kinga kwavile tiba ipo!!!!