Agh!Vijana wasiku hizi mbona siyo wasitaarabu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agh!Vijana wasiku hizi mbona siyo wasitaarabu??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KakaKiiza, Sep 28, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Jaamani mimi nikijana wakati lakini mimi ninao uwezo wakwenda na mazingira yote nikiamua au kuwa kijana wazamani au kuwa kijana wa sasa!!Ni maamuzi yangu na kuangalia ni kwa faida gani!!
  • Na anza na vijana wa sasa mimi siyo siri baadhi yenu mnanikera sababu za kunikera:-
  • Kijana umenunua chupi na chupi sikuzote inaitwa nguo ya ndani!!wewe kwa ujinga wako unailazimisha iwe nguo yakuonekana nje!!
  • Unanunua suruali unaishushaa mkanda unafunga mapajani eti ni kata k!!!
  • Mbaya zaidi unakuta huyo aliyeshusha suruali akionyesha nguo yake ya ndani kwa jamii hiyo nguo utadhani nitambala lakupigia deki!!
  • Mbaay aunakuta hadi msitari wa masaburi upo nusu utadhani yupo kwenye maandalizi ya kwenda chooni!!
  • Basi fanya hivyo uko kwenye usafiri private lakini kwenye daladala????mbaya zaidi unakuta wengine ni weledi wanasoma vyuo!!je kweli kama unasomea ualimu,sheria,afisa mwajiri,Dakitari,Afisa jamii na nk,Je wewe jamii utaielekeza nini??
  Na wasii vijana wajue kuiga kwenye video,Tv show,Nijinga kwani wale mnaowaona wanavaa vile kwa ajili yashow tu!siyo maisha yake wewe ujinga wako unafanya ni sehemu ya maisha yako!!
  Ila sishangai kwani......sisi......kwenye Red!chini.
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ukihoji sana watakujibu unataka tuvae bugaluu ka enzi zenu??/
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Biashara matangazo KK....acha wafanye tutaona mwisho wake!!
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hicho ni kizazi cha feisibuku.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Mbona wengi mastupido kibao!!
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Siyo woote, ni vijana wachache tuu. Wengi wao wanaiga upuuzi wa baba zao. Usishangae kumkuta Mtoto wa Rage anatembea na kitoi cha Bastola hata kama yupo Chuoni
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  nilikutana na mdada amevaa kitopu suruali imeshuka mstari wa masaburi unaonekana huku shanga juuuu........inatia kinyaa na inakera .........ilibidi nimweleze akajidai kuvuta kablauzi daaah lakini haikusaidia...........biashara matangazo.....sasa sijui kwa vijana wa kiume nayo ni biashara au copy & paste
   
 8. MamaParoko

  MamaParoko JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 465
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  halafu siku hizi kuna vi skin jeans navyo wanaweka kata k!
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  waambie, kweli vijana mnatufuramia wenzenu ndiyo maana hata hela hatupati, yaani ukiwa kwenye daladala loooo, watu masaburi yote yako nje nasijui ni nani aliyewaloga au ni tupac ndo aliacha hii balaa hapa duniani.
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati kwenda na wakati kunakuwa ni utumwa tu, hebu fikiria dada au kaka umevaa halafu mfereji wa masaburi unaonekana hiyo ni heshima au ni ubabaishaji tu! Halafu wenyewe wanajiona wapo sex kinyama!
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Daaa,,,,,MASABUR imekua msimu wa jamiiforums,mpaka raha,kama vile kihiyo
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kinyama???ndo nini mzee???
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tehe tehe tehe, kinyama yaani mkuu umependeza sana, "Halafu wenyewe wanajiona wapo sex kinyama", nakusudia wamependeza na kuvutia machoni pa watu.
   
 14. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tell them Kakakiza. Shame on them! We are tired of looking their unattractive masaburi lol
   
 15. h

  hayaka JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni kweli kabisa wana copy, paste and bold.
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  wanakwenda na wakati.
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  wanakuzuia vip kupata hela ndg. Wanakutilia nuksi nini?
   
 18. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ha ha ha ....
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Ila siku hizi kuna vivazi vya kike, mungu wangu, si nusu uchi tena. Ni zaidi ya robo3 uchi. Ukipita vyuo vikuu munguwangu uvaaji unatisha. Utandawazi unawamaliza wanetu na wajukuu zetu.
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Mwingine anavaa kivazi unakuta (zivu) zimechomoza utazani sharubu za Paka!!
   
Loading...