Agizo la Magufuli laibua utata

Agizo la Magufuli laibua utata

“Mwongozo wa kwanza kabisa kwa askari ni utii, ukiwa na mhasibu askari, kama koplo, hawezi kukataa au kuhoji amri ya mkuu wake inayomtaka atoe fedha.
Hapo ndio kwenye point muhimu kuliko zote kabisa, halafu mbaya zaidi ni kwamba kama atatokea mwanajeshi/Askari mwenye cheo kikubwa anaweza kuchukua fedha na rasilimali za Taifa/Jeshi na kuandaa jeshi lake/kundi lake la uhalifu. Hii ni hatari sana sana
 
Nadhani kuna sababu kubwa kwa nini waasisi wetu walitaka raia washike nafasi nyeti. Imagine mwanajeshi daktari. Rais azingatie.

Dunia Nzima kazi ambazo sio core kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama hufanywa na Civilians kasoro Tanzania ya Dr. John Joseph Pombe Magufuli nami namuunga Mkono kwa hilo kwa kuwa sio lazima kila kitu tuige!
 
Mungu Tulinde sisi watanzania ni watu wapole na wanyonge, tunawaombea viongozi wetu tunawaweka mateka mikononi mwako pakiwa na jambo baya lililokusudiwa Bwana wakaaibike mchana kweupe, Mbariki sana Rais wetu na viongozi waandamizi ili mambo yote yanayoamuliwa iwe ni kwa Ustawi wa Taifa hili na isiwe kwa manufaa ya kikundi flani. Amen
 
Mkuu BAK with due respect naona chanzo chako cha habari hakisemi ukweli wa jambo hili. Masuala yote ya kijeshi hata utoaji amri yanafuata utaratibu. Amri zitatolewa vipi, na nani na kwa namna gani vyote viko kwenye utaratibu huo na Amri zilizotajwa kwenye utaratibu ni zile zinaoitwa "AMRI HALALI" na siyo kila amri, hivyo ni upotoshaji kwamba eti afande anaweza akamwambia mhasibu ambaye ni mwanajeshi kwamba "Lipa malipo haya na akalipa" hiyo si kweli hata kidogo. Pia ni vizuri ukafahamu kuwa katika Jeshi kuna utaratibu mzuri tu uliyowekwa kwa mwanajeshi kuhoji amri ambayo anafikiri si halali.
Hoja yako Unahoji baada ya kutekeleza amri iwe batili au halali.
 
Unless kama hujanisoma kwenye posts zingine! Nimeshasema kabla kwamba hata huku uraiani wapo wafanyakazi kadhaa wanaotii amri zisizo halali! Lakini hapa kuna mambo mawili! Mosi, kuna kutii kwa sababu unafahamu hapa kuna kula! Hiyo ndiyo hoja yako na wala sio hoja inayozungumzwa hapa! Pili, kuna kutii kwa sababu unamhofia bosi wako... kv ndie mwajiri wako!! Sasa ikiwa utii wako unatokana na kumuogopa mwajiri wako; Raia aliye jeshini anakuwa insulated kv mwajiri wake sio Jeshi au wizara husika! Na ndio maana nikatoa mfano wa District Council Auditors... ili nao wawe insulated, Mwajiri wao hakuwa Halmashauri bali Hazina unless wawe wamebadilisha miaka ya karibuni!
Kulingana na ulichokiandika hapo...nambie ni jinsi gani hao raia wamesaidia kuongeza ufanisi huko jeshini zaidi ya kupiga dili...mi nadhani kubadili mfumo siyo kosa as long as malengo yake yanakua ni kuboresha mfumo wenyewe..hao raia wameonekana hawana ufanisi na wengi wao wamebainika kujihusisha na dili haramu sasa kuna haja gani ya kuendele kuwabeba...
 
Pale unapopewa uongozi wa taifa kwa bahati mbaya,kila kitu utakifanya kwa bahati mbaya.
 
Agizo la Magufuli laibua utata

Jamhuri September 15, 2016 Agizo la Magufuli laibua utata2016-09-15T09:59:21+00:00 Habari za Kitaifa

Agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi ya ulinzi na usalama, limeanza kutekelezwa, huku Wizara ya Utumishi wa Umma ikiendelea kupitia muundo.

Taarifa ambazo JAMHURI limezipata, zinasema kuwa tayari kazi hiyo imekamilika katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), huku Jeshi la Polisi likiwa tayari limeshafikisha orodha ya watumishi hao kwa mamlaka husika.

Akizungumza na JAMHURI, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi, Angela Kairuki, anasema tayari kazi hiyo imeshakamilishwa na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, huku akikiri ofisi yake kupokea orodha ya wafanyakazi wengine kutoka kwa Inspekta Generali wa Polisi nchini, (IGP), Ernest Mangu.

“Tayari ofisi yangu imeshapokea majina kutoka ofisi ya IGP Mangu…lakini zoezi kama hilo limeshakamilika ndani ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Sasa tunaendelea kupitia muundo na kuangalia maeneo yenye mahitaji,” anasema Waziri Kairuki.

Waziri huyo anasema baada ya kupokea orodha hiyo, wameanza kufanya uchambuzi wa sifa za watumishi hao kabla ya kuanza kuwasambaza kwenye maeneo yeye mahitaji ndani ya idara na taasisi za Serikali, anasema orodha ya majina hayo ni zaidi ya watumishi 100.

“Tuliagizwa na Rais na sisi kazi yetu ni kutekeleza maagizo hayo…sasa tunachambua sifa za watumishi hao pamoja na kupitia muundo wa utumishi kabla ya kuwapangia maeneo mengine,” anasema Kairuki.

Akizungumza na JAMHURI, IGP Mangu anasema, hawezi kutoa taarifa zaidi za watumishi wasiokuwa askari ndani ya Jeshi la Polisi, badala yake akalitaka gazeti hili kuwasiliana na Wizara ya Utumishi.

“Kuhusu hao wafanyakazi raia ndani ya Jeshi la Polisi, naomba ziulizwe mamlaka za watumishi hao raia…tafadhali naomba muwatafuate watu wa Wizara ya Utumishi,” anasema IGP Mangu.

Julai, mwaka huu Rais Magufuli alipokuwa anawakamisheni Makamishna na Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, alitoa agizo la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi.

Rais Magufuli alihoji sababu za kuwapo watumishi raia katika majeshi, ikiwa ni pamoja na Polisi na kuagiza watumishi watakaoajiriwa wawe ni askari, akilenga kupeleka nidhamu ya jeshi kwenye idara ya uhasibu.

“Hao watumishi ambao ni raia, muwapeleke Utumishi, kwani hakuna polisi ambao wamesomea uhasibu, uhandisi pamoja na masuala ya utawala? Matatizo ya wizi wizi pamoja na yale ya watumishi hewa, kama yanaletwa na raia, IGP kaorodheshe majina yao wote watoke,” alinukuliwa Rais Magufuli.

Baada ya kutoa agizo hilo, Jeshi la Polisi lilianza kuangalia njia za kutekeleza agizo hilo. Kada ya wahasibu ilionekana kulengwa zaidi kwani wao ni waajiriwa wa Hazina.

Habari kutoka ndani ya Jeshi hilo zinasema baada ya tafakuri, iliamuriwa wahasibu wote ambao ni raia wapelekewe kwenye mafunzo katika Chuo cha Polisi Moshi.

Wahusika wote walipewa taarifa wakitakiwa wajiandae kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi. Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea, viongozi waandamizi wa polisi walipitia miongozo mbalimbali na kubaini kuwa na wahasibu ambao ni askari kungeleta mtanziko mkubwa kwenye kazi za kihasibu.

Kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu, kuajiriwa kwa wahasibu raia kulilenga kuwawezesha ‘kuwabishia’ viongozi wa polisi ambao wangeonekana kutumia zaidi amri badala ya kanuni na miongozo ya fedha.

“Mwongozo wa kwanza kabisa kwa askari ni utii, ukiwa na mhasibu askari, kama koplo, hawezi kukataa au kuhoji amri ya mkuu wake inayomtaka atoe fedha.

“Mhasibu askari anapokaidi maagizo au amri anaadhibiwa kijeshi, lakini kwa raia hiyo haiwezekani,” kimesema

Chanzo chetu.

Inaelezwa kuwa uamuzi wa kuwafanya wahasibu wawe waajiriwa Hazina ulifikiwa tangu uongozi wa awamu ya kwanza kwa lengo la kuleta nidhamu za kihasibu kwenye matumizi ya fedha.

“Wakubwa wetu (viongozi wa polisi) hili jambo linawasumbua sana, hawajui wamweleze nini mheshimiwa, lakini ukweli ndiyo huo kwamba wanaona uzito kuwa na wahasibu ambao ni askari.

“Wakati fulani uamuzi kama huu ulijaribiwa kwenye vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama na kwa kweli kulitokea matatizo makubwa sana kwenye matumizi ya fedha, ikaamuriwa utaratibu wa kuwatumia wahasibu ambao ni raia, uendelee,” kimesema chanzo chetu na kuongeza:

“Kwa uelewa wangu mdogo nadhani kuwekwa watumishi raia kwenye majeshi ilikuwa ni kuwadhibiti hawa wanaojiita afande hususani katika amri zao.

“Mfano RPC anamfuata mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni tekeleza kwanza ndiyo uhoji baadaye.

“Watumishi raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, askari huwa hawana.”

UMEELEZA VIZURI ILA UMESAHAU KUWA KUNA EXAMPTION KATIKA MASWALA YA PESA NA AFYA KAPITIE UPYA REGULATION ZA MAJESHI UTAFAHAM VIZURI VITU HIVYO
 
Wenye Mawazo na mipango ya pamoja tumewaona, Zaidi ya miaka 20 Chama akina Ofisi, Mwenyeki anapiga ruzuku, Kisingizio fedha zinatumika kwenye kesi za makamanda, Na kila siku zina anzishwa mpya.Hatareeeeee
 
tunaomba ata mahospitali madaktari ndio wawe wahasibu,mabenki wahasibu wawe walinzi polisi watolewe ili kusiwe na mwingiliano kabisa!! Kilamtu asimamie chake fulu
Mwanzo nilikuwa sijakusoma...umetisha....kwi kwi kwi
 
Tulaumu mambo ya msingi jamani, waziri kasema watapelekwa kwenye idara nyingine za serikali na siyo kwamba wanafukuzwa, shida iko wapi hapo? Vyombo vya ulinzi siku hizi wanao wasomi wa kutosha na wengi wao ni vijana. Sidhani kama watakuwa wajinga kiasi hicho kuwaondoa experts ambao hawanao kwenye majeshi yao
 
Kwani mkuu wetu wa kaya hana washauri. Mbona kila jambo analoamrisha lifanyike anakutana na ukosoaji mkubwa? Kwanini wasianze kumshauri kabla hajaropoka?
 
Agizo la Magufuli laibua utata

Jamhuri September 15, 2016 Agizo la Magufuli laibua utata2016-09-15T09:59:21+00:00 Habari za Kitaifai

Agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi ya ulinzi na usalama, limeanza kutekelezwa, huku Wizara ya Utumishi wa Umma ikiendelea kupitia muundo.

Taarifa ambazo JAMHURI limezipata, zinasema kuwa tayari kazi hiyo imekamilika katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), huku Jeshi la Polisi likiwa tayari limeshafikisha orodha ya watumishi hao kwa mamlaka husika.

Akizungumza na JAMHURI, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi, Angela Kairuki, anasema tayari kazi hiyo imeshakamilishwa na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, huku akikiri ofisi yake kupokea orodha ya wafanyakazi wengine kutoka kwa Inspekta Generali wa Polisi nchini, (IGP), Ernest Mangu.

“Tayari ofisi yangu imeshapokea majina kutoka ofisi ya IGP Mangu…lakini zoezi kama hilo limeshakamilika ndani ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Sasa tunaendelea kupitia muundo na kuangalia maeneo yenye mahitaji,” anasema Waziri Kairuki.

Waziri huyo anasema baada ya kupokea orodha hiyo, wameanza kufanya uchambuzi wa sifa za watumishi hao kabla ya kuanza kuwasambaza kwenye maeneo yeye mahitaji ndani ya idara na taasisi za Serikali, anasema orodha ya majina hayo ni zaidi ya watumishi 100.

“Tuliagizwa na Rais na sisi kazi yetu ni kutekeleza maagizo hayo…sasa tunachambua sifa za watumishi hao pamoja na kupitia muundo wa utumishi kabla ya kuwapangia maeneo mengine,” anasema Kairuki.

Akizungumza na JAMHURI, IGP Mangu anasema, hawezi kutoa taarifa zaidi za watumishi wasiokuwa askari ndani ya Jeshi la Polisi, badala yake akalitaka gazeti hili kuwasiliana na Wizara ya Utumishi.

“Kuhusu hao wafanyakazi raia ndani ya Jeshi la Polisi, naomba ziulizwe mamlaka za watumishi hao raia…tafadhali naomba muwatafuate watu wa Wizara ya Utumishi,” anasema IGP Mangu.

Julai, mwaka huu Rais Magufuli alipokuwa anawakamisheni Makamishna na Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, alitoa agizo la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi.

Rais Magufuli alihoji sababu za kuwapo watumishi raia katika majeshi, ikiwa ni pamoja na Polisi na kuagiza watumishi watakaoajiriwa wawe ni askari, akilenga kupeleka nidhamu ya jeshi kwenye idara ya uhasibu.

“Hao watumishi ambao ni raia, muwapeleke Utumishi, kwani hakuna polisi ambao wamesomea uhasibu, uhandisi pamoja na masuala ya utawala? Matatizo ya wizi wizi pamoja na yale ya watumishi hewa, kama yanaletwa na raia, IGP kaorodheshe majina yao wote watoke,” alinukuliwa Rais Magufuli.

Baada ya kutoa agizo hilo, Jeshi la Polisi lilianza kuangalia njia za kutekeleza agizo hilo. Kada ya wahasibu ilionekana kulengwa zaidi kwani wao ni waajiriwa wa Hazina.

Habari kutoka ndani ya Jeshi hilo zinasema baada ya tafakuri, iliamuriwa wahasibu wote ambao ni raia wapelekewe kwenye mafunzo katika Chuo cha Polisi Moshi.

Wahusika wote walipewa taarifa wakitakiwa wajiandae kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi. Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea, viongozi waandamizi wa polisi walipitia miongozo mbalimbali na kubaini kuwa na wahasibu ambao ni askari kungeleta mtanziko mkubwa kwenye kazi za kihasibu.

Kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu, kuajiriwa kwa wahasibu raia kulilenga kuwawezesha ‘kuwabishia’ viongozi wa polisi ambao wangeonekana kutumia zaidi amri badala ya kanuni na miongozo ya fedha.

“Mwongozo wa kwanza kabisa kwa askari ni utii, ukiwa na mhasibu askari, kama koplo, hawezi kukataa au kuhoji amri ya mkuu wake inayomtaka atoe fedha.

“Mhasibu askari anapokaidi maagizo au amri anaadhibiwa kijeshi, lakini kwa raia hiyo haiwezekani,” kimesema

Chanzo chetu.

Inaelezwa kuwa uamuzi wa kuwafanya wahasibu wawe waajiriwa Hazina ulifikiwa tangu uongozi wa awamu ya kwanza kwa lengo la kuleta nidhamu za kihasibu kwenye matumizi ya fedha.

“Wakubwa wetu (viongozi wa polisi) hili jambo linawasumbua sana, hawajui wamweleze nini mheshimiwa, lakini ukweli ndiyo huo kwamba wanaona uzito kuwa na wahasibu ambao ni askari.

“Wakati fulani uamuzi kama huu ulijaribiwa kwenye vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama na kwa kweli kulitokea matatizo makubwa sana kwenye matumizi ya fedha, ikaamuriwa utaratibu wa kuwatumia wahasibu ambao ni raia, uendelee,” kimesema chanzo chetu na kuongeza:

“Kwa uelewa wangu mdogo nadhani kuwekwa watumishi raia kwenye majeshi ilikuwa ni kuwadhibiti hawa wanaojiita afande hususani katika amri zao.

“Mfano RPC anamfuata mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni tekeleza kwanza ndiyo uhoji baadaye.

“Watumishi raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, askari huwa hawana.”
argument kwamba wahasibu askari wataamriwa kijeshi ni ya kitoto. hivi askari mhandisi anaamriwaje kwenye suala la kitaalam kwa mfano ujenzi wa daraja na mkuu ambaye sio mhandisi. mambo ya taaluma ni discipline tofauti na mambo ya vita yana discipline tofauti. hivyo mhasibu akiamriwa kutoa hela kinyume na disciplene ya kihasibu akitoa hakuna lolote ni mwizi tu.
 
Mkuu BAK with due respect naona chanzo chako cha habari hakisemi ukweli wa jambo hili. Masuala yote ya kijeshi hata utoaji amri yanafuata utaratibu. Amri zitatolewa vipi, na nani na kwa namna gani vyote viko kwenye utaratibu huo na Amri zilizotajwa kwenye utaratibu ni zile zinaoitwa "AMRI HALALI" na siyo kila amri, hivyo ni upotoshaji kwamba eti afande anaweza akamwambia mhasibu ambaye ni mwanajeshi kwamba "Lipa malipo haya na akalipa" hiyo si kweli hata kidogo. Pia ni vizuri ukafahamu kuwa katika Jeshi kuna utaratibu mzuri tu uliyowekwa kwa mwanajeshi kuhoji amri ambayo anafikiri si halali.
Wasichokijua ni kwamba utumishi wa umma uwe jeshi au raia wa kawaida una sheria zake na kanuni zake, hata hao jeshi wanatumia standing order, hakuna sehem ambayo raia wa kawaida anaruhusiwa kukaidi amri ya bosi wake, watumishi wa umma hawafanyi kazi kwa maneno bali kwa maandishi
 
Kulingana na ulichokiandika hapo...nambie ni jinsi gani hao raia wamesaidia kuongeza ufanisi huko jeshini zaidi ya kupiga dili...mi nadhani kubadili mfumo siyo kosa as long as malengo yake yanakua ni kuboresha mfumo wenyewe..hao raia wameonekana hawana ufanisi na wengi wao wamebainika kujihusisha na dili haramu sasa kuna haja gani ya kuendele kuwabeba...
Wewe ni mgumu wa kuelewa!! Nilichokuambia ni kwamba, wapo wengi tu wanaotii amri kwa ajili tu ya kumuogopa mwajiri wake lakini si kwa sababu anapata mgao au ameiba yeye mwenyewe! Kila mtu ana sababu yake. Sasa basi, miongoni mwa hizo sababu, mtu hana sababu ya kumuogopa huyu mwajiri wa kuazima kv sio mwajiri wake! Kwahiyo atamuogopa labda kwa sababu tu hajiamini na si vinginevyo... au labda kv amepata mgao wake! Ndio maana nikatoa hata mfano wa Internal Auditors. Internal Auditor hana sababu ya kuogopa kumtumbua DED wake kv sio mwajiri wake hata kama anatumia majengo yake! Akishindwa kumtumbua basi itakuwa ni kwa kutojiamini tu! Tofauti kama ingekuwa huyo DED ndo kakuajiri.

But all in all, hakuna nilipozungumzia suala la ufanisi! Ufanisi ni kitu kingine kabisa!
 
lazima mtakubaliana nanmi tu,na yale niliyosem kwamba,miaka hii mitano itaishia kwa kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu,la muhimu kwa sasa ni kujipanga 2020 kuchagua viongozi sahihi,huu ni mwaka wa kuifunza hasa kwa wale tuliokuwa tunawategemea kutuletea maendeleo
 
Pentagon, Kuna Wafanyakazi Raia iwe Tz? Nyerere na Kisomo chote cha Ukweli, Mkapa na Uwezo wake Mkumbwa Kiutawala Tangu Nyerere Hakuliona! Mwishoni Utasikia Naaatangaza Kuiondoa Tanzania UN! Uingizaji wa Magari Nchini Mpaka Nitoe Kibari iri Mpande daradara Kupunguza Foreni za barabara! Hiri ra kupunguza Uingizaji Magari arinishauri Mwanangu Makondi, Baada ya Kiasi cha dora kupungua hazina, na Ra Kujitoa UN, Kanishauri kaka yangu Kagame, Nitakataaje Na Wake zetu Majina yao yanafanana, Hiri Nimeona nirichomeke. msg sent and derivadi, msemakweri ni mpezi wa ....
Duu hzo rr
 
Agizo la Magufuli laibua utata

Jamhuri September 15, 2016 Agizo la Magufuli laibua utata2016-09-15T09:59:21+00:00 Habari za Kitaifa

Agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi ya ulinzi na usalama, limeanza kutekelezwa, huku Wizara ya Utumishi wa Umma ikiendelea kupitia muundo.

Taarifa ambazo JAMHURI limezipata, zinasema kuwa tayari kazi hiyo imekamilika katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), huku Jeshi la Polisi likiwa tayari limeshafikisha orodha ya watumishi hao kwa mamlaka husika.

Akizungumza na JAMHURI, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi, Angela Kairuki, anasema tayari kazi hiyo imeshakamilishwa na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, huku akikiri ofisi yake kupokea orodha ya wafanyakazi wengine kutoka kwa Inspekta Generali wa Polisi nchini, (IGP), Ernest Mangu.

“Tayari ofisi yangu imeshapokea majina kutoka ofisi ya IGP Mangu…lakini zoezi kama hilo limeshakamilika ndani ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Sasa tunaendelea kupitia muundo na kuangalia maeneo yenye mahitaji,” anasema Waziri Kairuki.

Waziri huyo anasema baada ya kupokea orodha hiyo, wameanza kufanya uchambuzi wa sifa za watumishi hao kabla ya kuanza kuwasambaza kwenye maeneo yeye mahitaji ndani ya idara na taasisi za Serikali, anasema orodha ya majina hayo ni zaidi ya watumishi 100.

“Tuliagizwa na Rais na sisi kazi yetu ni kutekeleza maagizo hayo…sasa tunachambua sifa za watumishi hao pamoja na kupitia muundo wa utumishi kabla ya kuwapangia maeneo mengine,” anasema Kairuki.

Akizungumza na JAMHURI, IGP Mangu anasema, hawezi kutoa taarifa zaidi za watumishi wasiokuwa askari ndani ya Jeshi la Polisi, badala yake akalitaka gazeti hili kuwasiliana na Wizara ya Utumishi.

“Kuhusu hao wafanyakazi raia ndani ya Jeshi la Polisi, naomba ziulizwe mamlaka za watumishi hao raia…tafadhali naomba muwatafuate watu wa Wizara ya Utumishi,” anasema IGP Mangu.

Julai, mwaka huu Rais Magufuli alipokuwa anawakamisheni Makamishna na Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, alitoa agizo la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi.

Rais Magufuli alihoji sababu za kuwapo watumishi raia katika majeshi, ikiwa ni pamoja na Polisi na kuagiza watumishi watakaoajiriwa wawe ni askari, akilenga kupeleka nidhamu ya jeshi kwenye idara ya uhasibu.

“Hao watumishi ambao ni raia, muwapeleke Utumishi, kwani hakuna polisi ambao wamesomea uhasibu, uhandisi pamoja na masuala ya utawala? Matatizo ya wizi wizi pamoja na yale ya watumishi hewa, kama yanaletwa na raia, IGP kaorodheshe majina yao wote watoke,” alinukuliwa Rais Magufuli.

Baada ya kutoa agizo hilo, Jeshi la Polisi lilianza kuangalia njia za kutekeleza agizo hilo. Kada ya wahasibu ilionekana kulengwa zaidi kwani wao ni waajiriwa wa Hazina.

Habari kutoka ndani ya Jeshi hilo zinasema baada ya tafakuri, iliamuriwa wahasibu wote ambao ni raia wapelekewe kwenye mafunzo katika Chuo cha Polisi Moshi.

Wahusika wote walipewa taarifa wakitakiwa wajiandae kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi. Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea, viongozi waandamizi wa polisi walipitia miongozo mbalimbali na kubaini kuwa na wahasibu ambao ni askari kungeleta mtanziko mkubwa kwenye kazi za kihasibu.

Kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu, kuajiriwa kwa wahasibu raia kulilenga kuwawezesha ‘kuwabishia’ viongozi wa polisi ambao wangeonekana kutumia zaidi amri badala ya kanuni na miongozo ya fedha.

“Mwongozo wa kwanza kabisa kwa askari ni utii, ukiwa na mhasibu askari, kama koplo, hawezi kukataa au kuhoji amri ya mkuu wake inayomtaka atoe fedha.

“Mhasibu askari anapokaidi maagizo au amri anaadhibiwa kijeshi, lakini kwa raia hiyo haiwezekani,” kimesema

Chanzo chetu.

Inaelezwa kuwa uamuzi wa kuwafanya wahasibu wawe waajiriwa Hazina ulifikiwa tangu uongozi wa awamu ya kwanza kwa lengo la kuleta nidhamu za kihasibu kwenye matumizi ya fedha.

“Wakubwa wetu (viongozi wa polisi) hili jambo linawasumbua sana, hawajui wamweleze nini mheshimiwa, lakini ukweli ndiyo huo kwamba wanaona uzito kuwa na wahasibu ambao
“Mfano RPC anamfuata mhasibu na kumwambia lipa haya malipo, na kanuni ya Jeshi ni tekeleza kwanza ndiyo uhoji baadaye.

“Watumishi raia walikuwa na nafasi ya kuhoji anachoona hakielewi, askari huwa hawa
Hivi jeshi linatumia standing order au halitumii? Ni sehemu gani ambayo inamruhusu kiongozi wa kijeshi kutumia vibaya madaraka yake eti kwa sbb haojiwi? Utumishi wa umma gani unatoa amri kwa mdomo? Acheni kupotosha mambo, awe mwanajeshi awe nani hakuna ambaye yuko juu ya sheria, kama sheria inakataza kula rushwa maana ake inaaply kote kote,
 
Back
Top Bottom