Siyo woote, ni vijana wachache tuu. Wengi wao wanaiga upuuzi wa baba zao. Usishangae kumkuta Mtoto wa Rage anatembea na kitoi cha Bastola hata kama yupo ChuoniJaamani mimi nikijana wakati lakini mimi ninao uwezo wakwenda na mazingira yote nikiamua au kuwa kijana wazamani au kuwa kijana wa sasa!!Ni maamuzi yangu na kuangalia ni kwa faida gani!!
Na wasii vijana wajue kuiga kwenye video,Tv show,Nijinga kwani wale mnaowaona wanavaa vile kwa ajili yashow tu!siyo maisha yake wewe ujinga wako unafanya ni sehemu ya maisha yako!!
- Na anza na vijana wa sasa mimi siyo siri baadhi yenu mnanikera sababu za kunikera:-
- Kijana umenunua chupi na chupi sikuzote inaitwa nguo ya ndani!!wewe kwa ujinga wako unailazimisha iwe nguo yakuonekana nje!!
- Unanunua suruali unaishushaa mkanda unafunga mapajani eti ni kata k!!!
- Mbaya zaidi unakuta huyo aliyeshusha suruali akionyesha nguo yake ya ndani kwa jamii hiyo nguo utadhani nitambala lakupigia deki!!
- Mbaay aunakuta hadi msitari wa masaburi upo nusu utadhani yupo kwenye maandalizi ya kwenda chooni!!
- Basi fanya hivyo uko kwenye usafiri private lakini kwenye daladala????mbaya zaidi unakuta wengine ni weledi wanasoma vyuo!!je kweli kama unasomea ualimu,sheria,afisa mwajiri,Dakitari,Afisa jamii na nk,Je wewe jamii utaielekeza nini??
Ila sishangai kwani......sisi......kwenye Red!chini.
Kuna wakati kwenda na wakati kunakuwa ni utumwa tu, hebu fikiria dada au kaka umevaa halafu mfereji wa masaburi unaonekana hiyo ni heshima au ni ubabaishaji tu! Halafu wenyewe wanajiona wapo sex kinyama!
tehe tehe tehe, kinyama yaani mkuu umependeza sana, "Halafu wenyewe wanajiona wapo sex kinyama", nakusudia wamependeza na kuvutia machoni pa watu.Kinyama???ndo nini mzee???
Jaamani mimi nikijana wakati lakini mimi ninao uwezo wakwenda na mazingira yote nikiamua au kuwa kijana wazamani au kuwa kijana wa sasa!!Ni maamuzi yangu na kuangalia ni kwa faida gani!!
Na wasii vijana wajue kuiga kwenye video,Tv show,Nijinga kwani wale mnaowaona wanavaa vile kwa ajili yashow tu!siyo maisha yake wewe ujinga wako unafanya ni sehemu ya maisha yako!!
- Na anza na vijana wa sasa mimi siyo siri baadhi yenu mnanikera sababu za kunikera:-
- Kijana umenunua chupi na chupi sikuzote inaitwa nguo ya ndani!!wewe kwa ujinga wako unailazimisha iwe nguo yakuonekana nje!!
- Unanunua suruali unaishushaa mkanda unafunga mapajani eti ni kata k!!!
- Mbaya zaidi unakuta huyo aliyeshusha suruali akionyesha nguo yake ya ndani kwa jamii hiyo nguo utadhani nitambala lakupigia deki!!
- Mbaay aunakuta hadi msitari wa masaburi upo nusu utadhani yupo kwenye maandalizi ya kwenda chooni!!
- Basi fanya hivyo uko kwenye usafiri private lakini kwenye daladala????mbaya zaidi unakuta wengine ni weledi wanasoma vyuo!!je kweli kama unasomea ualimu,sheria,afisa mwajiri,Dakitari,Afisa jamii na nk,Je wewe jamii utaielekeza nini??
Ila sishangai kwani......sisi......kwenye Red!chini.
Mbona wengi mastupido kibao!!
waambie, kweli vijana mnatufuramia wenzenu ndiyo maana hata hela hatupati, yaani ukiwa kwenye daladala loooo, watu masaburi yote yako nje nasijui ni nani aliyewaloga au ni tupac ndo aliacha hii balaa hapa duniani.
Mwingine anavaa kivazi unakuta (zivu) zimechomoza utazani sharubu za Paka!!Ila siku hizi kuna vivazi vya kike, mungu wangu, si nusu uchi tena. Ni zaidi ya robo3 uchi. Ukipita vyuo vikuu munguwangu uvaaji unatisha. Utandawazi unawamaliza wanetu na wajukuu zetu.