KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,575
- 8,595
Jaamani mimi nikijana wakati lakini mimi ninao uwezo wakwenda na mazingira yote nikiamua au kuwa kijana wazamani au kuwa kijana wa sasa!!Ni maamuzi yangu na kuangalia ni kwa faida gani!!
Ila sishangai kwani......sisi......kwenye Red!chini.
- Na anza na vijana wa sasa mimi siyo siri baadhi yenu mnanikera sababu za kunikera:-
- Kijana umenunua chupi na chupi sikuzote inaitwa nguo ya ndani!!wewe kwa ujinga wako unailazimisha iwe nguo yakuonekana nje!!
- Unanunua suruali unaishushaa mkanda unafunga mapajani eti ni kata k!!!
- Mbaya zaidi unakuta huyo aliyeshusha suruali akionyesha nguo yake ya ndani kwa jamii hiyo nguo utadhani nitambala lakupigia deki!!
- Mbaay aunakuta hadi msitari wa masaburi upo nusu utadhani yupo kwenye maandalizi ya kwenda chooni!!
- Basi fanya hivyo uko kwenye usafiri private lakini kwenye daladala????mbaya zaidi unakuta wengine ni weledi wanasoma vyuo!!je kweli kama unasomea ualimu,sheria,afisa mwajiri,Dakitari,Afisa jamii na nk,Je wewe jamii utaielekeza nini??
Ila sishangai kwani......sisi......kwenye Red!chini.