Agh!Vijana wasiku hizi mbona siyo wasitaarabu??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Jaamani mimi nikijana wakati lakini mimi ninao uwezo wakwenda na mazingira yote nikiamua au kuwa kijana wazamani au kuwa kijana wa sasa!!Ni maamuzi yangu na kuangalia ni kwa faida gani!!
  • Na anza na vijana wa sasa mimi siyo siri baadhi yenu mnanikera sababu za kunikera:-
  • Kijana umenunua chupi na chupi sikuzote inaitwa nguo ya ndani!!wewe kwa ujinga wako unailazimisha iwe nguo yakuonekana nje!!
  • Unanunua suruali unaishushaa mkanda unafunga mapajani eti ni kata k!!!
  • Mbaya zaidi unakuta huyo aliyeshusha suruali akionyesha nguo yake ya ndani kwa jamii hiyo nguo utadhani nitambala lakupigia deki!!
  • Mbaay aunakuta hadi msitari wa masaburi upo nusu utadhani yupo kwenye maandalizi ya kwenda chooni!!
  • Basi fanya hivyo uko kwenye usafiri private lakini kwenye daladala????mbaya zaidi unakuta wengine ni weledi wanasoma vyuo!!je kweli kama unasomea ualimu,sheria,afisa mwajiri,Dakitari,Afisa jamii na nk,Je wewe jamii utaielekeza nini??
Na wasii vijana wajue kuiga kwenye video,Tv show,Nijinga kwani wale mnaowaona wanavaa vile kwa ajili yashow tu!siyo maisha yake wewe ujinga wako unafanya ni sehemu ya maisha yako!!
Ila sishangai kwani......sisi......kwenye Red!chini.
 
Siyo woote, ni vijana wachache tuu. Wengi wao wanaiga upuuzi wa baba zao. Usishangae kumkuta Mtoto wa Rage anatembea na kitoi cha Bastola hata kama yupo Chuoni
 
nilikutana na mdada amevaa kitopu suruali imeshuka mstari wa masaburi unaonekana huku shanga juuuu........inatia kinyaa na inakera .........ilibidi nimweleze akajidai kuvuta kablauzi daaah lakini haikusaidia...........biashara matangazo.....sasa sijui kwa vijana wa kiume nayo ni biashara au copy & paste
 
waambie, kweli vijana mnatufuramia wenzenu ndiyo maana hata hela hatupati, yaani ukiwa kwenye daladala loooo, watu masaburi yote yako nje nasijui ni nani aliyewaloga au ni tupac ndo aliacha hii balaa hapa duniani.
 
Kuna wakati kwenda na wakati kunakuwa ni utumwa tu, hebu fikiria dada au kaka umevaa halafu mfereji wa masaburi unaonekana hiyo ni heshima au ni ubabaishaji tu! Halafu wenyewe wanajiona wapo sex kinyama!
 
Kinyama???ndo nini mzee???
Kuna wakati kwenda na wakati kunakuwa ni utumwa tu, hebu fikiria dada au kaka umevaa halafu mfereji wa masaburi unaonekana hiyo ni heshima au ni ubabaishaji tu! Halafu wenyewe wanajiona wapo sex kinyama!
 
Jaamani mimi nikijana wakati lakini mimi ninao uwezo wakwenda na mazingira yote nikiamua au kuwa kijana wazamani au kuwa kijana wa sasa!!Ni maamuzi yangu na kuangalia ni kwa faida gani!!
  • Na anza na vijana wa sasa mimi siyo siri baadhi yenu mnanikera sababu za kunikera:-
  • Kijana umenunua chupi na chupi sikuzote inaitwa nguo ya ndani!!wewe kwa ujinga wako unailazimisha iwe nguo yakuonekana nje!!
  • Unanunua suruali unaishushaa mkanda unafunga mapajani eti ni kata k!!!
  • Mbaya zaidi unakuta huyo aliyeshusha suruali akionyesha nguo yake ya ndani kwa jamii hiyo nguo utadhani nitambala lakupigia deki!!
  • Mbaay aunakuta hadi msitari wa masaburi upo nusu utadhani yupo kwenye maandalizi ya kwenda chooni!!
  • Basi fanya hivyo uko kwenye usafiri private lakini kwenye daladala????mbaya zaidi unakuta wengine ni weledi wanasoma vyuo!!je kweli kama unasomea ualimu,sheria,afisa mwajiri,Dakitari,Afisa jamii na nk,Je wewe jamii utaielekeza nini??
Na wasii vijana wajue kuiga kwenye video,Tv show,Nijinga kwani wale mnaowaona wanavaa vile kwa ajili yashow tu!siyo maisha yake wewe ujinga wako unafanya ni sehemu ya maisha yako!!
Ila sishangai kwani......sisi......kwenye Red!chini.

Tell them Kakakiza. Shame on them! We are tired of looking their unattractive masaburi lol
 
waambie, kweli vijana mnatufuramia wenzenu ndiyo maana hata hela hatupati, yaani ukiwa kwenye daladala loooo, watu masaburi yote yako nje nasijui ni nani aliyewaloga au ni tupac ndo aliacha hii balaa hapa duniani.

wanakuzuia vip kupata hela ndg. Wanakutilia nuksi nini?
 
Ila siku hizi kuna vivazi vya kike, mungu wangu, si nusu uchi tena. Ni zaidi ya robo3 uchi. Ukipita vyuo vikuu munguwangu uvaaji unatisha. Utandawazi unawamaliza wanetu na wajukuu zetu.
 
Mwingine anavaa kivazi unakuta (zivu) zimechomoza utazani sharubu za Paka!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom